Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nyie ni watu wa majungu. Hapo unaona wivu jamaa kajenga kajumba kake si haba. Wewe unakimbilia huku kuleta majungu.wànyamwezi nyie shida sanaSoma mada uelewe acha kukurupuka , Majungu ndio watu wajenge Katikati ya barabara ? Bila kibali ? Masharti ya kujenga nyumba za ibada unayafahamu sure unajisemea tu .