Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

Haya hivi sisi wananchi ,huyu Speaker anaetaka jimbo ligawanywe,kwanza anaweka mzigo kwa wananchi,hapo linaongezeka Shangingi jingine,mshahara wa mbunge,mafao 300M +.Hizo zingesaidia sana wananchi.Halafu jamani huko majimboni si kuna watendaji wengine ?Huyu Speaker anaonyesha dharau,anapost video kama hiyo kweli ?
Hakuna dharau aliyoionyesha.....

Una yako tu Nkwimba.....
 
Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?

Off coz huyu Madam brain yake ipo juu sana na uwenda is Soo powerful woman who is unseen... Kiufupi amemdharau akimkumbusha sisi ndio sisi na ....... Sisi so amefurahi... Well napita
 
Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?

Ni kwanini umeamua kuhusianisha maisha binafsi ya mtu na kutaka kulifanya kama suala la umma? Account ya social media ni jambo lake binafsi. Kwahiyo anayofanya kwenye account yake ni jambo lake binafsi na si lazima liwe na maslahi kwa umma. Mkuu, kwani hiyo account imeandikwa' Tulia' au ' Spika wa Bunge?'
 
Tulia ni wale watu wenye kiburi. Ni wale viongozi ambao wanaona mtake msitake mtamfanya nini. Ukimsikiliza vizuri kuna muda kiburi chake kiko wazi wazi kwa sababu anajua hakuna wa kumfanya chochote. Nadhani ni video ya kumcheka sugu
 
Haya hivi sisi wananchi ,huyu Speaker anaetaka jimbo ligawanywe,kwanza anaweka mzigo kwa wananchi,hapo linaongezeka Shangingi jingine,mshahara wa mbunge,mafao 300M +.Hizo zingesaidia sana wananchi.Halafu jamani huko majimboni si kuna watendaji wengine ?Huyu Speaker anaonyesha dharau,anapost video kama hiyo kweli ?
Mbona umechelewa sana kumjua , sisi wengine tumeamua kuheshimu jf tu , lakini tukifunguka humu itakuwa balaa
 
Ni kwanini umeamua kuhusianisha maisha binafsi ya mtu na kutaka kulifanya kama suala la umma? Account ya social media ni jambo lake binafsi. Kwahiyo anayofanya kwenye account yake ni jambo lake binafsi na si lazima liwe na maslahi kwa umma. Mkuu, kwani hiyo account imeandikwa' Tulia' au ' Spika wa Bunge?'
Wewe huyo ni speaker,kila anachofanya tunamuangalia.Ni kiongozi huyo .Ni public figure.
 
Sawa,ni social media yes.Ila speaker kupost dharau kama hiyo hapana kwa kweli.
You're too stiff my dear.....

Yaani speaker kijana hatakiwi kuwa na "jokes" katika "political arena"?!!!!

Mmmh Nkwimba banaaa [emoji1787][emoji1787]
 
Tulia ni wale watu wenye kiburi. Ni wale viongozi ambao wanaona mtake msitake mtamfanya nini. Ukimsikiliza vizuri kuna muda kiburi chake kiko wazi wazi kwa sababu anajua hakuna wa kumfanya chochote. Nadhani ni video ya kumcheka sugu
Hana kiburi usemacho.....

Umeamua tu kumshambulia kwa sababu zako bwashee[emoji1787][emoji1787]
 
Tulia ni wale watu wenye kiburi. Ni wale viongozi ambao wanaona mtake msitake mtamfanya nini. Ukimsikiliza vizuri kuna muda kiburi chake kiko wazi wazi kwa sababu anajua hakuna wa kumfanya chochote. Nadhani ni video ya kumcheka sugu
Anatucheka wananchi ,maana hoja yake inalenga kuongeza mzigo kwa wananchi.
 
Tulia Huwa yuko busy na ile marathon yake yeye ka PhD holder mbona hicho ni kijambo kidogo sana, madam speaker yuko lucky kuwa speaker na amshukuru sana jiwe Huwa naona hajawa matured flani hata ukiangalia post.
Ningekuwa serikali ningepunguza idadi ya wabunge na sio kuongeza majimbo hapo wanatutesa raia Kwa kuongeza mitozo
 
Back
Top Bottom