Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

Iran amerusha makombora kwenda Israel huku akitoa taarifa. Ushawahi kuona vita inatolewa taarifa siku kadhaa kabla.

Hao walikua wanatuliza hasira tu za wananchi.

Hapo ndipo uwezo wa Iran ulipoishia.

Israel inaizidi Iran karibia kwa kila kitu, kuanzia uchumi mpaka ubora wa jeshi. Uchumi wa Iran ni mdogo sana ukilinganisha na uchumi wa Israel licha ya kwamba population ya Iran ni kibwa mara 10 ya Israel.

How is Israel's economy compared to Iran?

Comparison In 2022, Israel ranked 19 in the Economic Complexity Index (ECI 1.17), and 49 in total exports ($76.9B). That same year, Iran ranked 58 in the Economic Complexity Index (ECI 0.071), and 86 in total exports ($15.9B).
 
Mmmm! Nani kakudanganya - Eti "Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja??."
Ngoja hao walio kwenye hayo maeneo matatu wajaribu kuliamsha ndipo utakapojua na kujiridhisha kama Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja au wanao huo uwezo.
Mbona Israeli anapigana na Hizbula(Lebanon), HAMAS (Palestina), Wahauti na sasa Iran ilhali Israeli ni kanchi kamoja tena kadogo tu? Tumwombe sana Mungu apishie mbali vita hiyo isitokee. Hali itakuwa sio poa kabisa.😵
 
Unaizungumzia Iran ambayo imekua ikiwekewa vikwazo toka 1979 mzee.
Unaifananishaje na Israel ambayo inasaidiwa na USA na EU hadi katika favour za kibiashara!?
Embu kuwa serious mkuu.
Hivi ulishajiuliza kama Israel ingewekewa vikwazo vya kiuchumi kama Iran ingekua na hali gani!?

Kihistoria ya vita Iran iko vizuri katika medani ya vita kuliko Israel.
Fuatilia toka inaitwa himaya ya Persi(Anatolia) mpaka miaka ya 1979 utawala wa Khomeini unaanzishwa.
 
Mmmm! Nani kakudanganya - Eti "Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja??."
Ngoja hao walio kwenye hayo maeneo matatu wajaribu kuliamsha ndipo utakapojua na kujiridhisha kama Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja au wanao huo uwezo.
Mbona Israeli anapigana na Hizbula(Lebanon), HAMAS (Palestina), Wahauti na sasa Iran ilhali Israeli ni kanchi kamoja tena kadogo tu? Tumwombe sana Mungu apishie mbali vita hiyo isitokee. Hali itakuwa sio poa kabisa.😵
 
mabomu machache ndo yalifika israle na bado yaka mhimenyesha air defence aslilimia 70 yalichujwa na USA UK, Iraq Jordan saudia Arabia, pamoja na misri
 
Unaizungumzia Israel ambayo Hamas tu alipoivamia Oktoba 7 US navy ilituma manowari tatu na askari 2k kwaajili ya kusaidiwa dhidi ya Hamas!?
Au unaizungumzia Israel ipi?
EU na NATO sasa hivi washachoshwa na vita,mathalan Ukraine mataifa kibao mabunge yao yalionesha kupinga kusapotiwa Ukraine katika hiyo vita.
Vita gharama mzee usichukulie poa.
 
Wewe naye ........yaani unapima majenerali 3 na viaskari kamanda kadhaa.........una compare na binti wa miaka 10 kweli? Aliyekupereka shule kala hasara
 
Mmmm! Nani kakudanganya - Eti "Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja??."
Ngoja hao walio kwenye hayo maeneo matatu wajaribu kuliamsha ndipo utakapojua na kujiridhisha kama Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja au wanao huo uwezo.
Mbona Israeli anapigana na Hizbula(Lebanon), HAMAS (Palestina), Wahauti na sasa Iran ilhali Israeli ni kanchi kamoja tena kadogo tu? Tumwombe sana Mungu apishie mbali vita hiyo isitokee. Hali itakuwa sio poa kabisa.😵
 
Mzee anapata wakati mgumu sana na Israeli kila aikisimama mbele ya camera watampa kiharusi mda si mrefu
 
Hamas alishaonyesha namna njema ya kumshambulia Israel. Alirusha kombora 500 na zaidi bila taarifa. Sasa Iran ipo mbali na Israel kama alitaka kushambulia why hakurusha kutokea Yemen kwa washrika wake?
Israel iko kwenye readiness ya hali ya juu ndio maana ndegevita hazikauki angani zinafanya patrol, likizo za marubani wa kijeshi zote zimefutwa, missile defense forces zipo kwenye attention. Baada ya kushambulia ubalozi Israel ilijua kutakuwepo na majibu ikajipanga. Iran haikuwahi sema itapiga wapi na wapi na itapiga lini. Kama una ushahidi leta. Iran ilisema italipa kisasi, haikusema kivipi.

Ni intelligence ya Israel iliyoonyesha watarusha maana maandalizi yanaonekana, na missile warning systems zilionyesha tangu makombora yanafyatuliwa Iran hayajatoka kwenye anga lao. Engagement ikafanywa na jets za Israel, AD mbalimbali, melivita kama Saar 6, Patriot na kidogo silaha za washirika.

Yemen kuna makombora uchwara ya Iran. Zile cruise missiles zinadondoshwa hata na Apache helicopter. Silaha nzito za Iran hazipo Yemen wala Syria, na hata uko Yemen zimerushwa kutokea ila zimedondoshwa. Si ndio hizo zimepita Saudi Arabia.
Iran ana makombora ya supersonic why hakurusha hata moja kwenda kusumbua ngome?
Almost makombora yote ya Iran ni supersonic. Unataka supersonic yapi tena?
Kwahiyo hayo aliyorusha sio kitu kwa Israel, unataka mengine tena. Kumbe Iran ana makombora ya kinyonge hivyo. Omba Israel isirushe makombora uone precision na Iran haambulii kudungua kombora. Ngoja waamue hawa majamaa
 
Iran amerusha makombora kwenda Israel huku akitoa taarifa. Ushawahi kuona vita inatolewa taarifa siku kadhaa kabla.

Hao walikua wanatuliza hasira tu za wananchi.
White House imekanusha

Coordinator for the U.S. National Security Council, John Kirby stated today that despite some “Reports” the Iranian Government provided No Early Warning to Israel or the United States about their Attack on Saturday, and that the Attack was Clearly Aimed to not Fail causing Serious Damage to the Israeli Air Force.
 
Ulienda kuangalia kweli kama hakuna madhara?
 
Upunguze chai mkuu.
Iran makombora alotumia ni ya ujazo mwepesi na ni unguided missiles ya medium range.
Bado ana makombora ambayo mazito na ni magumu ku intercept baadhi anayatumia Hizbollah na ndio aliyoyatumia February dhidi ya Kambi za Israel Kaskazini mwa Israel.
Usim underestimate hivyo Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…