vyuku
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 503
- 86
Sasa kwa msururu huo, kuna muungano hapo? Mambo mengine haya ni vichekesho, kwani huu muungano wa nini hasa? Mi naona unatujazia Wapemba Buguruni, bora uvunjike warudi kwao wakakazane kwenye mikarafuu
Nadhani wewe umetoka mikoani kuja dar ukubwani,kwa taarifa yako hao wapemba ndio waliotustaarabisha sisi wabongo,kila unachokiona kimaendeleo ya jamii walikuja kukianzisha wao,sisi wazawa wa dar tunayaelewa hayo,hii nchi km sio wapemba hd leo ht tv na video tusingezijua,mtu wa kwanza kuanza kuuza tv bara alikuwa mpemba ba hamadi,na yeye ndie alianza kuleta vitu vyengine vya electroniki,tunatoka mitaani kwenda dukani kwake mjini kushangaa tu,wakati huo nadhani ww upo kwenu kijijini ht nguo huijui unavaa ngozi,sis tunaamini kuwa km sio hawa wazanzibar hd leo ustaarabu wetu ungekuwa duni sana,msiwachukie tu kuwaona wasumbufu hao wanachodai ni cha kweli kabisa,Nyerere alitumaliza wabara kimaendeleo tukawa mambumbumbu totoro,mmekuja kuikuta dar ina magorofa tu kutoka mikoani mwenu maskini hamjui kuwa wapemba ndio wenyewe zile mdogo wangu na sio za wachaga.