Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana


Noma sana hadi nimecheka
 
Nishawahi kutenda wema wa pesaa nikalipwaaa kutapeliwaa lakini wew mkuu wema wakoo ulivuka kipimo lakini Ulicholipwaa aiseee hao wamama kuna jambo litawapata hawatajua kuwa ni Laana ya walichokufanyiaa...!! Pole sanaa dunia hii kumtendea wema hasa mwanamke jiulize mara mbilii hawa viumbe sio kabisaa..
 
ulikosea yule mama hakujua kama wewe ndie ulikuja na huyo kijana ulitakiwa ujitambulishe alifikiri unataka kumtongoza, na yule mwanamke wa mwanza wanawake wengi shida yao inapoisha huwa wanasahau namba za simu namba za simu wanazokumbuka ni zile wanazopata pesa kwa kuomba ndio huzishika na kusave
 
Ilitakiwa umshukuru jamaa. Ata kusema asante tu.
 
Sasa huyo mama yeye hakumuona jamaa anampa salam???? Salam tu hajaitikiaa.. na alikuwa anawasiliana na mtu muda wote why hakuuliza huyo mtu yukp wapi??? Wew inawezekana ni mwanamke ila usitetee upuuzi wa mwanamke mwenzioo..
 
Tenda mema uende zako.
Hiyo ulivyotenda ni sadaka.
 
Hawo viroboto ndiyo wanasababisha watu wenye mahitaji ya kweli wakose msaada, maana unakuja kujiuliza hivihuyu nikimsaidia si ndiyo wale wale wasiokuwa na shukrani. Ukishamsaidia hana muda na wewe, Mwengine unamtumia hela kwenye simu akiipata hatakwambia, mpaka umpigie tena umuulizie kama aliipata.
 
Usirudie tena hilo kosa ulilofanya iko siku utapewa msala utakoma kazi za kusafirisha mtoto anapewa konda mimi kuna mtoto wa Shemeji yangu yaani dada mdogo wa mke wangu mtoto mwenyewe ni wa kiume huwa anasoma huku Mwanza darasa la tatu englisha medium.
Kila likizo huwa nampakia kwenye basi unampa konda buku 10 mtoto anafika vizuri tu .Imagine bahati mbaya huyo mtoto augue akate roho wewe utakuwa na wakati gani? polisi utakwenda japo hutafungwa lakini utavunja ratiba zako.Imagine ulikuwa unakwenda dar ukapande ndege uende Ulaya huku una msala wa polisi maelezo.

Take care bro wema mwingine karaha hao wamama watakuwa ni wa kabila lileeeee silitaji liko huku kanda ya ziwa ni watu wa hovyo sana hata kuoa hawafai.Ukichunguza hao wadada wote wawili si ajabu hakuna hata mmoja mwenye mume maana angekuwepo mume angekuja stand shame on them
 
Hilo ndio tatizo la waswahili, maana sidhani kama huyo mama yake hakuwa na taarifa kama mtoto wake kuna mtu amekabidhiwa aje na Dar.
 
Aiseee!
Kuna watu si waungwana kabisa..

Kuna mmoja naye hivyohivyo,alikabidhiwa mtoto.
Amehangaika na mtoto wee,yule mtoto ilikuwa anaishia Moro,yeye anapitiliza Dar.
Njia nzima anawasiliana vizuri kabisa na wa kumpokea.
Huwezi amini gari imefika Moro,yule wa kumpokea mtoto hayupo Stand,anapigiwa hapokei,
Hadi gari inaondoka hapokei.
Ikabidi aongee na kondakta wamuache mtoto zilipo ofisi zao.

Gari imeondoka dakika 10 mbele yule wa kumpokea anaanza kupiga simu na maneno ya kejeli.
Anaelekezwa pa kumchukua mtoto,amekaza fuvu..yaani,nikaimagine ningekuwa ndio mimi mtu aniletee hiyo miyeyusho.Sijui ningemjibu Nini.
Kuna mijitu ni mipumbavu jamani[emoji3064].


Kupitia hiyo scenario nilipata Somo,siwezi kujirisk kubeba mtoto wa mtu aisee.
 

Pole sana Mkuu. Tenda wema, usingoje shukrani, walisema wahenga.
 
Red flags zilianza kuonekana mapema,yani mtu yeye ndiye mwenye shida,then anakubip wewe ndiyo umpigie.wewe una roho ya kipekee mkuu,me sina wema huo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…