Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

Nami nakushangaa kuilinganisha Tanzania na Uchina bora ungeilinganisha na nchi mojawapo ya Afrika. Halafu Province si mkoa. Mkoa ni Region.
Mwacheni Makonda afanye kazi yake au ndiyo wewe Waziri uliyetajwa?
Atawanyosha !!
 
Mimi pia nikishangazwa na upumbavu aliouongea ila nilijua tu lazima ataongea utumbo
 
Naomba nimpe pole ndugu Pascal Mayalla na kumkumbusha kuwa hawa ndio aina ya viongozi tulio nao katika taifa hili baada ya miaka zaidi ya 50 na ndio wanaowapeleka tanzania katika nchi ya ahadi ambayo sijui wataifiki baada ya miaka mingapi
 
Nchi yetu tunashida kiasi, haiwezekani RC mbele ya viongozi wakuu wa nchi anaongea serious allegations vile,na anarudi kwake kulala huku akifurahi......wakati maBoss wa TISS,IGP,CDF na wengine wote wapo na wakakaa kimya bila kumchukua mtu huyo anayewajua wahaini kwaajili ya mahojiano....... inasikitisha sana mfumo wetu wa utawala kuwa hivi 😔
 
Eti yeye ndo anaongea kama mtoa taarifa wa Rais wakati Rais ana mifumo yake ya kupata taarifa.

Daaah hii nchi ingekuwa gari watu wengine tungeshuka si kwa ujinga huu
 
Na kuna genge limeajiriwa na kumwagwa Jf, ni wengi kama ndege wa kwelea kwelea ili ma great thinkers tuhangaike nalo.
Ni kumsifia Rais kwa sifa za kushangaza, mpaka Jf imekosa hadhi kabisa.
 
Yaani
 
RC Makonda kaharibu vibaya tena leo, lowest IQ of its kind, uchonganishi tu, fitina, kujipendekeza, uchawa, na mbaya zaidi ni kumchonganisha Mh. Rais na mawaziri wake, hii mbaya sana, na kujionyesha yeye ndio mwema sana, yaani ndio.Mwana wa Mama Samia, hii attitude mbaya sana, huyu sio kiongozi hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…