Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

ila paka kmmke zake, kosa walifanya walinzi wa getini kwanini mtu aingie na uchafu wake adi kwa SASHA, kwani kwa Sasha hakuna camera ya kumonitor akiwa namgeni au walinzi? Tiny mistake can cause major casualties,

Ndo maana vile vipodozi vilipita hadi na nywila za katibu then na nywila za SASHA, ila inasemekana kondakta alishawah msave SASHA apo mwanzoni ilitakiwa apande mdudu chande azunguke nae ktk kampeni ila yule mdudu alikuwa ametegeshewa hitilafu ili asifanikiwe kuwa mayor wa south
Kumbe ndio maana wajenzi wanataka kumuhonga mkulu SASHA chande wa Billion Kenda na Moko kwa kisingizio anaupiga mwingi😂
 
Hata Kijana wa 70+ wa Kwanza Mastermind, Bwana February Mauzi hujamtambua???

Wakamtaja na Yule wa Mbeya Maji Mara moja kuwa alihusika kwenye mikataba ya Ulaghai hata hapo hujajua ni Bwana Beans??

Wa Kusikiliza Masikioni Bwana.. aah we kama huelewi basi Bwana. Nenda Jukwaa la MMU tu kachangie uzi wa Kula kimasikhara
1.February Katani
2.Beans Ndecha
 
Back
Top Bottom