britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #321
Hadi rora ree amecomnt...😅Uzi hautembei kabisa 😄
Naaam naam naaam wewe nadhani ni mtu pekee ulomjua nishaNilichelewa kuiona hii ila Nisha anapiga jaramba soon anaitwa mezani, nakumbuka Nisha alisema ukweli na leo anakaribia mezanya mfalme.
Daa maisha haya!!
Mkubwa na wanae.Naomba mtu Mmoja mwenye Akili sana.
Aliyesoma Uzi Huu.
Aniunganishie Kwa Ufupi, Uzi Huu na Kujiuzulu Kwa jambazi la meno ya tembo.
Simbacha,,,,,,Atakua Ndungai
Kwa sababu walengwa ni great thinker tu ili vilaza, makopo na mapapai wasije wakacopy na kusambaziana huko facebook.Sababu ya kuandika kwa code ninini?
USSR
Ama ni bi zuhuraKisha akafutwa kazi kabla ya ramadhani 😂
Nisha ni mgonjwa anaetafutwa haonekani kazini kwakeTo me NISHA ndo code ngumu kuing'amua
Ndio maana pakaitwa home of great thinkers...position yako ipo wapi hapo?Anayejua code ya NISHA tafadhali fanya ku-share upendo.
Code ni kitu ya kumnyima mtu kweli.