Siyo kweli. Samia ni Muislam na Awamu ya Sita hata kama atatawala muhula mmoja. Hawezi kuja Rais wa Awamu ya 7 Muislam bali lazima awe MkristoMkuu ikitokea kwamba rais Samia asingombee japo hatuombei iwe,Basi atakayemrithi toka CCM lazima awe muislamu elewa hivyo.
Hao wamedhibitiwa, unapewa kazi haipo kwenye mfumo wa serikali? dharau kubwa
Mbona Mzee wa msoga, kinana ,Mzee makamba mbona wamepewa kazi haipo kwenye mfumo na mama ana zifanyia kazHao wamedhibitiwa ,unapewa kazi haipo kwenye mfumo wa serikali?,dharau kubwa
UPO SAHIHI na Hakutaka Wagombee USPIKAUkitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi...
Nafikiri turudi kwenye Katiba hakuna kigezo cha dini kwenye urais au uongozi wowote TZ. Hivi vitu vya dini vinatoka wapi? Mwacheni Rais atawale kwa raha zake atuletee maendeleo mimi nayaona yakija.Siyo kweli. Samia ni Muislam na Awamu ya Sita hata kama atatawala muhula mmoja. Hawezi kuja Rais wa Awamu ya 7 Muislam bali lazima awe Mkristo
Kwa hiyo na wewe tukuite Nani sasa? propagandist? muu mh mbona kanzu kubwa Sana hiyo kwako!! CCM mbona udharirika Sana na Hawa vibaka wa kisiasa?Kwa style hii kuna mtu mungine ambae atakalia kiti hiki kweli? RIP Chacha Wangwe uliliona hili mapema, ila ulipotaka kurudisha demokrasia ya kweli iliyoachwa ndan ya chama na kina Bob Makani uliambulia kifo.
View attachment 2075925
Sidhani Kabudi ana sifa hizo. Umajua alipateje ubungeUkitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi...
Kwani ni lini Lukuvi aliwahi kusema kuwa ana mpango wa kugombea urais?Magu alisema Lukuvi hatagomea urais ashakuwa mzee