Alichokisema Rais Magufuli Tabora ni kweli; majungu watu hawafanyi kazi. Kanisa lajengwa katikati ya barabara, lapiga muziki masaa 24

Soma mada uelewe acha kukurupuka , Majungu ndio watu wajenge Katikati ya barabara ? Bila kibali ? Masharti ya kujenga nyumba za ibada unayafahamu sure unajisemea tu .
Nyie ni watu wa majungu. Hapo unaona wivu jamaa kajenga kajumba kake si haba. Wewe unakimbilia huku kuleta majungu.wànyamwezi nyie shida sana
 
Jiki
Wanyamwezi mnapenda sana majungu. Rais alisema jambo hili. Ndo maana hamwendelei. Mnapenda sana majungu. Na wewe umeonesha mnavyopenda majungu.
Jikite kwenye mada , jibu hoja moja baada ya nyingine , don't attack aperson attach point , wewe unatetea ujinga na uvunjifu was sheria , unauhakika kila anachosema rais Yuko sahihi ? An idiot premature green imbecile .
 
Aiseee sikuangalia username yako kumbe ni chizi , Yaani unashabikia ujinga , ushamba , ulimbukeni , uvunjifu wa sheria bila kujua madhara yake ? Hujui katika jamii Kuna wagonjwa , wazee , watoto hujui kuwa wanaathirika na muziki wa sauti ya juu ,? Watu wote wakianza kujenga barabarani itakuwa nchi ? Una akili matope ukisali kama wanavyosali wengine kwa muziki mdogo tu wa kawaida mungu wako wa kilokole uchwara hasikii ?
 
Wanyamwezi mnapenda sana majungu. Rais alisema jambo hili. Ndo maana hamwendelei. Mnapenda sana majungu. Na wewe umeonesha mnavyopenda majungu. NYIE NI WATU WA MAJUNGU NA WIVU.
 
Yaani hujaelewa alichoandika mleta mada ? Jamii forum Sasa hivi imejaa watoto kweli , badala kujikita kwenye mada umekariri majungu majungu hebu eleza majungu yako wapi ? Rais alisema Tabora Kuna majungu ok majungu yapi ? Kati ya nani na nani maana mkoa mzima wabunge na madiwani wote ni CCM ? Wanaofanya majungu kina nani wapinzani ? Soma uelewe hoja za mleta mada hapo kiukweli kuna uvunjifu wa sheria waziwazi na kutowajibika kwa viongozi husika hulioni hili ? .
 
Umekuja kwa ID nyingine 😁😁😁😁😁

Wanyamwezi mnapenda sana majungu. Rais alisema jambo hili. Ndo maana hamwendelei. Mnapenda sana majungu. Na wewe umeonesha mnavyopenda majungu. NYIE NI WATU WA MAJUNGU NA WIVU.
 
Una hakika au umefika ukathibitisha aliyoaandika mtoa mada ?
Yaani hujaelewa alichoandika mleta mada ? Jamii forum Sasa hivi imejaa watoto kweli , badala kujikita kwenye mada umekariri majungu majungu hebu eleza majungu yako wapi ? Rais alisema Tabora Kuna majungu ok majungu yapi ? Kati ya nani na nani maana mkoa mzima wabunge na madiwani wote ni CCM ? Wanaofanya majungu kina nani wapinzani ? Soma uelewe hoja za mleta mada hapo kiukweli kuna uvunjifu wa sheria waziwazi na kutowajibika kwa viongozi husika hulioni hili ? .
 
Umekuja kwa ID nyingine [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wanyamwezi mnapenda sana majungu. Rais alisema jambo hili. Ndo maana hamwendelei. Mnapenda sana majungu. Na wewe umeonesha mnavyopenda majungu. NYIE NI WATU WA MAJUNGU NA WIVU.
Kweli wewe ni chizi kabisa!!
 
Kweli wewe ni chizi kabisa!!
Umekuja kwa ID nyingine
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png

Wanyamwezi mnapenda sana majungu. Rais alisema jambo hili. Ndo maana hamwendelei. Mnapenda sana majungu. Na wewe umeonesha mnavyopenda majungu. NYIE NI WATU WA MAJUNGU NA WIVU.
 
Halafu IDs zako unapenda neno King na Chief. Mle mle tu. 😂😂😂😂
Ulivyoenda Kongo ukiwa ndotoni ukaleta stori uchwara za kufuata utajiri na uzi umeukimbia ndio ulipata elimu ya ramli , naona unapiga mabao kweli , ulikosa utajiri ukaambulia ramli ?
 
Hapo kuna njia kweli imezibwa ama picha zingine utatuma maana sioni hata barabara naona kinjia tu cha wapita miguu hebu piga picha mkuu vizuri
 
We huwajui wanyamwezi. Hata Rais alisema ni watu wa Majungu ndo maana hawaendelei. Hapa wanataka mfanyia fitna sababu jamaa kajenga kajumba kake. Kanaeleweka.baada ya kushindwa kumroga wameona wapike majungu.
 
Ulivyoenda Kongo ukiwa ndotoni ukaleta stori uchwara za kufuata utajiri na uzi umeukimbia ndio ulipata elimu ya ramli , naona unapiga mabao kweli , ulikosa utajiri ukaambulia ramli ?
Unaona? Hata Rais alisema Wanyamwezi ni watu wa Majungu sana. Hata mimi unaanza nifanyia majungu
 
Hapo kuna njia kweli imezibwa ama picha zingine utatuma maana sioni hata barabara naona kinjia tu cha wapitua miguu hebu piga picha mkuu vizuri
Soma barua ya wakazi eneo husika attachments zipo juu . Ok wenye jamii forum Yao wamebloku kuweka picha mkuu labda nikutumie pm.
 
Back
Top Bottom