Hii ni lazima.........ukitaka kujua jamaa wako tofauti we kosea muite muunguja (mzanzibar) mpemba utaona reaction yake......Jamaa ni maji na moto.....Nadhani hawa Wazenj wanafurahia hata kisichostahili kufurahia.Sina uhakika muundo wa Serikali ya Muungano utakuwaje lakini kama Tanganyika itakuwa na Rais wake ni wazi kabisa Rais wa Muungano atakuwa anaelea tu hapo juu kwa maana ya kwamba hatakuwa na nguvu na ushawishi wa kutosha toka sehemu zote mbili.Na kama Jussa hatakuwa makini basi ategemee Serikali ya Jamhuri watu wa Pemba.
Nadhani znzb inaelekea kupolomoka na kuwa kijiji nawapa miaka 5 utasikia bora kuishi tz kwenye maziwa na asali
aina za uraia zinasemaje mkuu.........
Angalau nimesoma hoja ya maana toka kwako for the first time! Ni kweli Juha anawadanganya.
hiyo inatekelezwa kwa wazungu kama ufaransa,na u anglican wa kisasa6. Full Uliberali
Sasa kwa msururu huo, kuna muungano hapo? Mambo mengine haya ni vichekesho, kwani huu muungano wa nini hasa? Mi naona unatujazia Wapemba Buguruni, bora uvunjike warudi kwao wakakazane kwenye mikarafuu
inaelekea bw jusa, unaemuita juha, humuelewi vizuri. hujawahi bahatika kukaa ukamsikiliza hoja zake. kwa taarifa yako, hapa nchini kwetu Tanzania, jusa ni miongoni mwa watanzania 10 ambao wana uwezo mkubwa wa kujenga hoja. ana kipaji cha ajabu sana! mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. kama nchi mfano wa comoros, burundi, Rwanda etc zina uchumi mzuri licha kuwa ndogo kiardhi, hata znz wanaweza kujiendesha wenyewe wakijitenga. kumbuka kuwa wana bahari na mafuta. utalii wa znz uko juu sana. wana urafiki na ukaribu na nchi za kiarabu. sidhani kama znz itashindwa kujiendesha yenyewe.
1. kuna uraia wa asili: huu ni kwa wale ambao waliishi Tanzania kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. awe mmakonde, mhaya, mzaramo, mhindi, mwarabu, mpemba........... 2. uraia wa kuzaliwa: huu ni kwa wale ambao wamezaliwa baada ya muungano. idadi kubwa ya watanzania wamo katika kundi hili. wapemba unao waona huku bara ni watanzania halali hata muungano ukivunjika watabaki kuwa raia wa huku bara. 3. uraia wa kununua: huu ni uraia ambao hutolewa na waziri wa mambo ya ndani kwa wageni wanaoomba uraia. miongoni mwa masharti ni kwamba mgeni awe ameishi kihalali (kwa visa) hapa tz kwa kipindi kisichopungua miaka 10. ktk kipindi hicho asijihusishe na uhalifu wa aina yoyote. 4. uraia wa ndoa: mwanaume mtanzania akimuoa mwanamke kutoka nchi ya kigeni, humtambulisha kwa kumsajili na serikali humpa yule mwanamke uraia wa Tanzania. NOTE: kwa watoto ambao wazazi wao ni watanzania lkn wao wamezaliwa ktk nchi ya kigeni, huwa raia wa Tanzania IWAPO kama wazazi wao hawajaukana uraia wa Tanzania, au hao watoto hawajasajiliwa kuwa raia wa nchi waliko zaliwa.
Sayohusika na usafiri wa anga, posta na simu.
5. Mabenki ya Kibiashara na Fedha za Kigeni.
6. Leseni ya viwanda na takwimu.
7. Elimu ya Juu.
8. Maliasili ya mafuta na gesi asilia.
9. Baraza la Taifa la Mitihani.
10. Usafiri na usafirishaji wa anga.
11. Utafiti.
12. Utabiri wa Hali ya Hewa.
...
kumbuka hapo itakuwa ni uraia wa Tanganyika vs Zanzibar.........kuzaliwa Tanzania haikupi haki ya kuwa Mtanzania moja kwa moja.......wakina Bashe wasingeomba uraia wa TANZANIA1. kuna uraia wa asili: huu ni kwa wale ambao waliishi Tanzania kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. awe mmakonde, mhaya, mzaramo, mhindi, mwarabu, mpemba........... 2. uraia wa kuzaliwa: huu ni kwa wale ambao wamezaliwa baada ya muungano. idadi kubwa ya watanzania wamo katika kundi hili. wapemba unao waona huku bara ni watanzania halali hata muungano ukivunjika watabaki kuwa raia wa huku bara. 3. uraia wa kununua: huu ni uraia ambao hutolewa na waziri wa mambo ya ndani kwa wageni wanaoomba uraia. miongoni mwa masharti ni kwamba mgeni awe ameishi kihalali (kwa visa) hapa tz kwa kipindi kisichopungua miaka 10. ktk kipindi hicho asijihusishe na uhalifu wa aina yoyote. 4. uraia wa ndoa: mwanaume mtanzania akimuoa mwanamke kutoka nchi ya kigeni, humtambulisha kwa kumsajili na serikali humpa yule mwanamke uraia wa Tanzania. NOTE: kwa watoto ambao wazazi wao ni watanzania lkn wao wamezaliwa ktk nchi ya kigeni, huwa raia wa Tanzania IWAPO kama wazazi wao hawajaukana uraia wa Tanzania, au hao watoto hawajasajiliwa kuwa raia wa nchi waliko zaliwa.
waachieni nchi yao waende au Watanganyika tunafaidika na muuungano sanaaa kuliko wao....wataishi tu kama comoro, burundi na shelisheli wanaishi mpaka leo wao watashindwaje.....watajua wenyewe jinsi ya kuishi....Watanganyika tunaongea maneno mengi haya maneno hata wakoloni weupe walikuwa wanaambia wapigania uhuru....zanzibar mmesahau upemba na uunguja? Je, mtaendelea kwa jeuri gani. Serikali itaweza kuhudumia gharama hizi zilizoongezeka? Kwa pato gani, pato la zanzibar not more than bilioni mia tano kwa mwaka. Then compere na gharama za uendeshaji zilizo ogezekae(polisi, elimu ya juu, takwimu, n.k).kumbuka mnategemea sector ya huduma tu hasa mahoteli na watalii wengi walio kuwa wanaingia zanzibar sio wa direct to znzr ni wale waliokuwa wanakuja mbuga za wanyama na kutazama mlima kilimanjaro ndo walikuwa wanamalizia zanzibar then wanakwea pipa. Zingatia pia, kwa dizaini hii ukivunjika huu muungano ujue wakija means wanakuja kwenye nchi mbili, so gharama zitaongezeka kwao na kuathiri soko la utarii zanz ambalo ndo linachangia kwenye pato la taifa kwa kiasi kikubwa. Ila kubwa zaidi kwani nyie wazanzibari hamjui yanayo endelea huku zanji, kunakampeni za kuwafukuza wapemba unguja? Na ambazo zinashamili sana kila iitwapo leo. U wil spend a lot of time kupambana nyie wenyewe kuliko kujenga nchi.......binafsi siwalaani., bt zanzibar endapo muungano ukivunjika mtatikisika sana na kurecover itawachukuwa mda na msipo angalia you 're going to die. Mnafurahia mauti yenu, sio mbaya lakini
waacheni watajua wenyewe maneno ya kikoloni haya na mnawapa kichwa cha bure kabisabora muondoke tu. Manake mna kelele sana. Na mtajuta. Manake mpaka sass tunawalipia kila kitu. Jussa ungefanya cost benefit analysis ndo ungejua watu wanachokwambia.