Kwahiyo siyo yule aliyetoka cbb tena?Nisha:- Moja kati ya mabinti warembo warembo ndani ya Chama na wanaaminika sana!
Anaweza kuwa aidha msanii,mwanamitondo n.k!
Inawezekana hata kwenye safari ya korea ya Sasha alikuwepo kama msanii !sio mtu mgeni hapo nyumba kubwa anaingia na kutoka kama nyumbani!!
Wazoefu wafananishe haiba ya uandishi na warembo wanaoingia ikulu Kila mara!
Sio Naibu mkuu huyuHuyo ni agent si lazima awe mtu mkubwa tunayemjua sana. Tutafute ni mbongo gani mwenye asili ya Rwanda (ambaye ni Rwandese ila anatumia passport ya Tanzania akijifanya mbongo). Ambaye somehow sio myonge mpaka anapanga appointment na Rais, ila pia alipewa kazi si muda mrefu kwenye wadhifa fulani au cheo fulani hata kama ni private sector. Tafuta
Ina maana ni z. Yunus!!?alietumbuliwa kipindi kile!!?Kwahiyo siyo yule aliyetoka cbb tena?
Dah!
Kibaigwa Simba chawene,Muha -aliekua RC simiyu yule Mzee wa escrow!Nisha kwamba eti kidoti!!?hapana,inaaminika katokea cbb-bbc ya london sio huyu Z yunus!!?sidhani pia!anajua BritanicaCode code za mwanzo nimezielewa hapa mzee wa Kibaigwa, Nisha na Muha zimenitoa knout
99%
Aslimia Moja uongo wake ni Majina
Ila ni stori ya kweli
Huu uzi unapoelekea ni kwenye hatari, maana umebeba ujumbe mzito, japokuwa umekaa kicode tu.
Ushauri mod wa JF ufuteni haraka. Mtakuja kunishukuru.
Somehow inamake sense flan iviiNisha:- Moja kati ya mabinti warembo warembo ndani ya Chama na wanaaminika sana!
Anaweza kuwa aidha msanii,mwanamitondo n.k!
Inawezekana hata kwenye safari ya korea ya Sasha alikuwepo kama msanii !sio mtu mgeni hapo nyumba kubwa anaingia na kutoka kama nyumbani!!
Wazoefu wafananishe haiba ya uandishi na warembo wanaoingia ikulu Kila mara!
😀😀Inaonekana hyu raraa reree yuko active saana basi na mm asisahau kunitagHuu uzu umenipa wazimu kiasi kwamba simalizi dakika kumi bila kuingia jf. Nina hofu kubwa episode ya mwisho itakaposhushwa itasomwa na watu wachache kisha kufutwa na mods wa jf maana Bri kasema atataja majina sasa dah sipendi inipite kabisa yaani. Kwakuwa raraa reree uko hewani naomba hata kama sitausoma unitunzie
Raraa reree likes .Upumbavu huu yaani unaweka nukta
🤣🤣🤣🤣kwako huu ni umbeya kweli umebeba fuvu yaan huna kitu kichwani ndo maana huwezi elewa.Mwanaume hua akubali kudanganya na kusapoti umbea kama huu mpaka hapo wewe ni zuchu tu
Hahaaaa angalia mwenyewe nimejiuga longtime na miaka **** na humu jukwaaniHata hunifahamu JF umekuja juzi sa hizi unanipangia mweeee
Ila hapana according to the thread ni kwamba NISHA alhojiwa miezi mitatu nyuma and alwataja walomtuma.....Binti mrembo unayemzungumzia ameendelea na Kaz hata taifa siku ya UVCCM alkuepo....nkiunganisha dots Binti mrembo siyo NISHANisha:- Moja kati ya mabinti warembo warembo ndani ya Chama na wanaaminika sana!
Anaweza kuwa aidha msanii,mwanamitondo n.k!
Inawezekana hata kwenye safari ya korea ya Sasha alikuwepo kama msanii !sio mtu mgeni hapo nyumba kubwa anaingia na kutoka kama nyumbani!!
Wazoefu wafananishe haiba ya uandishi na warembo wanaoingia ikulu Kila mara!
Britannica🙌🙌🙌Naaam naam naaam wewe nadhani ni mtu pekee ulomjua nisha
And who is she?Britannica🙌🙌🙌
Finally nimemjua pia