ahaaa basi jambo jema sanaaWameweza mkuu nimefuatilia, mfano hospitali iliyokabidhiwa kanisa catholic imekifanya kijiji kuwa updated plus movement za watu hadi kutoka mjini wanakuja.
Kuna kitivo cha uchunguzi wa magonjwa hadi wazungu wanakuja hapo kutoa mafunzo na kujifunza so sidhani kama patadoda kama chato!.