Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Haya tayari nimeshasoma
Here we go

TWISHII - Tiss

Glopu- ule ukirudi tunasema huooo

Kijana aliyekuwa glopu- mwanzo wa mwaka

Kijana wa 70’ aliyekuwa kwenye visikilizia na kujua mitaa- Bumunda Nepi ya huye

Boss wao wa vijana- kinono mzee wa vitaru vya mbugani

Mzee wa firigisi- born town wa kibaha kwa mbele former rice cooker

Magnet genge- hawa ni wale ndugu zetu wenye kabila linaongoza kwa ushamba Tz baghosha

Yanayoruka ruka jikoni- Maharage kande

Mengine ntarudi kesho kukufafanulia nimekuja mara moja nione ilivyoendelea.!! Tchao

Kwako mwalimu kashasha raraa reree
Afu mjinga mmoja anataka kuoa mwanamke kama wewe?? Unafungua codes ngumu hivi, zipu je??
 
Ujingaujinga mwingi
Huyu wa hukohuko kapewa kazi ya kuwapelemba
Upuuzi mtupu, CCM haitokaa itolewe kwa maana mambulula hii nchi ni zaidi ya asilimia 80
Nyuzi nyingi za namna uwa zinakuja kimkakati sana ila unapaswa kuwa makini mno

Kuna nyuzi za kuharibiana,kusigiana kunguni,kuandaa propaganda na kupeana promo

Ila uzi kama huu ukiusoma kwa kukalili uwenda ukajua ni cooked propaganda ila kiukweli huyu bwana britanicca ni mmoja wa watu wanaofanya kazi TISS au Magogoni-Chamwino ila anatoa siri fulani kwa umma……..Hii ni human’s nature kuwa Mwanadamu mwenye siri nzito hutafuta pa kupumulia……..hii hutokea ata kwa MOSSAD,CIA au KGB

Ngoja tuone mambo yatakuwaje Ila kwenye ulimwengu wa intelligency siri uwa hazidumu sana ndio maana vipenyo wengi uwa wanauawa haraka sana pale siri za wakubwa zinapovuja haraka kwa raia
 
Haya tayari nimeshasoma
Here we go

TWISHII - Tithii
CTRA- TITHIARAEI

Glopu- ule ukirudi tunasema huooo

Kijana aliyekuwa glopu- mwanzo wa mwaka

Kijana wa 70’ aliyekuwa kwenye visikilizia na kujua mitaa- Bumunda Nepi ya huye

Boss wao wa vijana- kinono mzee wa vitaru vya mbugani

Mzee wa firigisi- born town wa kibaha kwa mbele former rice cooker

Magnet genge- hawa ni wale ndugu zetu wenye kabila linaongoza kwa ushamba Tz baghosha

Yanayoruka ruka jikoni- Maharage kande

Mengine ntarudi kesho kukufafanulia nimekuja mara moja nione ilivyoendelea.!! Tchao

Kwako mwalimu kashasha raraa reree
Uko vizuri kwa kweli
 
Back
Top Bottom