Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Nisome tena, utanielewa. Nia ni kuwaokoa haijalishi nani amewaokoa. Tunachotaka ndugu zetu watoke wakiwa hai. Haya ya mwanamke na mwanaume baadaye, tukiwa kwenye furha kuwa wameokolewa. Kwasasa hapana huu ushindani, kuna watu vimewalamba huko, wanaunganisha wanawake wote.Naomba picha ya Mwanamke kabeba hata msumeno pale kwenye kifusi anakata nondo watu watoke
Huwa nawashangaa,wanasema mwanamke ni shetani, je kile kiumbe kilichobebwa tumboni mwake kinaitwaje??Ndiye aliyekuzaa, huenda akakulea mpaka kufikia, unamkashifu. Ina maana namzazi wako yumo.
Kuna kaukweli, maana hela zao hasa wafanyakazi waliioolewa sijui huwa zinaenda wapi πππ. Maana kila kitu ni ME. Jambo zito hili πππMimi naeleza ukweli wao walivo , na mawazo yao yalivo , usimuamini, mwanamke duniani hapa utaumia
Wanawake wa sasa mmekua wajuaji sana na kuhisi kila kitu mnaonewa na viburi juu, hebu bakini kwenye uanamke wenu familia zinaharibika sababu kubwa ni ujuaji wenu na kudai dai haki mwisho wa siku mnaishia kuzurura mitaaniMdomo huoπ€¨
Kashetani kadogo, kanakuja kukua linakuwa lishetani likubwa mwanaume π π π πHuwa nawashangaa,wanasema mwanamke ni shetani, je kile kiumbe kilichobebwa tumboni mwake kinaitwaje??
Nimekuelewa mkuuWanawake wa sasa mmekua wajuaji sana na kuhisi kila kitu mnaonewa na viburi juu, hebu bakini kwenye uanamke wenu familia zinaharibika sababu kubwa ni ujuaji wenu na kudai dai haki mwisho wa siku mnaishia kuzurura mitaani
Aisee inasikitisha sana.Huyu naye katikaπππ
View attachment 3154533
Bila shaka aliekoment hivyo atakua "proudly to be ....Huyu kaka anauza suruali za kike, jumla na rejareja. Alipookolewa kuna mtu, akaandika sasa kaka uache kuuza suruali za kike. Uanze kuuza za kiume. Kwa maana yake suruali za kike ni laana!!! Mmh!!!
Kuna watu wana Imani zao π huyu aliyeokolewa ni mmoja wao.
Kuokoa aaaaaah ππππUkweli hutaki kuusikia si ndio? Kulia tu ila kuokoa hapana
Ni kweli.Nadhani hakuna kitu kigumu kama kushuhudia jinsi unavyokufa mwenyewe pole pole.Bora hata upigwe na tofali la kichwa ufie hapo hapo kuliko kufa unajiona
Hahaha Wanawake weeee Wanawake waaaa haya nendeni mkabebe sululu pale kifusi kiishe sio kusubiria kulia wakati mambo mengine mnataka muende sawa na WanaumeNisome tena, utanielewa. Nia ni kuwaokoa haijalishi nani amewaokoa. Tunachotaka ndugu zetu watoke wakiwa hai. Haya ya mwanamke na mwanaume baadaye, tukiwa kwenye furha kuwa wameokoewa. Kwasasa hapana huu ushindani, kuna watu vimewalamba huko, wanaunganisha wanawake wote.
Maovu yaliletwa duniani na mwanamke bhana. Eve.MWanmke anaweza kuwa mwovu lakini siyo kwa sababu ni mwanamke, bali ni kwa nafsi yake.
Adam alipokuwa pekee alijiona hajakamilika. Alipompata Eva, alifurahi na kujiona mkamilifu.
"Moyo wangu wamtukuza Bwana, na Roho yangu inamshangilia Mungu Mkombozi wangu kwa kuwa ameuonaunyonge wa mtumishi wake, na tazama kuanzia sasa vizazi vyote vitaniita mbarikiwa"- Mama Bikira Maria.
"kwa mwanamke dhambi iliingia ulimenguni, na kwa mwanamke Ulimwengi ulimpata mkombozi" - mtume Paulo.
Enyi wanawake msikatishwe tamaa na maneno ya ufedhuli.
Nanyi wanaume, fahamuni kuwa Yuda Iskariote hakuwa mwanamke. Maovu mengi yanafanywa na wanaume.
Ulimwengu hauwezi kuwepo bila ya mwanamke.
vaeni mavazi yawapasayo. Binafsi mwanamke aliyevaa suruali huwa hanivutii hata kidogo!Yaani acha tu dear, nilisoma na nikarudia. Maana yake sikuipata. Ila Mwenyezi Mungu, hakukosea kutuumba.
Hatari sana mkuu unakufa nukta kwa nukta.......Bora hata upigwe na tofali la kichwa ufie hapo hapo kuliko kufa unajiona
Ameeleza kuwa hiyo picha alipiga wakati ameshapata matumaini kwamba anaokolewa maana hapo walikuwa wameshatolewa watu watatu na yy ndo alikuwa anafuata!Hiyo status kabla au baada ya kifusi, kwasbb hiyo ishara alio fanya ni ya kua na peace au akujua hilo
Kweli ni laana,sasa anapiga picha anaonesha vidole viwili kama demu ndo maana yake nnHuyu kaka anauza suruali za kike, jumla na rejareja. Alipookolewa kuna mtu, akaandika sasa kaka uache kuuza suruali za kike. Uanze kuuza za kiume. Kwa maana yake suruali za kike ni laana!!! Mmh!!!
Kuna watu wana Imani zao π huyu aliyeokolewa ni mmoja wao.
Acheni kugenelalize, kuna wanawake wengi wanatoa pesa kwa waume zao. Hela za wake zetu tunazila sana! Kikubwa usimuombe na asikuzidi uwezo. Lazima uishi nao kiakili.Kuna kaukweli, maana hela zao hasa wafanyakazi waliioolewa sijui huwa zinaenda wapi πππ. Maana kila kitu ni ME. Jambo zito hili πππ
Duh, tulitaka kupoteza mwananchi mwenzetu! Mungu awaokoe wote!View attachment 3154487Usipoteze tumaini na Imani MOYONI mwako hii ndio hukupa nguvu ya kutokata tamaa. Mungu hutushindia tulio na tumaini na imani ili tuwe mashuhuda wa kati ya walikuwa na AMANI ππΏ
Mungu awalinde na awakoe kwa mkono wake wa ushindi ambao bado wanalotumaini katika mazingira ya kifusi na walioko hospital ππΏ
Nini tena mkuu π€£..Acha tu yaani jana kuna kitu nimeshuhudia nikachoka ila Wanawake Mungu awaache waishi tu tuishi nao hivyo hivyo tu hakuna namna