Alichoniambia mdogo wangu nawaza mpaka sasa nimekosa la kujibu, naombeni msaada wenu

Muulize kwanza ujue ana tatizo gani na alienda hospital gani. Kama ameenda hospital za ovyo ,aende NSK Hospital Arusha aonane na Dkt Lekundayo au St Thomas Hospital Arusha aonane na Dkt Msuya ,wote ni m gynecologists wabobezi na wamesaidia watu wengi , So aende huko kwanza then mengine aone itakuaje
 
Kinachokushinda Nini?
Acha ujinga.
Na ukila usinogewe
 
Kaka jambo hili si la kuleta hapa,huyo ni mdogo wako wa danu do the needful
 
Sasa kama ameshakuomba Umkazie ( Umtie ) Mkewe kinachokushangaza hapo ni nini? Acha Ubwege ( Ungende ) sawa?

Kama vipi tutumie basi Namba yake ya Simu ili tukutangulie Kumtia ( Kumkaza ) na tumpe Mimba anayoitaka.
 
Mpelekee moto huyo shemu

Kizuri kula na nduguyo

Ila hapa kuna maswali ya kujiuliza:
Vipi ikiwa shemu yako ndo ana tatizo la kupata mimba?

Vipi kama wewe na shemu yako mkanogewa je, ndo utakuwa mchezo wenu?
 
Mwambie mdogo wako amlete mkewe kwangu nimpe dawa ya uhakika.
 
Kuna maandiko yanakataza jambo hilo..

Walawi 18:
6 Mtu yeyote miongoni mwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi BWANA.
16 Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.

Afadhali kama mnaweza kumudu gharama mpelekeni hospital apandikizwe mimba (In Vitro Fertilization)
 
Totally bad idea bro!!!,ukifanya hicho. Kitu,hiyo ndoa ya mdogo wako kwishney,things will never be the same again,huyo mtoto akizaliwa,utakuwa unamuangaliaje?atakuita baba mkubwa,ndani ya moyo unajua ni mwanao!??ebu fikiria amekuwa mkubwa,very blight shuleni,Kawa tajiri kama Mond!!!manufaa yote yanaenda kwa mdogo wako,utaweza vumilia au utafunguka Dunia ijue??
Ni Bora mdogo wako atafute mtoto wa kulea,au apige mke chini tu
 
Nimecheka sana[emoji23][emoji23]. Naona wamemsaidia kurekebisha maneno.
Jamani lakini si kaeleweka! Siku hizi viswahili viko vingi sana,kuna hadi Kiswahili cha Kirundi au cha Kikongo ndiyo utacheka!!![emoji38][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…