Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Watoto hutoka kwa Mungu. Ukitaka shortcut utapata mtoto wa kipepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀jamaa anaandika kiswahili cha wapi sio cha kigoma kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah yaani nimeisoma kwa rafudhii husika nimecheka mpk nimelia
[emoji3][emoji3][emoji3]jamaa anaandika kiswahili cha wapi sio cha kigoma kweli
Nimecheka sana[emoji23][emoji23]. Naona wamemsaidia kurekebisha maneno.
Kaka jambo hili si la kuleta hapa,huyo ni mdogo wako wa danu do the needfulMdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.
Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.
Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!
Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
Sasa kama ameshakuomba Umkazie ( Umtie ) Mkewe kinachokushangaza hapo ni nini? Acha Ubwege ( Ungende ) sawa?Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.
Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.
Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!
Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
Nimekusoma vema.Huo msaada utaleta shida, mdogo wako aikubali tu hali yake....
Kuna maandiko yanakataza jambo hilo..Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.
Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.
Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!
Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
Totally bad idea bro!!!,ukifanya hicho. Kitu,hiyo ndoa ya mdogo wako kwishney,things will never be the same again,huyo mtoto akizaliwa,utakuwa unamuangaliaje?atakuita baba mkubwa,ndani ya moyo unajua ni mwanao!??ebu fikiria amekuwa mkubwa,very blight shuleni,Kawa tajiri kama Mond!!!manufaa yote yanaenda kwa mdogo wako,utaweza vumilia au utafunguka Dunia ijue??Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.
Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona kama naota vile! Kumuuuliza tena anasema ni kweli ameamua kabisa. Amuulize zile siku za kupata mimba kisha amueleweshe saana mimi nikalale naye apate mimba.
Nimewaza sana sijui nimsaidiaje huyu bwana mdogo, maana yupo na hakika kabisa kabisa. Nimemuuliza je, kwanini asimshirikishe mkewe hilo jambo? Akainijibu nikitaka anaweza muita waje wote tu. Hilo jambo sasa sielewi, je, kweli nimlale mke wa mdogo wangu ili apate mimba? Sielewi maana ni kama ndoto kabisa!
Na mke mwenyewe ni mzuri sana kabisa. Je, nimlale? Je, nifanyeje na mdogo wangu ananikumbusha kila mara kuwa kaka nisaidie jambo langu?
Bora uliiquote maana kaedit hivyo nikawa sizielewi comments za mwanzo🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah yaani nimeisoma kwa rafudhii husika nimecheka mpk nimelia
Jamani lakini si kaeleweka! Siku hizi viswahili viko vingi sana,kuna hadi Kiswahili cha Kirundi au cha Kikongo ndiyo utacheka!!![emoji38][emoji3]Nimecheka sana[emoji23][emoji23]. Naona wamemsaidia kurekebisha maneno.
😂😂😂Saidia mudogo yako ipate endeleza ukoo na heshima kwa jamii