#COVID19 Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

Hebu tutajie aliyekulazimisha kuchanja anaitwa nani, ana nafasi gani serikalini na alisema lini au alitaka kusema lini. Team jiwe mna taaabu sana nyie.
 
Dunia imejaa sana watu wapumbavu, kwahiyo fanya kilicho nafsini kwako.
 
Kwahiyo una maanisha corona si hatari kama ukimwi ndio maana watu wanaweza kugomea chanjo za corona?

Cjakuelewa baba.

Hapa naunga mkono suala la chanjo, ata mimi nimepata chanjo.

Itakapowasiri chanjo ya ukimwi wa2 watajitokeza kwa wingi kupata,,,,nackia kila baada ya 6months unatumia dawa, itaperekea watu waendelee na ngono hata wakiasirika sawa tuu ilimradi ana2mia dawa ya muda mrefu. Huu ni upumbafu, siungi mkono.
 
Kwani unapovaa kondomu unajikinga na magonjwa ya zinaa au unakuwa unajichanja. Kwangu mimi naona tofauti baina ya kinga na chanjo.
 
Uliuliza kwamba kama ikija chanjo ya ukimwi wataipinga kama wanavyopinga chanjo ya corona? Ndio nami nikataka kujua kwamba umeuliza kwa kuona kuwa watu wameweza kuipinga chanjo ya corona kwa sababu labda corona si hatari kama ilivyo kwa ukimwi hivyo hatoweza kuwa na jeuri ya kupinga chanjo zake?
 
Wewe jamaa umelazimishwa na nani kuchoma chanjo?
Ukishawahi kufatea na mgambo uchome?
 
Una uhakika na hizi tuhuma ?
Ungeujua mchakato wa kupata chanjo usingeongea hivi, kwa kifupi ni kwamba una taarifa finyu sana juu ya zoezi zima la utoaji wa chanjo ya Covid hapa nchini.
Dada yangu tumbo moja baba mmoja kachanjwa kwa lazima baada ya kupeleka mtoto kliniki. Sina sababu ya kusema uwongo juu ya hili.
 
Kuna vimrija humo watu wanafyonza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…