Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Guys, I'm really getting perplexed. Yaani watu wawe na njama mbaya kiasi hicho dhidi ya mtu mkubwa halafu baadhi yao waishie tu kunyang'anywa vyeo na ndiyo inakuwa basi?! Kwani pale panapokuwa na taarifa za uhakika uhaini uanzia wapi?
 
Lamomy nililala shost ndio naamka hivi fanya unifafanulie hizo codes za leo metoka kapa
Haya tayari nimeshasoma
Here we go

TWISHII - Tithii
CTRA- TITHIARAEI

Glopu- ule ukirudi tunasema huooo

Kijana aliyekuwa glopu- mwanzo wa mwaka

Kijana wa 70โ€™ aliyekuwa kwenye visikilizia na kujua mitaa- Bumunda Nepi ya huye

Boss wao wa vijana- kinono mzee wa vitaru vya mbugani

Mzee wa firigisi- born town wa kibaha kwa mbele former rice cooker

Magnet genge- hawa ni wale ndugu zetu wenye kabila linaongoza kwa ushamba Tz baghosha

Yanayoruka ruka jikoni- Maharage kande

Mengine ntarudi kesho kukufafanulia nimekuja mara moja nione ilivyoendelea.!! Tchao

Kwako mwalimu kashasha raraa reree
 
vipi hajaendeleza umenisaidia hapo aliposema ya mbeya maj mara moja niliewa hivyohivo we hauogopi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ