Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Bila ndumba mambo hayaendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! ni wapi huko mkuu?kwanza kwa Tanzania sahau kabisa,ukijaribu kufanya hivi utaambiwa wewe unafanya kampeni ili umuondoe mbunge/diwani wa hapa utaletewa mizengwe kibao.mmesahau lile sakata za mzee Bakhresa na pale kigamboni fery...
ishu inakuja kwa serikali ya huo mji, je wataweza kuzisimamia hizo assets?hapo ndo utataAmani kwako.
Ramadan Mubarak.
Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi...
Kwa pesa zake?Msishangae JPM kufanya yale aliyofanya Chato, maana roho inauma sana ukiangalia akaunti yako ilivyo na kijijini kwenu kulivyo.., unaona haiwezekani kabisa
Matajiri wepi hao au hao wanaotuzia juice na sembe ,soda biskutiTukiamua tunaweza
Binafsi naona hakuna mbadala wa UTU.a) Kwa nini mkuu?.
b) Na je wewe you're not materialistic?
Duniani watu hawataki kusikia habari nzuri.Dah..!! Hivi ingekuwaje kama angekuwa amefanya mabaya unayoyasema, LAKINI AWE HAJAJENGA KWAO?
Ana akili nzuri.Amani kwako.
Ramadan Mubarak.
Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi.
View attachment 2562559☝🏾Katika eneo hilo (picha juu) alijenga chuo au kitovu kikubwa cha utafiti wa matibabu barani Afrika, shule, mahakama, kituo cha polisi, hospitali, nyumba za polisi, nyumba za majaji na walimu, makanisa kwenye eneo hilo hapo kijijini.
Kijiji hiki cha Nigeria kiligeuzwa kuwa mji na mtu mmoja anayejulikana kwa majina ya Godwin Maduka.
View attachment 2562561
☝Huyu jamaa kitaaluma ni daktari na aliwahi kugombea Ugavana wa Jimbo la Anambra mnamo 2021.
View attachment 2562562
View attachment 2562563
View attachment 2562564
View attachment 2562565
View attachment 2562566
View attachment 2562567
View attachment 2562568
NB; Hiyo ni pesa ndugu zangu, so tuzitafute.
◽Ukiwa huna pesa hata ndugu hawakusalimii!
Bora hata huyo ako na njia nzuri za kutumia pesa zake za majini.Amani kwako.
Ramadan Mubarak.
Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahind...
Angejenga hata kiwanda chato ingekua kafanya la maana sanaYule aliwajengea visivyo vipaumbele vyao,leo hawanufaiki na uwanja wa ndege,pale ndege utua wakati wa kuzuru kaburini
Nafkiri kulea asilimia kubwa ni wafugaji angeweka kiwanda Cha kusindika mazao yatokanayo na wanyama mfano kusindika maziwa nyama ngozi n.kWell, vitu kama benki ya CRDB vimeshakufa, uwanja wa ndege umekufa, Stand ya kimataifa imekufa, Night club sijui ipo, ila je, ulitaka awajengee nini? Maana shule, hospitali zipo.
Kule population ni ndogo, hakuna utakachojenga kikalipa, kikubwa angeweka viwanda vya usindikaji mazao, watu walime na wapate pa kuuza kwa bei nzuri, mazao yaongezewe thamani watu wapate ajira.
Kabisa, hii ingefaa zaidiNafkiri kulea asilimia kubwa ni wafugaji angeweka kiwanda Cha kusindika mazao yatokanayo na wanyama mfano kusindika maziwa nyama ngozi n.k
Wameweza mkuu nimefuatilia, mfano hospitali iliyokabidhiwa kanisa catholic imekifanya kijiji kuwa updated plus movement za watu hadi kutoka mjini wanakuja.ishu inakuja kwa serikali ya huo mji, je wataweza kuzisimamia hizo assets?hapo ndo utata