Sossi
Senior Member
- Nov 9, 2022
- 159
- 200
Kayatulizaje hayo mafujo?Toka tulia achukue nafasi ya sugu,mbeya mjini pametulia sana hata mafujo ya hovyohovyo hamna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kayatulizaje hayo mafujo?Toka tulia achukue nafasi ya sugu,mbeya mjini pametulia sana hata mafujo ya hovyohovyo hamna
Basi sawa.Wewe huyo ni speaker,kila anachofanya tunamuangalia.Ni kiongozi huyo .Ni public figure.
Shida ya nchi hii ni kuongeza idadi ya wabunge au kuondoa changamoto za wananchi?Basi na Mbagala igawanywe.
Kabisa,badala ka kupunguza majimbo,yeye anatoa wazo la kuongeza majimbo.Then anatucheka kwenye mitandao ya jamii.Tulia Huwa yuko busy na ile marathon yake yeye ka PhD holder mbona hicho ni kijambo kidogo sana, madam speaker yuko lucky kuwa speaker na amshukuru sana jiwe Huwa naona hajawa matured flani hata ukiangalia post.
Ningekuwa serikali ningepunguza idadi ya wabunge na sio kuongeza majimbo hapo wanatutesa raia Kwa kuongeza mitozo
Cariha banaaa [emoji1787][emoji1787]Tulia Huwa yuko busy na ile marathon yake yeye ka PhD holder mbona hicho ni kijambo kidogo sana, madam speaker yuko lucky kuwa speaker na amshukuru sana jiwe Huwa naona hajawa matured flani hata ukiangalia post.
Ningekuwa serikali ningepunguza idadi ya wabunge na sio kuongeza majimbo hapo wanatutesa raia Kwa kuongeza mitozo
[emoji28][emoji28][emoji28] lohSpika ni mwanamke na hayo ni mambo ya kike, ndiyo ubinadamu. Mwacheni
Nkwimba unamshambulia tu mh.Tulia [emoji1787]Yaani,umeona eeeeh.
Haswaaaaa[emoji106][emoji2956]Sugu Hana uwezo wala ubavu wa kumng'oa speaker mbeya hyo haipo
Ningekuwa Rais ningepunguza idadi kabisa ya Hawa watu nakuhakikisha miundo mbinu inajengwa maana huko wilayani Kuna wakurugenzi kama watendaji wakuu,maana hata ukiwa na wabunge 1000 bila serikali kupeleka budget ni kazi bureKabisa,badala ka kupunguza majimbo,yeye anatoa wazo la kuongeza majimbo.Then anatucheka kwenye mitandao ya jamii.
Sasa Sugu ajipange kwa lipi tena wakati Tulia mwenyewe anamuogopa Sugu na sasa anatafuta sababu ya kumkimbia Mbeya mjini?Sugu Kwa mbeya ajipange Sana aisee
Sawa....Simshambulii,ila sikubaliani na yeye nutaka kutuongezea wananchi mzigo wa mbunge mwingine, on top of that anapost post ya kutucheka wana nzengo.
Kwa lipi?. Wakati yeye katoa boko.Anamcheka sugu
Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?
Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
Spika hatakiwi kuleta utoto. Kama anataka utoto ajiuzulu aende akacheze na watoto. Kiongozi lazima uoneshe utashishi wa uongozi sio kusutana.Sasa kama wanaleta utoto kwanini nae asilete utoto?
Spika namkubali sana Ila najua binadamu walivyoHuyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?
Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?
Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
Spika akiwa hivyo na wabunge je?. Kaomba Jimbo ligawanywe halafu anakuja kujichekesha mwenyewe twiter. Spika wa hovyo Sana. Sijui walimwokotea wapi. Bora zungu anajiheshimu sio huyo kilaza.Nkwimba una yako tu.....
Hiyo ni SOCIAL MEDIA...kwa hiyo mh.Spika si binadamu wa kufanya naye matani ?!!!!
Mmmh msukuma una tabu wewe[emoji1787][emoji1787]