Kwwani wanapimana nidhamu?Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani
Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele
Nguvu kubwa inayotumika kuonesha hakuna madhara makubwa yaliyotokea,ni dalili ya kuficha aibu ya mataifa nane makubwa kufeli kuzuia makombora ya Iran.Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani
Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele
Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba, ikitokea mechi ya USA na yeye, angalau hata jasho laweza kumtoka
Wakati akiendelea kuamini hicho, Anayeaminigi kuwa ni mnyonge wake, alichomfanyia juzi, ni masikitiko
Maandalizi ya kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya balozi zake pale SYRIA yaliyofanywa na Majeshi ya Israel na kuuwa makamanda wengi wa Ki Irani, yamefanyika kwa wiki nzima na siku
Bila ya shaka maandalizi hayo, Irani aliyaandaa na akiamini atakapo fyatua mabomu, Lengo ni kuisambaratisha kabisa Tela Aviv
Kilichotokea, ndio hiki nimekiita kuwa, unayekuwa ukiamini ni mnyonge wako unapotupa ngumi kali halafu akaikwepa, inabidi ujiulize mara mbili mbili
Gharama yote ile iliyotumika na Irani halafu haijaleta dhara lolote, halafu Israel kamdharaaau na hata hana shida naye huku akiendelea kuwatwanga Gaza, ujue hizo ni dharau kubwa sana dhidi ya Irani
IRAN Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi mengine kwa Israel ili angalau ashituke
We dogo kama Fattah 1 c hypersonic we tuambie ulikuwa engineers wa hizo missiles au πFattah-1 ni hypersonic missile? Yani ukiamua kuita missile yako ni hypersonic basi kila mtu akubali. Mbona Iran ilidai ina makombora ya kuharibu Israel na ikarusha zaidi ya 300 na hamna kitu imefanya
Israel hana uwezo wa kujilinda wala vitaKilichojitokeza ni hiki, Israel ilipoishambulia Iran, alijua fika kuwa Iran lipiza Kwa Ukali.
Kwahiyo Israel alichofanya ni kulinda Kwa Nguvu zote anga lake na kuweka Mfumo wa ulinzi standby.
Hata Sasa ulinzi umeimarishwa sana
Tuonyeshe ni madhara gani yametokana na hayo makombora. Israel imeua maafisa 7 wa jeshi wakipanga ugaidi, Iran imefanya madhara gani.Nguvu kubwa inayotumika kuonesha hakuna madhara makubwa yaliyotokea,ni dalili ya kuficha aibu ya mataifa nane makubwa kufeli kuzuia makombora ya Iran.
Pia wale mayahudi wa kupaka wa humi JF kuficha aibu yao kwa madai yao kuwa Mayahudi hawagusiki
Ndio maana nimekuita punguani maana huna akili.Kobazi mbona jazba sana, shusha pumzi huu mchezo hauhitaji hasira.
Mapipa yenu yaliyoshushwa haya hapa, mlikua mkiyasifu eti hayawezi kuzuilika kumbe hakuna kitu. Aiseee kombora kama Costa ya abiria halafu linaishia kujeruhi mcheza rede wa kiyahudi lazima Uwe jazba.
View: https://youtu.be/ADbQlXM0oGY?si=vXtMcdgPlJohSNbq
BADO HUJASEMAπππ
Picha zimeanza kuvuja.Tuonyeshe ni madhara gani yametokana na hayo makombora. Israel imeua maafisa 7 wa jeshi wakipanga ugaidi, Iran imefanya madhara gani.
Kama yamezuiwa yote na hii kambi ya mashoga imeharibiwa na mkuki wa baba yako?Iran ilirusha ballistic missiles 120 na zote zikatunguliwa.πππ
Ila Israel wanapenda ugomvi imagine walijiandaa miaka mingapi kuunda hii mifumo
Great mind.Mkuu yaonekana unapenda sana kuona mataifa yakiwa kwenye mitafaruku ya kurushiana risasi na mabomu eti. Kinachotokea huko usifikirie hakitatugusa sisi, kama ulisoma impacts za 1WW, Great Depression na 2WW kwa upande wa Afrika hautatamani mitafaruku duniani.
They said it caused a minor damage.shikamoo muajemiKama yamezuiwa yote na hii kambi ya mashoga imeharibiwa na mkuki wa baba yako?
Mwambie arudie bila taharifaIran amerusha makombora kwenda Israel huku akitoa taarifa. Ushawahi kuona vita inatolewa taarifa siku kadhaa kabla.
Hao walikua wanatuliza hasira tu za wananchi.
Mifumo inaandaliwa kwaajili ya ulinzi especially unapokuwa na mitafaruku na mataifa chokozi, mataifa yanayozalisha silaha ili nayenyewe yapate utukufu kijeshi duniani.Iran ilirusha ballistic missiles 120 na zote zikatunguliwa.πππ
Ila Israel wanapenda ugomvi imagine walijiandaa miaka mingapi kuunda hii mifumo
Uwezo upo ila manufaq au shabaha ni nini? Kesho ukiona vinu vya nyuklia vya iran vina waka moto basi jua hiki kilikuwa kina tafutwa na kwa siku nyingi na nchi zq magharibi na wame kibata kupitia mtoto wao aliyekaa kimkakati na kwa mabavu mashariki yq katiIsrael katumia Dola BILION 1.3 kujilinda.
Iran katumia Dola Million Mia Thelathini.
Mashambulizi ya Iran hayakua na lengo la Kuumiza Israel, yalikua na Lengo la Kupima Ulinzi wa Anga wa Israel.
Israel kalindwa zaidi na US, UK ,Franc na Jordan.
Huu mzozo, msiuchukulie kawaida.
Iran karuhusiwa kuishambulia Israel Toka Kwa haohao URUSI NA UCHINA.
Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja.
Dharau ni kupewa taarifa in next 72hrs nakushambulia na nitapiga air base jiandae wewe na marafiki zako na pia wakati nakupiga natumia drone za mwendo wa polepole ili dunia nzima na vyombo vyote duniani vionyeshe na wananchi wako wajue wanakuja kupigwa ,hii stress na psychological war imemtesa zaidi muisrael kuliko hata mlipuko wa hizo missile kwenye psychological warfare wairan ni magrand master .Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani
Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele
Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba, ikitokea mechi ya USA na yeye, angalau hata jasho laweza kumtoka
Wakati akiendelea kuamini hicho, Anayeaminigi kuwa ni mnyonge wake, alichomfanyia juzi, ni masikitiko
Maandalizi ya kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya balozi zake pale SYRIA yaliyofanywa na Majeshi ya Israel na kuuwa makamanda wengi wa Ki Irani, yamefanyika kwa wiki nzima na siku
Bila ya shaka maandalizi hayo, Irani aliyaandaa na akiamini atakapo fyatua mabomu, Lengo ni kuisambaratisha kabisa Tela Aviv
Kilichotokea, ndio hiki nimekiita kuwa, unayekuwa ukiamini ni mnyonge wako unapotupa ngumi kali halafu akaikwepa, inabidi ujiulize mara mbili mbili
Gharama yote ile iliyotumika na Irani halafu haijaleta dhara lolote, halafu Israel kamdharaaau na hata hana shida naye huku akiendelea kuwatwanga Gaza, ujue hizo ni dharau kubwa sana dhidi ya Irani
IRAN Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi mengine kwa Israel ili angalau ashituke
lzm tupitie matatizo ili tuanze na kuwa na akili ya kujitegemea , matatizo hayakuui ila yanakujengaTusishabikie vita ndugu zangu Watanzania.
Supply ikikata huko duniani shida ni kwetu, maana Kwa utegemezi HATUJAMBO!