Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

Mkuu ikitokea kwamba rais Samia asingombee japo hatuombei iwe,Basi atakayemrithi toka CCM lazima awe muislamu elewa hivyo.
Siyo kweli. Samia ni Muislam na Awamu ya Sita hata kama atatawala muhula mmoja. Hawezi kuja Rais wa Awamu ya 7 Muislam bali lazima awe Mkristo
 
Hao wamedhibitiwa ,unapewa kazi haipo kwenye mfumo wa serikali?,dharau kubwa
Mbona Mzee wa msoga, kinana ,Mzee makamba mbona wamepewa kazi haipo kwenye mfumo na mama ana zifanyia kaz
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mama unaupiga mwingi mchukue na Zungu ikulu , akauguze kisukari kwanza
 
Siyo kweli. Samia ni Muislam na Awamu ya Sita hata kama atatawala muhula mmoja. Hawezi kuja Rais wa Awamu ya 7 Muislam bali lazima awe Mkristo
Nafikiri turudi kwenye Katiba hakuna kigezo cha dini kwenye urais au uongozi wowote TZ. Hivi vitu vya dini vinatoka wapi? Mwacheni Rais atawale kwa raha zake atuletee maendeleo mimi nayaona yakija.
 
Kama Rais ameishikilia nchi na imetulia hakuna kikundi cha kumtikisa hata kidogo usiongopee watu. Hizi ni kelele za mlango.
 
Ingekuata ni kenya ukute wanafikiria kumpa urais musislamu haijawai kutokeaa wala hawatambui waislmu ..rais Ni wakristo tu
 
Tuliyoyaona:
Nyerere- Mwinyi - Mkapa - Kikwete - Magufuli - Samia
Mwinyi - Mwinyi - labda Mwinyi baadae
Hatukuona Mkapa - Mkapa - Mkapa
Tukaona pia Kikwete -Kikwete mtoto - Kikwete Mama
Tunaona
Samia - Kikwete mtoto .....
Pia kule kwingine kuna Karume -Mwinyi - karume - Mwinyi
Kwa nini kuna watu wanawaza kujenga familia za kutawala? Hivi Nyerere agekuwa na mawazo hayo akina Kikwete na Mkapa wangeonekana wapi.
Ni mtizamo tu binafsi
 
Kwa style hii kuna mtu mungine ambae atakalia kiti hiki kweli? RIP Chacha Wangwe uliliona hili mapema, ila ulipotaka kurudisha demokrasia ya kweli iliyoachwa ndan ya chama na kina Bob Makani uliambulia kifo.

View attachment 2075925
Kwa hiyo na wewe tukuite Nani sasa? propagandist? muu mh mbona kanzu kubwa Sana hiyo kwako!! CCM mbona udharirika Sana na Hawa vibaka wa kisiasa?
 
Ukitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi...
Sidhani Kabudi ana sifa hizo. Umajua alipateje ubunge
 
Yote hayo mliyaona hamkujifunza toka awamu ile?

Tulipokua tunadai katiba mnasema sio kipaumbele cha mtanzania mnyonge.

Leo hii ndio mjionee sasa nchi inakuwa rumned na familia za watu wachache ni matokeo ya kila kitu kufanywa na mtu mmoja bila kuwa na mpaka.

Awamu ile tulipinga ukanda sasa leo hii kaibuka na la familia fulani fulani ila acha dawa iingie 2020 !
 
Magu alisema Lukuvi hatagomea urais ashakuwa mzee
Kwani ni lini Lukuvi aliwahi kusema kuwa ana mpango wa kugombea urais?

Uzee unaanzia miaka mingapi?

Kwani wazee hawaruhusiwi kugombea urais?

Yaani ukishakuwa smart&focus tu kwenye baraza la mawaziri tayari Rais anakuogopa kuwa utakuja kuwa rais!
 
Kila kitu hapa duniani kina hesabu au kinahitaji hesabu. Mama amepiga hesabu za heri nusu shari kuliko shari kamili . We mwenyewe pata picha bwana kabudi kwa bahati mbaxa anaukwaa uspika wa bunge na ukizingatia alhyeita kajiudhuru yani huyu anayefuata hata akiwa tofauti na serikali hataweza au ccm haiakubali ajiudhuru ili ionekand mbovu.

Kwa maana hyo kwa vyovyote mama hatakubali pale bungeni akae mtu mwenye nguvu au mwenye kiburi kwake au aliyemtimua uwaziri ni lazima aweke mtu wake haswa ili iwe rahisi kwake kufanya UOVU
 
Back
Top Bottom