Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

Hiv naomba kujua ina maana chadema bado mtakubali kushiriki uchaguzi chini ya hii tume ya uchafuzi ya ccm ya kuratibu wizi wa kura?
 
Kiufupi dada Tulia Sugu ana wewe hata uende kugombea kwenu Rungwe Sugu atakufata
 
Haya hivi sisi wananchi ,huyu Speaker anaetaka jimbo ligawanywe,kwanza anaweka mzigo kwa wananchi,hapo linaongezeka Shangingi jingine,mshahara wa mbunge,mafao 300M +

Hizo zingesaidia sana wananchi.Halafu jamani huko majimboni si kuna watendaji wengine? Huyu Speaker anaonyesha dharau, anapost video kama hiyo kweli?
Bila CCM kuondoka mambo kama haya ni kawaida. Utamlamlaumu spika lakini kumbuka mbwa akiwa na tabia mbaya anayelaumiwa ni mwenye mbwa. Kwa upande mwingine nakubali viongozi wetu ni reflection yetu lakini kwani kina Samia wana kazi gani? Kazi ya rais ni ku-break visual cycle za ujinga kama hivi.
 
Huwezi kuwa na jamii ya hovyo halafu ikazaa viongozi wazuri. Never
Ni kweli... lakini ni lazima tupate pa kuanzia ili tuweze ku-break hii visual cycle, na viongozi wa ngazi za juu ndiyo wanatakiwa kuwa na maono ya kurekebisha... Opss kumbe hata wao waliingia kwa bahati mbaya
 
Haya hivi sisi wananchi ,huyu Speaker anaetaka jimbo ligawanywe,kwanza anaweka mzigo kwa wananchi,hapo linaongezeka Shangingi jingine,mshahara wa mbunge,mafao 300M +

Hizo zingesaidia sana wananchi.Halafu jamani huko majimboni si kuna watendaji wengine? Huyu Speaker anaonyesha dharau, anapost video kama hiyo kweli?
Hatukumchagua alipitishwa na jiwe Baada ya kubaka uchaguzi
 
Haya hivi sisi wananchi ,huyu Speaker anaetaka jimbo ligawanywe,kwanza anaweka mzigo kwa wananchi,hapo linaongezeka Shangingi jingine,mshahara wa mbunge,mafao 300M +

Hizo zingesaidia sana wananchi.Halafu jamani huko majimboni si kuna watendaji wengine? Huyu Speaker anaonyesha dharau, anapost video kama hiyo kweli?
Tanzania kuna wananchi?!!!ni misukule yao tu ndio maana wanafanya wanavyotaka tu.Na hapo kitaandaliwa kikundi cha MACHAWA,kutaka kuhararisha huo ujinga.
 
Back
Top Bottom