Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

Hii nchi hadi huruma, viongozi ni wabinafsi sana. Tulia hebu ongonza Mbeya ,eti jimbo kubwa wakati kila mara unafanya sherehe tu. Nimesikia kuna Tuliamarathon sijui. Jitahidi kujenga huduma kwa wananchi.

Wananchi wanahitaji maendeleo na si sherehe kila mara kwa sasa. Maendeleo kwanza, sherehe baadae.
Ana mtaji wa wajinga jinga na wwapumbavu..mara ngoma .ujinga mtupu..shenzi kweli kweli
 
Off coz huyu Madam brain yake ipo juu sana na uwenda is Soo powerful woman who is unseen... Kiufupi amemdharau akimkumbusha sisi ndio sisi na ....... Sisi so amefurahi... Well napita
Spika kilaza kuliko wote. Naona kajiabisha kaamua kuja kujichekesha. Very stupid speaker.
 
Ni kwanini umeamua kuhusianisha maisha binafsi ya mtu na kutaka kulifanya kama suala la umma? Account ya social media ni jambo lake binafsi. Kwahiyo anayofanya kwenye account yake ni jambo lake binafsi na si lazima liwe na maslahi kwa umma. Mkuu, kwani hiyo account imeandikwa' Tulia' au ' Spika wa Bunge?'
Ukishakuwa kiongozi wa mhimili lazima ujifunze protocol za kazi. Wewe ni spika lakini unataka kusutana na watu mitandaoni. Kama unataka kuwa kiongozi Kuna ujinga unatakiwa uuache. Ajifunze kwa NDUGAI.
 
Spika kilaza, Kuna uhaba wa dola kwenye soko la Tanzania yeye anawaza kugawa majimbo. Very stupid.
 
Ukishakuwa kiongozi wa mhimili lazima ujifunze protocol za kazi. Wewe ni spika lakini unataka kusutana na watu mitandaoni. Kama unataka kuwa kiongozi Kuna ujinga unatakiwa uuache. Ajifunze kwa NDUGAI.
Alichopost hakina ubaya wowote.....ameweka "kicheko tu"".....na si cha yeye binafsi.....kuwa Spika si kuwa "antisocial"[emoji1787]
 
Kuliko Mbowe?!!!!
Sasa spika mzima unaacha kujadili upungufu wa dola kwenye soko, unaanza kujadili kugawanya jimbo la Mbeya mjini, halafu unakuja kujichekesha Kama kahaba twiter.

Pia, Tofautisha ukilaza wa spika na raia wa kawaida. Ukilaza wa spika ambaye mwishoni taifa linapata shida kwa ukilaza wake ni hassara.Tulia must go
 
Back
Top Bottom