Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Mzee mlezi hawezi kukosekana kwenye mchezo huu,tena huwenda yeye ndie mchezeshaji na anacheza na kuchezesha kwa akili nyingi , rejea msemo wake wa maharibiko kati ya kipindi kile na kijacho ndio yamtoa kwenye reli aliyeko relini
Labda mambo yaharibike sana!!?nasikia Ile kauli ndio ilienda na maembe ya Rondo!
 
Haya yote ni madhara ya kuruhusu nembo Moja kushika hatamu Kwa muda mrefu matokeo yake ndio haya wakianza kulana hakuna pa kukimbilia!

Tungeweka utamaduni wa nembo kubadilishana tungewapa nafasi walioharibu kukaa benchi ili waje kivingine na usalama plus ahueni hata kwa system ungekuepo yaani Twishi wangepumua na kazi ingekua rahisi kuliko kuchunguzana na kuparuana na wanafamilia wa nyumba moja!!

Kitabu kipya kije kisaidie haya la sivyo IPO siku zitapigwa kavu kavu chimwaga!
 
Sijaelewa leo code zimekua ngumu sana
 
Si Urusi kumbe?
Na hivi w
Team Lowasa kwa hivi sasa wako kundi lipi?
URUSI anasema hivo kupoteza watu ili asifahamike. Team Lowasa hawana kundi ndio maa SASHA a.k.a SA-SU-HA ameamua afanye nae kazi. Maana nirahis kuwacontrol maana Godfather wao hayupo. Ndio maana ni ngumu SASHA kumtumbua SHEAB ndugu yake Mzee wa nje ya box.
 

" Mama inawezekana hamjui ni nani huyo" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatari sana.

Mkuu hivi Gilbert Masawee si ni huyo huyo Britannica au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…