Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

Tujifariji kwa lipi.
Dunia nzima imeshuhudia jinsi mikombora ilivyokua ikishushwa kama nzige, tena yale makombora mliyokua mkiyasifu kila siku eti hayazuiliki.

Israel iliua majenerali 7 wa ngazi za juu wa iran, je Iran imeua nani Israel?!
 
Tujifariji kwa lipi.
Dunia nzima imeshuhudia jinsi mikombora ilivyokua ikishushwa kama nzige, tena yale makombora mliyokua mkiyasifu kila siku eti hayazuiliki.

Israel iliua majenerali 7 wa ngazi za juu wa iran, je Iran imeua nani Israel?!

Ww jamaa kumbe kichwani ni mtupu kabisa , Zaidi ya wiki 2 Iran anatangaza kulipiza kisasi na bado Iran kawapa taarifa masaa 72 kabla ya shambulio kwa hiyo ulitegemea wanajeshi na makamanda wa Israel wangekaa kusubiri makombora ya Iran yaje yawauwe?

Vipi hayo asilimia 1 ya makombora mnayodai ndo yalipenya vipi kama Iran isinge yaelekeza kwenye uwanja ndege wa kijeshi badala yake ingeyaelekeza kwenye makazi ya watu yangeshindwa kuuwa?
Ww jamaa mbona unaongea kama umekatwa kichwa?

Au unadhani jeshi la Iran linafanya mambo kama vichaa kama jeshi la Israel linalo uwa watoto ndani ya shule na hospital?

Ww unadhani Marekani anaye izuia Israel isithubutu kuishambulia Iran hana akili kama ww?,ana juwa ni kipi kitakacho mpata Israel baada ya kufanya upuuzi huo.
 
Mzee anapata wakati mgumu sana na Israeli kila aikisimama mbele ya camera watampa kiharusi mda si mrefu
Yaani mjuu, Mzee Baiden anapitia kipindi kigumu sana. Russia anamtoa kamasi kule Ukraine, halafu Nyatanahu anaanzisha balaa lingine huko Middle East. Sijui hata kama anapata usingizi hapo alipo.
 
Mkuu, Iran kafanya mashambulizi Israel..... au yameishia njiani?
Mashambulizi yamezuiliwa na mitambo ya Radar ya Israel na Marekani (Iron Dome na David's Sling). Hayakuleta madhara yoyote kwa Israel. Nadhani Iran alikuwa anatest zari aone jinsi gani anga la Muyahudi linavyolindwa.
 
Iran baba wa ugaidi duniani amevuna aibu kwa lile shambulio la juzi
 
Kwahiyo wewe kwa akili yako ulidhani Israel ingekaa kizembe baada ya kulipua ule ubalozi na kuua majenerali 7?! Mbona unaongea kama umekatwa kichwa!!!
Tangu Israel ashambulie ule ubalozi missile defense units zote zilikua kwenye high alert huku wakifatilia kwa karibu kila kinachoendelea Iran, likizo za wanajeshi na marubani zilifutwa na walio likizo ilitakiwa kurejea kazini Mara moja sababu walijua nini kitatokea.

Israel anaua watoto hospital lakini husemi Russia anavyoua watoto na wajawazito kule Ukraine analipua mashule, hospital, supermarkets, makazi ya watu. Mbona hatujawahi kukuona ukikemea!!!!!

Halafu Israel haombi ruhusa kwa mtu anatoa taarifa ndio maana hata alipolipua ule ubalozi hakuomba ruhusa popote sababu alikua anataka ale vichwa vya magaidi 7 yaliyokua pale ubalozini yakipanga mipango ya kigaidi yakitumia ubalozi kama kinga ya kutoshambuliwa.

Iran mbwembwe zote zile za kusifia makombora yao wameishia kumjeruhi binti aliyekua anacheza zake rede. Aiseeeee!!!!!!
 
😄 We kweli umelala eti Iran hana Hypersonic Missiles

Jibu hili hapa acha ujinga


View: https://youtube.com/shorts/iAAJV28VKM0?si=2lkqL8vlKgbQE7NQ

Israel akipigwa atakuambia kapigwa c aibu kwake, dogo rudi shule kasome.

Ronen Brakman yupo karibu ma Mossad anasema wa Israel wangeona vipi Iran kavuraga hizo military base wangekimbia Israel


Afu dogo Jordan kuna Base za America, UK na France ndio zime mlinda Israel na Jordan yenyewe.

Siri zimeisha vuja Iran next time atapeleka moto Jordan na Israel kwa time moja.

We kale matango ulale.
 
Sasa hivi Iran kafunga site zake zote za nyuklia akihofia usalama!
 
Hana ajuacho zaidi ya kushabikia kibalaghashia
 
Iran has closed its nuclear facilities for a day over “security considerations” in wake of attack on Israel, says head of UN’s atomic watchdog.
 
Jibu swali ww punguani ,hiyo asilimia moja ya makombora iliyo penya na kupiga kwenye kambi ya anga na kusababisha uharibifu kiasi kama Israel inavyo dai, vipi iwapo Iran isinge yaelekeza kwenye hiyo kambi badala yake akayaelekeza kwenye makazi ya watu na mahospitalini yangeshinda kuuwa?

Kwa hiyo siku hizi Israel ina mifumo mipya ya ulinzi inayo itwa Marekani, Jordan, Uingereza na Ufaransa ?

Tatizo sio kuomba ruhusa tatizo ni kuanzisha matatizo hali yakuwa huna uwezo wa kujilinda mwenyewe badala yake akisha fanya uchokozi anaenda kujificha nyuma ya matako ya Marekani

Ni kweli ahitaji ruhusa kuanzisha uchokozi na ndio maana wamemuonya ,kwa sababu yeye akifanya uchokozi wao ndo wanagharamika kumlinda maana yeye anacho jua ni kufanya uchokozi lakini uwezo wa kujilinda hana.

Unayabeza makombora ya Iran hali yakuwa nchi zaidi ya 5 yalijenga ngome ya Ulinzi kutoka Iraq ,Syria ,Jordan mpaka kwenye bahari ya medetrania lakini bado mengine yakaweza kupenya bado tu hujaona uwezo wa makombora hayo au unaendekeza ushabiki wa kijinga na kishoga?
 
nyie mashoga ndio mliodharauliwa na Iran kabla hajafanya yake aliwapa taarifa kwanza washirika wa israel kwamba nampiga shoga mwenzenu ili wajiandae apate kuwasoma vizuri ufanyaji kazi wa mifumo yenu ya kuzuia upoje...

sasa kwakuwa kidume kashawajua ndo maana kwa kujiamini kabisa amwaambia jibuni mashambulizi muone moto wa makobazi
 
Endelea na uhandisi, hii kada iko juu yako saaaana ya issue za diplomacy. Alafu inaoneka history uliisoma ujaze mitihani tu. Mbona vitu vinajieleza tu hvo
Mkuu unaweza kujibu bila kutweza utu wa mtu? Unataka tuanze kutambishana matokeo na uwezo?
Too low.

Haya subiri Israel ajibu halafu uje kujitetea na diplomasia yako.

Hakuna vita pale ni porojo tu zilifanyika. Iran did that to US mwaka juzi/jana.
 
Mkuu unaweza kujibu bila kutweza utu wa mtu? Unataka tuanze kutambishana matokeo na uwezo?
Too low.

Haya subiri Israel ajibu halafu uje kujitetea na diplomasia yako.

Hakuna vita pale ni porojo tu zilifanyika. Iran did that to US mwaka juzi/jana.
Mstari wa mwisho umeandika, na umejijibu tayari. Nakujibu nn tena hapo?
Thread closed
 
issue kubwa apa iran anayo nuclear, sasa kwenye nuclear hakunaga mshindi ata kama ni vita na USA vita ya nucler kidogo ni ngumu
 
Fattah-1 ni hypersonic missile? Yani ukiamua kuita missile yako ni hypersonic basi kila mtu akubali. Mbona Iran ilidai ina makombora ya kuharibu Israel na ikarusha zaidi ya 300 na hamna kitu imefanya
 
Kobazi mbona jazba sana, shusha pumzi huu mchezo hauhitaji hasira.

Mapipa yenu yaliyoshushwa haya hapa, mlikua mkiyasifu eti hayawezi kuzuilika kumbe hakuna kitu. Aiseee kombora kama Costa ya abiria halafu linaishia kujeruhi mcheza rede wa kiyahudi lazima Uwe jazba.

View: https://youtu.be/ADbQlXM0oGY?si=vXtMcdgPlJohSNbq
BADO HUJASEMA😂😂😂
 
Fattah-1 ni hypersonic missile? Yani ukiamua kuita missile yako ni hypersonic basi kila mtu akubali. Mbona Iran ilidai ina makombora ya kuharibu Israel na ikarusha zaidi ya 300 na hamna kitu imefanya
Ndo yaleyale ya Russia kudai Kinzal na Zircon ni Hypersonic badala yake zikaja kushushwa na Patriot mfumo wa anga uliojizeekea tech ya zaidi ya miaka 30. Wakati huohuo S400 inashindwa kudaka Storm shadow za Muingereza mpaka inaenda kuteketeza makao makuu ya Black See Fleet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…