Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

Hujajibu hata swali langu moja katika maswali niliyo kuuliza,
Kuleta issue ya rais wa France sio justification ya alichofanyiwa huyo jamaa kua ni sahihi au ni ubinadamu,

Hapa hatupo kwenye mashindano,ungejibu tu maswali yangu kwanza.
 
Msafara wa mwenge hauko kisheria soma katiba uone misafara inayotambuliwa.
Kwa nini walituoa mzigo wako tena kwa makusudi wanauweka kwenye mtaro wa maji kwangu kitendo hicho ni cha kishetani kabisa na hakiko kwenye PGO yao.
 
Hujajibu hata swali langu moja katika maswali niliyo kuuliza,
Kuleta issue ya rais wa France sio justification ya alichofanyiwa huyo jamaa kua ni sahihi au ni ubinadamu,
Hapa hatupo kwenye mashindano,ungejibu maswali yangu.
Gentleman,
nimekueleza maana yamsafara, faida na hasara za kutii msafara kwa afya na uhai wako.

na nimekuonya wewe na wenye dharau wengine dhidi ya misafara mbalimbali kwamba mtu anae karibia kufa hua mbishi, mjeuri na mwenye kiburi sana.

don't try that at school or at home.stay safe. Public sympathy haiwezi kurejesha uhai wako wala furaha ya familia yako ukipoteza maisha kwenye msafara kwa kiburi chako 🐒
 
Gentleman,
nimekueleza maana yamsafara, faida na hasara za kutii msafara kwa afya na uhai wako.
Kuna sehemu yeyote ile mimi nimekuuliza maana ya msafara?
na nimekuonya wewe
Huna mamlaka ya kunionya mimi,wala kunipa guidance ya aina yeyote ile,am far away from you,
don't try that at school or at home.stay safe. Public sympathy haiwezi kurejesha uhai wako wala furaha ya familia yako ukipoteza maisha kwenye msafara kwa kiburi chako 🐒
Ukituliza akili na kuondoa mudi ya kubishana au kutafuta justification ya alichofanyiwa huyo mwenye Pikipiki,soma tena comment yangu 35# ili ujibu maswali yangu.
 
HApo adhabu gunia moja mtaroni..pikipiki imewekwa kando..huenda akapigwa tu faini....wakisema wafuate sheria huenda adhabu itakua yakuumiza zaidi kwa alieingilia msafara
 
Mbona wamefanya fair tu, hawajampiga wataizuia pikipik kwa muda ili akalipe faini mbili. Angetaka haki angetimiza kwanza wajibu wake wa kutii amri ya kuzuiwa kupita barabaran wakat msafara unapita
Umeangalia hiyo clip?

Vipi kitendo cha kutupa kwenye mtaro chakula alichokua amebeba? hiyo imekaaje?
Sheria inasemaje?
Inawezekana kua amekosea but kutupa hayo magunia kwenye mtaro ni sawa?

Kosa moja halihalalishi kosa lingine.
 
Gentleman,
ikiwa ujeuri na kiburi chako kinakusaidia,

mi nadhani ni muhimu zaidi ukakiongeza mara dufu na ukakitumia kikusaidie zaidi kukiuka maelekezo ya kiusalama na itapendeza zaidi.

Lakini kama ni kwaajili ya kutafuta public sympathy tu, nadhani utapata hasara wewe binafsi, huku familia yako ikiambulia masikitiko na huzuni tu 🐒
 
Nimeiangalia hii video na kugundua kuwa jamaa hajapigwa bali amepewa adhabu ya kulitoa hilo gunia ambalo ni zima hapo mtaroni. Kuthibitisha hili baada ya kuona gunia la pili linatobo, hawakulidondosha mtaroni maana maharage yangemwagika. Kuna muda tuangalie vitu vingine kwa jicho la udadisi wenye kutafuta uhalisia wa jambo na si kuwa biased ndugu zangu.
 
Ni upumbavu tu Hilo li kibatari lenu la uchawi na matambiko alilowaachia babu yenu ndiyo limewafanya polisi wawe wanyama
 
Msafara wa mwenge hauko kisheria soma katiba uone misafara inayotambuliwa.
Kwa nini walituoa mzigo wako tena kwa makusudi wanauweka kwenye mtaro wa maji kwangu kitendo hicho ni cha kishetani kabisa na hakiko kwenye PGO yao.
Kwa hiyo harusi za watu kwa sababu hazipo kisheria basi una uhuru wa kwenda na kuvamia harusi ya mtu na usiwajibishwe?
Je yeye kisheria alikuwa sahihi kuingilia msafara wa mwenge hujui kuwa alikuwa anahatarisha maisha yake?
 
Kiburi si maungwana. Kwanini alishindwa kufuata maelekezo?
 
Hapo wamempa kama onyo tu...
 
Inasikitisha kati ya wote hakuna hata mwenye busara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…