Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu.

Walikosa busara na hekima pia. Wasamehe tu na endelea kufanya wema kiasi uwezavyo, usiathiriwe na hao watu pori!
 
Sijawahi fanya hvyo Ila kupitia thred hii na shuhuda zenu siwezi saidia mtu kitu Kama hicho
 
Kijana, tenda wema nenda zako usingoje shukurani.
 
Daaa,kwa wema wote ule!!Mwanza mpaka Dar!!unambebea mtoto na hakuna Asante!!!
Mijitu kama hiyo ndio inafanya tuache kufanya wema.
Ila Mimi nimeishajifunza,huwa sitegemei jema kutoka kwa yoyote,nikifanyiwa jema,poa,nikifanyiwa ubaya,Wala hata sifikirii maana sikutegemea chochote.
 
Sijawahi fanya hvyo Ila kupitia thred hii na shuhuda zenu siwezi saidia mtu kitu Kama hicho
Mimi mwenyewe nimepata somo Mkuu.
Kupitia hii scenario ya jamaa,nikakumbuka recently nimeliona hilo linamtokea jirani yangu kwenye bus.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana kuna binadamu wa ajabu sana katika hii dunia potezea endelea na maisha yako mshukuru Mungu kwa kufika salama.
 
Mimi.nikisafiri sitaki usumbufu nisingekubali beba mtoto wa mtu...
 
Pole sana mkuu, nadhani walikuwa wanaogopa malipo
 
E bana toa taarifa polisi, isije kuwa umesafitisha mtoto wa kafara.
 
Wanawake wengi ndo wako hivyo, naweza omba pesa usipompa anakupotezea na ukimpa anakupotezea pia, mi huwa naona bora anichunie kwa kutompa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wengi wa kanda ya ziwa hawana shukrani wala fadhila, wakiwa na shida sasa hahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…