Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

Sasa kwa msururu huo, kuna muungano hapo? Mambo mengine haya ni vichekesho, kwani huu muungano wa nini hasa? Mi naona unatujazia Wapemba Buguruni, bora uvunjike warudi kwao wakakazane kwenye mikarafuu

Nadhani wewe umetoka mikoani kuja dar ukubwani,kwa taarifa yako hao wapemba ndio waliotustaarabisha sisi wabongo,kila unachokiona kimaendeleo ya jamii walikuja kukianzisha wao,sisi wazawa wa dar tunayaelewa hayo,hii nchi km sio wapemba hd leo ht tv na video tusingezijua,mtu wa kwanza kuanza kuuza tv bara alikuwa mpemba ba hamadi,na yeye ndie alianza kuleta vitu vyengine vya electroniki,tunatoka mitaani kwenda dukani kwake mjini kushangaa tu,wakati huo nadhani ww upo kwenu kijijini ht nguo huijui unavaa ngozi,sis tunaamini kuwa km sio hawa wazanzibar hd leo ustaarabu wetu ungekuwa duni sana,msiwachukie tu kuwaona wasumbufu hao wanachodai ni cha kweli kabisa,Nyerere alitumaliza wabara kimaendeleo tukawa mambumbumbu totoro,mmekuja kuikuta dar ina magorofa tu kutoka mikoani mwenu maskini hamjui kuwa wapemba ndio wenyewe zile mdogo wangu na sio za wachaga.
 
Nimekosa cha kuandika kwa hasira,, hivi wana nini hawa?? Watoke tu!
 
Mkishapata mamlaka mnayotaka,ngojeni sasa kina Jusa,seif,Hasanal muanze kubaguliwa,huyu ni mhindi,huyu ni muarabu,huyu ni mshihiri,hapo ndio mtajuwa umuhimu wa muungano,mtaanza kufukuzana wenyewe kwa wenyewe.

Nyie ndio mbaya zaidi kwani mtaingia katika huyu ni Mkristo na huyu Mwislam.Na kura zenu zitaangalia DINI na sio weledi. Dalili zote zimeshaonekana.

Tuombe heri
 
chabuso,

..mimi nimekuonyesha kwamba Tanganyika ilikuwa mwanachama wa UN in 1961.

..Zanzibar ilikuwa mwanachama wa UN in 1963. tena nyinyi mliwatungulia hata Oman ambao walipata uanachama in 1971.

..data nilizokuletea nimekupa mpaka link ya UN wenyewe.

..what more do u need ili kujiridhisha kwamba Tanganyika ilikuwa mwanachama wa UN kabla ya Zanzibar, Uganda, na hata Kenya??

..madai kwamba kiti cha Tanzania UN kilikuwa cha Zanzibar siyo ya kweli. Ukweli ni kwamba nchi hizo ziliunganisha uanachama wao baada ya muungano.
Asante jokakuu,hawa wanadanganyana,hata ukienda mzalendo net,wanaweka mpaka picha kwamba zanzibar ndio ilikuwa na kiti UN,Tanganyika ilikuwa haina kiti,twatumia kiti cha Zanzibar UN,asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Ndio watu wanapambana na ufisadi wenyewe.
Bilioni 32 zinapochotwa kupelekwa znz bila sababu ni ufisadi.

Kutoa umeme watu wasiolipia ndio ufisadi.
Kufidia bajeti kwa bilioni 500+ kwa mzanzibar ndio ufisadi.
Kusomesha watoto wa znz bure kwa gharama za Watanganyika ndio ufisadi.
Kuwapa ajira wznz kwa kigezo cha uznz na siyo sifa ndio ufisadi.

Kuongeza serikali ya muungano ambayo znz haiwezi kuiendesha hata kwa mwezi mmoja ndio ufisadi.
Kutoa nafasi za uwiano katika mambo bila kuchangia sawa ndio ufisadi.

Kumlipia mznz ulinzi akiwa amelala bila yeye kutoa gharama ndio ufisadi.

Kwahiyo Watanganyika wanapambana na ufisadi sasa hivi, hao wamnaobia bilioni 2 ni wachache kuliko wale milioni 1 wanakwapua mabilioni kwa jina la muungano.

Unachokiona hapa ndio mapambano ya ufisadi, kwani unadhani ufisadi ni upi tena?

JokaKuu, Ghibuu, Jasusi,Kichuguu

Asante sana,Wa Tanganyika kumbe tulikuwa twaumia sana.
 
Mkirua , Birigita.

Jamani uchumi ni fani na sio bla bla.

Siku zote ukiwaona watu wazima kabisa wanakubali bila kulazimishwa KUTEMA ASALI NA KUTAMANI PILIPILI. Usiwabeza wameona mbali hao waachwe tu.

Sasa Nyie mmejipanga vipi na Katiba yenu? Je tume yenu ile ile ambayo Mzee Mtei alisema wamejaa wadini wengi.

Poleni sana

Angalau umekiri kuwa wanatema asali wanameza pili pili. Time will be our best teacher kwani unaweza ukawa pia ni uendawazimu kwa mtu mzima kwa hiari yko kutema asali ukameza pilipili.

Sisi hatukurupuki kwani bado tunawashangaa kukubali kumeza pilipili na wakati utakapofika Tume itaundwa na kufanya kazi yake. Hatuwezi kutumia tume ya sasa kwani alichokisema mtei ni kweli kabisa nami nakuongezea pia kuwa ina Raia wasio Watanganyika...i.e Wazanzibari....Wameshakuwa magavana huku kwetu kiasi cha kutosha hatuwahitaji tena waje watuandikie katiba.Kumbuka achekaye mwishoni hucheka zaidi.
 
Mkirua.

yaliyotabiriwa na UAMSHO yametimia na sasa tunategemea Znz huru yenye mamlaka kamili kama doula kamili.
Uzanzibari kwanza, Utanzania baadaye.

Sasa wasiwasi wenu nini kuanzisha Serikali yenu ya Tanganyika mpaka mnapoteza muda mwingi kuifikiria Znz ambao kimsingi ina Serikali yake tayari.

Dalili zote zipo wazi kwanu kuwa UDINI umeshika kasi. Sijui tume yenu itakuwaje na viongozi wenu watakaaje kama itakuwa sio kupkezana Mwislam na mkristo.

LET TANGANYIKA COME TO FREE ZNZ
 
Nadhani wewe umetoka mikoani kuja dar ukubwani,kwa taarifa yako hao wapemba ndio waliotustaarabisha sisi wabongo,kila unachokiona kimaendeleo ya jamii walikuja kukianzisha wao,sisi wazawa wa dar tunayaelewa hayo,hii nchi km sio wapemba hd leo ht tv na video tusingezijua,mtu wa kwanza kuanza kuuza tv bara alikuwa mpemba ba hamadi,na yeye ndie alianza kuleta vitu vyengine vya electroniki,tunatoka mitaani kwenda dukani kwake mjini kushangaa tu,wakati huo nadhani ww upo kwenu kijijini ht nguo huijui unavaa ngozi,sis tunaamini kuwa km sio hawa wazanzibar hd leo ustaarabu wetu ungekuwa duni sana,msiwachukie tu kuwaona wasumbufu hao wanachodai ni cha kweli kabisa,Nyerere alitumaliza wabara kimaendeleo tukawa mambumbumbu totoro,mmekuja kuikuta dar ina magorofa tu kutoka mikoani mwenu maskini hamjui kuwa wapemba ndio wenyewe zile mdogo wangu na sio za wachaga.

si kweli,mpemba amekuja tanganyika alikuta Maghorofa yapo,mpaka wakienda kwao wakisema,ukienda Bara kuna sehemu ukipita hunyeshewo na mvua,Tanganyika iliendelea mapema kabla nchi nyingi Duniani,na makabila mengi yakaja Tanganyika,kuanzia waarabu,wahindi,wasomali,wamalawi,wa kongo,wachina,wazungu nk,nchi ilianguka kiuchumi baada ya vita vya uganda,kama Idi Amini,asingetuletea vita,tungekuwa mbali,Tv zilikuwapo Tanganyika mda mrefu,magari yalikuwapo Tanganyika mda mrefu,kama kungekuwa Tanganyika hakuna neema na maendeleo,hao wapemba wasingekuja huku Tanganyika,ukarimu wetu na kuwapokea ndio leo twaonekana wajinga.
 
Mkirua.

yaliyotabiriwa na UAMSHO yametimia na sasa tunategemea Znz huru yenye mamlaka kamili kama doula kamili.
Uzanzibari kwanza, Utanzania baadaye.

Sasa wasiwasi wenu nini kuanzisha Serikali yenu ya Tanganyika mpaka mnapoteza muda mwingi kuifikiria Znz ambao kimsingi ina Serikali yake tayari.

Dalili zote zipo wazi kwanu kuwa UDINI umeshika kasi. Sijui tume yenu itakuwaje na viongozi wenu watakaaje kama itakuwa sio kupkezana Mwislam na mkristo.

LET TANGANYIKA COME TO FREE ZNZ

Ngonjeni mubaguane,huyu mwarabu ,huyu mhindi,na huko zanzibar wapo pia wakristo wazaliwa wa huko,pia watataka wapte uraisi.
 
Si ukweli,soma upate elimu,uelewe,acha maneno ya vijiweni.

Neno la kijiweni liko wapi kayika maelezo yangu?

Ukileta nchi inayoitwa Tanganyika karne hii, utapata shida kujitambulisha.

How does it sound umeenda nje ya nchi halafu unasema mimi ni Mtanganyika?

Wanaweza kusema labda unatokea kigoma, Tanzania!
 
Mkirua.

yaliyotabiriwa na UAMSHO yametimia na sasa tunategemea Znz huru yenye mamlaka kamili kama doula kamili.
Uzanzibari kwanza, Utanzania baadaye.

Sasa wasiwasi wenu nini kuanzisha Serikali yenu ya Tanganyika mpaka mnapoteza muda mwingi kuifikiria Znz ambao kimsingi ina Serikali yake tayari.

Dalili zote zipo wazi kwanu kuwa UDINI umeshika kasi. Sijui tume yenu itakuwaje na viongozi wenu watakaaje kama itakuwa sio kupkezana Mwislam na mkristo.

LET TANGANYIKA COME TO FREE ZNZ
Barubaru,
Niliwahi kukuita mfadhili wa uamsho kumbe sikukosea...

Pili nikutoe hofu sisi hatuna wasiwasi wowote ila ulikuwa ni wajibu wetu pia kuwaasa kwakuwa tuliona mapema kuwa mnapotoka maadam sikio la kufa halisikii dawa tutabakia kusema tu nenda mwana kwenda...Ni mtu anayefikiri ant clockwise ndiye anayeweza kushabikia utengano....wakati tunaongeza maeneo ya ushirikiana EAC, AU nk ninyi mko busy na Uzanzibari ambao kimsingi hauwezi kudumu kwani ninyi si wamoja....tunasubiria mechi ya upemba na uunguja ila nikutahadharishe hatutaki wakimbizi...huko huko shimoni mombassa mlikozoea.

Swala udini bila Muungano wala halina nguvu yeyote kwani UAMSHO ndilo lilikuwa tatizo....sasa mkeshakuwa nchi jirani ni kujihadhari tu kama tunavyojilinda na Al Shaabab kule somalia basi. Ukristo na Uislamu bila zanzibar sio issue kabisa.
 
Hao ni vibaraka,hakuna uhuru wakati sltani bado anatawala,mpaka mapinduzi mtawala alikuwa ni sultani.

Sultan alikuwa mzanzibar,alipopinduliwa aliomba ukimbizi UK hakwenda Oman,Uingereza mpaka leo kuna malkia lakini kuna waziri mkuu vile vile,si Uingereza peke yake ina huo mfumo huo wa serikali bali nchi za skandanavia,Holland nk,na huo ndio mfumo wa serikali ulikuwepo Zanzibar,mpaka mlipo leta mfumo wenu wa Chama kushika hatamu 😉

Ukizungumzia kuhusu vibaraka kwahiyo Wazanzibari wote vibaraka kwani hao watawala wa sasa hapo zanzibar hamna hata mmoja mwenye generation hata mbili hapo zanzibar kuanzia Karume na wengineo,wote wageni

Propaganda tumejazwa tuwaone hao masutan ni wageni lakini kama mtu ana kizazi cha generation zaidi ya tano katika sehemu anayoishi utamwita mgeni huyo?,....au ubaguzi wa rangi ndio uliomfanya aonekane mgeni
 
chabuso,

..tukirudi kwenye suala la UN. wewe siyo Mzanzibari wa kwanza kudai kwamba Tanganyika haikupata kuwa mwanachama wa UN. where did you get that information from?? nchi yoyote ile inapopata uhuru wake basi haichukui muda kuandikishwa uanachama UN.

..mimi nina swali moja kwako. je, unamfahamu Balozi wa Zanzibar UN baada ya mapinduzi na kabla ya muungano?? mabalozi wa Tanganyika kipindi hicho walikuwa ni Chief Mang'enya[Jan 1963 - June 1964] na John Malecela [Nov 1964 - March 1968]. Sasa kumbuka kwamba TANZANIA[tgk + znz] uanachama wake UN ulianza Nov 1, 1964.

..zaidi, kwanini mnazungumzia uanachama wa UN tu? kwanini hamzungumzii uanachama wa Tanganyika na Zanzibar ktk OAU?? kwa uelewa wangu by 1964, Tanganyika ilikuwa ina nafasi na heshima kubwa sana ktk OAU. kama sijakosea tayari tulishapewa dhamana ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya ukombozi wa kusini mwa Afrika ya OAU. sasa ndiyo maana wakati mwingine nashangazwa kidogo na madai ya baadhi ya wa-Zanzibar kwamba kabla ya muungano, Tanganyika ilikuwa haijulikani pahali popote.

..jambo lingine umeligusia kuhusu Jamshid kukimbilia Uingereza badala ya Oman. sina uhakika, lakini inawezekana sababu kubwa ni kwamba mwaka 1964, Oman ilikuwa choka mbaya. nadhani hazina ya mafuta iligunduliwa miaka ya 70.

cc: Nguruvi3, GHIBUU, Barubaru, Nonda

Nimekuwekea video mbili moja zanzibar kukaribishwa UN,ya pili zanzibar na kenya wanapandisha bendera yao UN,katika hizo video kama ukisikiliza utajua nani alikuwa balozi wa zanzibar UN

Je wewe unayo video inayonesha Tanganyika inapandisha bendera UN,tumeiona ya Kenya tuwekee ya Tanganyika 😉
 
Hapo ndio ujuwe kama uhuru ulikuwa wa bandia kwa sababu haiwezekani,nchi iwe huru na sultan awe madarakani.

Kaka una ishi dunia gani??? huo mfumo wa serikali upo Uk,scandinavia,Nertherland nk,Sultani alikuwa mzanzibar kuliko hata karume;karume kaja zanzibar ana mika 5.hajazaliwa zanzibar,hana hata generation moja kwenye familia yake pale zanzibar, hao watu wanaoitwa masulatan wana zaidi ya generation tano hapo zanzibar,halafu tunambiwa kuwa masulatan walikuwa warabu,mimi nikiangalia picha naona wote wamefanana na Salim Mohamed salim 😉
 
chabuso,

..tukirudi kwenye suala la UN. wewe siyo Mzanzibari wa kwanza kudai kwamba Tanganyika haikupata kuwa mwanachama wa UN. where did you get that information from?? nchi yoyote ile inapopata uhuru wake basi haichukui muda kuandikishwa uanachama UN.

..mimi nina swali moja kwako. je, unamfahamu Balozi wa Zanzibar UN baada ya mapinduzi na kabla ya muungano?? mabalozi wa Tanganyika kipindi hicho walikuwa ni Chief Mang'enya[Jan 1963 - June 1964] na John Malecela [Nov 1964 - March 1968]. Sasa kumbuka kwamba TANZANIA[tgk + znz] uanachama wake UN ulianza Nov 1, 1964.

..zaidi, kwanini mnazungumzia uanachama wa UN tu? kwanini hamzungumzii uanachama wa Tanganyika na Zanzibar ktk OAU?? kwa uelewa wangu by 1964, Tanganyika ilikuwa ina nafasi na heshima kubwa sana ktk OAU. kama sijakosea tayari tulishapewa dhamana ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya ukombozi wa kusini mwa Afrika ya OAU. sasa ndiyo maana wakati mwingine nashangazwa kidogo na madai ya baadhi ya wa-Zanzibar kwamba kabla ya muungano, Tanganyika ilikuwa haijulikani pahali popote.

..jambo lingine umeligusia kuhusu Jamshid kukimbilia Uingereza badala ya Oman. sina uhakika, lakini inawezekana sababu kubwa ni kwamba mwaka 1964, Oman ilikuwa choka mbaya. nadhani hazina ya mafuta iligunduliwa miaka ya 70.

cc: Nguruvi3, GHIBUU, Barubaru, Nonda

Yote utaongea lakin umejipanga vipi kuanzisha Serikali ya Tanganyika ambayo wa Znz walikuwa wanawaombea kila siku muipate?

Let Tanganyika come to free Znz.

Znz kwanza, Utanzania baadae
 
Barubaru,
Niliwahi kukuita mfadhili wa uamsho kumbe sikukosea...

Pili nikutoe hofu sisi hatuna wasiwasi wowote ila ulikuwa ni wajibu wetu pia kuwaasa kwakuwa tuliona mapema kuwa mnapotoka maadam sikio la kufa halisikii dawa tutabakia kusema tu nenda mwana kwenda...Ni mtu anayefikiri ant clockwise ndiye anayeweza kushabikia utengano....wakati tunaongeza maeneo ya ushirikiana EAC, AU nk ninyi mko busy na Uzanzibari ambao kimsingi hauwezi kudumu kwani ninyi si wamoja....tunasubiria mechi ya upemba na uunguja ila nikutahadharishe hatutaki wakimbizi...huko huko shimoni mombassa mlikozoea.

Swala udini bila Muungano wala halina nguvu yeyote kwani UAMSHO ndilo lilikuwa tatizo....sasa mkeshakuwa nchi jirani ni kujihadhari tu kama tunavyojilinda na Al Shaabab kule somalia basi. Ukristo na Uislamu bila zanzibar sio issue kabisa.

Yale ya Mtwara ni UAMSHO nayo?

Sie yetu macho ila msingi mkubwa mumejipanga vipi kuanzisha Serikali ya Tanganyikaa na kuacha wakti wote kuifikiria Znz?

Mimi naamini wazi katika Serikali ta Tanganyika tutaona mengi sana ikiwemo Ukanda, Ukabila na UDINI.

Tuvute subra tuone.

Pole sana
 
Tangalanyika bila ya z'br inawezekana.

Mkuu Bopwe hawa jamaa badala ya kujadili lini wataanza mchakato wa Katiba ya Tangala Nyika wao wameshika Znz !!
Haya anzisheni katiba ya Tanganyika mukishakuipata tutaendelea na Muungano.Sheikh Ponda anawasubiri!!!
 
Yale ya Mtwara ni UAMSHO nayo?

Sie yetu macho ila msingi mkubwa mumejipanga vipi kuanzisha Serikali ya Tanganyikaa na kuacha wakti wote kuifikiria Znz?

Mimi naamini wazi katika Serikali ta Tanganyika tutaona mengi sana ikiwemo Ukanda, Ukabila na UDINI.

Tuvute subra tuone.

Pole sana

Madai ya Waislam ktk katiba ya Tanganyika-
Mahakama Qadhi
Ijumaa iwe Mapumziko
Madaraka sawa kati ta Wakiristo na Waislam
Rais wa Tanganyika iwe kwa zam kati ya wakiristo na waislam.
Katiba itambuwe kuwepo kwa Mungu.
.......
.....,,,,
 
Ngonjeni mubaguane,huyu mwarabu ,huyu mhindi,na huko zanzibar wapo pia wakristo wazaliwa wa huko,pia watataka wapte uraisi.
Haya ndiyo matatizo ya Watanganyika wengi!...achana na Zanzibar shughulikia na changamoto zako mwenyewe wakati wa kuanzisha Taifa changa Tanzania Bara au kuirudisha "old" Tanganyika.

Kuna changamoto za Wa-Kusini, kuna udini je utachukua sura gani baada ya Muungano kuvunjika? kuna ukabila na mengineyo.

Jali ya kwako; ni mzanzibari ndiye anayekusababishia wewe uipate Tanganyika yako, ni Mzanzibari ndiye anayekusababishia wewe uutue mzigo wa mabilioni ya kodi yako kupelekwa Zanzibar (ilhali Wazanzibari wenyewe wanajiweza na wala hawakuziomba) ulikuwa umekaa tu hata hujijui!

Wape heshima yao!
 
Back
Top Bottom