Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Odo wa kugalagala chini kuomba ridhaa ya wanakijiji 😹Ni jike la Tanga huko.

Bro huo mbona sio wimbo wa TaifaDaah stupid.
how dare unachomelea shit zako kwenye wimbo wa taifa??????
Ni kipaji piaMi natabiri tu.! 😹
Aiseeh mtandao mkubwa sana, yule wa Ngamia anayeenda sana kusini itakuwa alijulikana muda mrefu hata ktk mipango ya kpnd kile Cha machozi na yule ambaye baadae alitolewa na chipukizi baada ya kutoa tahadhari ya kupigwa chenchi kitalu chetu Cha urithi Kwa bondi zilizokithiri, huyu wa kuthini akaongezewa msaidiziSimu ilipoita akapokea Sauti ni Yule Mzee MABENDERA akaongea kwa kuuliza kwanza Hali yako mwanangu, NISHA akasema safi sana,
MABENDERA Akauliza Usalama upo?
NISHA Akajibu clear yaan hakuna shida.
Huku TWISHI wakirekodi ujumbe ambao ulisema hivi kutoka kwa MABENDERA bila kujua Jamaa yuko BYENJANGU.
“Shughuli inatakiwa kukamilika mapema kabla ya vikao vya vile (aliongea kwa fumbo) ambavyo ndo vita kuwa na tathmin ya mwenendo wake Kama Ana uwezo wa kuendelea ama lah na inabidi kuhesabu miezi sita kabla ya mkusanyiko Kwakuwa hapo akishaonekana hawezi akashindwa kutimiza majukumu inakuwa ndo kwisha habari jitahidi ufanikiwe suala hili” alimalizia Huku bila kujua amesikilizwa na wengine na NISHA akijibu kwa shinikizo, Huku Safari ikiendelea,
Baada ya kufika huko wakamuhoji sana kuhusu mpango husika na kwanini hasa alitaja sababu zilezile zilizooneshwa awali, sasa TWISHI wakaamua wambackmail yeye kwamba hizi taarifa BOSS hana Ila wanataka yeye awasaidie kupata taarifa za wanaomtuma kwa kumuahidi ulinzi na pia kumpa support ya mazingira anayotaka awe comfortable kufanya kazi, ndani ya week Walikuwa wana mmnonitor sana kila movement yake na wakapata taarifa za kila mtu na tarehe ilopangwa na kikao gani na kwanini wanatumia ZOLA chat inayofuta baada ya nusu saa mlichojadiliana na si ya CTRA hawawezi ijua, wakagundua.
Kijana mmoja wa miaka ya 70
Amekusanya Pesa kubwa sana kutokana na GLOPU yaan Pesa ya kutosha sana kwa mikataba kadhaa ya kuboresha GLOPU kumbe ni ya Ulaghai, alipoamishiwa kwingine alikusanya Wamanga wote wawakilishi wa kila kiota na waliohama kwa mama zao wakienda kujitaftia chakula kwa viota vingine wakachangua ujira mwiha, wakati wakichangia yeye anaongea kwamba sioni Boss akitoboa nusu ya CHUMUNI, mmoja akarekodi akatuma, na huyo aliyerekodi NISHA na audio, ikawa imepelekea kujua kwamba kuna hili na kile, likaletwa faili kwamba kwenye kutunza UJIRA MWIHA anayeshika mikoba alikuwa MD wa BENK moja ya ushirikiano ambapo ilishababishaga mwanasheria mmoja atolewe nje akiwa amebebwa akipinga BENK Hiyo kuuzwa kipindi cha LOFALODI
Kijana mwingine wa Miaka ya 70 yeye kwanza angezaliwa DRC Kama si Fally pupa basi ni Fere Gola kwa rhumba, huyu alikuwa kitengo cha visikilizia masikio na alitumia na kuwafundisha wana afrika kusini mitaa yao ikoje, hilo somo tu limetumia zaidi Pesa za kughushi, Huku akikusanya za NUSU CHUMUNI boss asitoboe, taarifa zote zikanyakwa! Mpaka kuna bajet ya ambao wana afrika kusini ilibidi awaelekeze kutokea juu kabisa kwa hewa waelewe vizuri mitaa yao! Akaenda kwenye visikilizia masikio, badala zitumike njiti 5 za masikio yeye akawa anawaambia waandike zimetumika 15 ili masikio yasikie vema !
Akaanza vikao vimefanyika vikao zaidi ya 30 kwa Mzee wa FIRIGISI kule kwa waongea kizuru na yeye ndo alipata elimu tu miaka Hiyo na alipoambiwa akawa anachanganya na zake
Basi baada ya kugundua uchafu wote huo ikabidi Taasisi iwasilishe Report ya kiuchunguzi na walichobaini,
Wakagundua watu hawa ni Hatari
1. Mwanaume wa 70+
2. Mwanaume wa 70+. 2
3. Jamaa mkubwa sana TWISHIII
4. Mzee wa BANDARI
5. NISHA
6. MZEE WA FIRIGISI
7. WA MAGNET GANG WATATU
8. MAPINGILI SHINGONI alihisiwa kwa kuwa alitajwa Mara moja kwenye ishu ya NAMDI
9. YALE YA MBEYA NAYO YALITAJWA MAANA YANARUKARUKA SANA WAKATI WA KUIVA
10. WAFADHILI WANNE WA HAPO KWENYE NGAMIA MMOJA ANAKWENDAGA SANA KUSINI
11. GENZ , huyu nimempa jina hili Kwakuwa ameshtumiwa kwa kuhisiwa tu ila hakutajwa popote, kilichofanya aangaliwe ni kijana kabisa wa mmoja wa niliotaja juu,
Baada ya hapo akawa anakuwa terminated mmoja mmoja na kuwafanya wawe surprised kwanini hatua hizi,
Mpaka sasa NISHA anaendelea kuongeza mambo na kutoa ushirikiano chini ya ulinzi ambao aliyekunywa ulanzi hawezi Jua Kama yuko chini ya Ulinzi,
Hii ya kumzuia MUHA asiingie inaonesha kwamba tuwe makin sana si kila unayemfukuza ni anakuwa mbaya,
Katika kumchunguza MUHA wakajua ni mtu aliyesomea mambo ya Intel naye Yupo pale kwenye kusafisha maua miezi zaidi ya nane Lakin Mwanzoni walikuwa wamemkatalia kwamba yeye Boss anataka watu wa Madagaskar Kwakuwa wa South afrika hawana maadili, baadae ikaja kuonekana ndo kaokoa jahazi maana bila yeye hali ingekuwa mbaya zaidi,
BOSS ANAOGOPA MNOOO MNOOO HATA MAJI HANYWI HATA WALE WALOKUWA WANANPA CHAKULA NA KUPIGA NAO SOGA ANAWAOGOPA MPAKA SASA NA WENGINE KAWABADILISHA WOTE MAJUKUMU PALE KWENYE OFIS YA MEYA
NUSU CHUMUNI PAGUMU UPUKUTISHAJI UNAENDELEA, MEYA ANAOGOPA HADI MJUSI
BRITANICCA
Haya huyu mkusini lazma ana kafaili kake, haiwezekani ghalfa tu apandishwe cheo awe bi mkubwa 🤔Aiseeh mtandao mkubwa sana, yule wa Ngamia anayeenda sana kusini itakuwa alijulikana muda mrefu hata ktk mipango ya kpnd kile Cha machozi na yule ambaye baadae alitolewa na chipukizi baada ya kutoa tahadhari ya kupigwa chenchi kitalu chetu Cha urithi Kwa bondi zilizokithiri, huyu wa kuthini akaongezewa msaidizi
Kabisa, na Sasa makazi ya meYa yanafanyiwa usafi wa nguvu, kuondoa buibui,mende,kunguni,kupe,viroboto yaani mwendo wa kufamigate tu, na soon chawa wenye vichwa viwili watapulizwa dawa.Haya huyu mkusini lazma ana kafaili kake, haiwezekani ghalfa tu apandishwe cheo awe bi mkubwa 🤔
Huyohuyo 😁Odo wa kugalagala chini kuomba ridhaa ya wanakijiji 😹
Niliona shem unazunguka 😹Huyohuyo 😁
NaamBrii ubuyu umeisha?
Nimeingia ss hivi nikusome nikajua episodes zimekimbia kumbe bila bila.??
Acha nirudi kulala nilinde ndoa 😹😹😹
Aiseee britanicca kwenye majina nimeambulia namba 9, 5, mengine nimetoka chaliiNi Jumapili Nyingine ambayo imejaa utulivu wa aina yake, ni miezi kadhaa imepita Mrembo ambaye nitampa jina la NISHA, Ambaye alitumwa kwa kazi maalumu kutafuta Nywila kwa Boss Ambaye nitamuita SASHA.
Ikatangazwa kazi na Kampuni fulani maarufu hapo nchini, lengo ni njia ya mwanadada NISHA toka Nchi ya jirani kwa wafugaji ili apewe kazi kwa maelekezo maalumu akisaidiana na mmoja wa wapelelezi ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye taasisi kubwa ya kupeleleza ambayo kwa jina kwa uzi huu ntaiita TWISHI,
Huyu Dada mrembo mrefu mithili ya twiga alikuwa amemaliza masomo yake nchini Urusi ila alikuwa anatumia Passport ya nchi ya boss SASHA, kabla ya hapo dada alishawahi fanya matukio mawili makubwa, miaka kadhaa kabla hajaenda Urusi alikuwa na genge lake la wadada ambao walidukua taarifa kutoka kwenye laptop ya waziri wa nchi hiyo hiyo akiwa hotelini.
Kabla NISHA au genge lake halijatekeleza jambo huwa wanahakikisha wanapata usaidizi toka kwa mamlaka za viongozi vijana waliozaliwa miaka ya 1970, mmoja alikuwa kwenye ngazi ya kuhakikisha mpango unasukwa vizuri, wasiweze kupatikana kwa kuwa tracked, hata malipo yao ni cash siyo benki au mobile money.
Kazi inaanza sasa,
NISHA anaamka asubuhi kuelekea kuanza majukumu akiwa na gari aina ya lexus, anaingia getini kama kawaida, anakaguliwa kila kitu, anaruhusiwa, wakati wa kuscan kuna kitu kilionekana ila walinzi walipuuzia kwa kuwa alikuwa anaingia mara kwa mara na vipodozi na perfume kama wanawake kawaida yao ilivyo, kumbe mle kwenye beg ana posionous perfume, na unga wa sumu wa kupakaa kwenye viti na faili lolote atakalogusa SASHA.
Alibeba aina 5 za sumu, kuna ya kupuliza, kuna ya kuweka kwenye kinywaji, kuna ya kumfanya asinzie, sumu hii si ya kuua kabisa ila inadhoofisha mtu hadi kushindwa majukumu yake makubwa ndani ya muda mfupi yaani kwenye miezi miwili mtu nywele zinakuwa zimenyonyoka na kuisha kabisa, na mwili unavimba sana kupita kiasi.
Akaingia kwenye majukumu akisubiria kwenye ofisi ambayo lazima SASHA aingie, na alipea masharti kama anapuliza ndani awahi kuondoka eneo husika ili naye asidhulike maana unapopuliza ukawahi kupata dawa ya kukuondolea madhara ndani ya nusu saa haudhuriki, ile ya kumwaga kwenye mafaili, ilikuwa ni kama kupuliza imeshindikana,
NISHA akiwa na wadada wengine wawili wanamwambia katibu wa SASHA kwamba kuna ujumbe muhimu wanataka kuonana naye, kama kawaida katibu ananyanyua simu kumpigia SASHA anapokea
Basi SASHA katika Mazungumzo akaruhusu wakaingie kumuona, NISHA anagonga kifua kwamba dili limekamilika vya kutosha hapa, na ile mpango wa vijana wa miaka ya 70, imekwiva sasa na itavuruga ratiba ya kuwa Mabosi kama yeye.
NISHA akanyanyuka kuelekea ofisi ya SASHA, Anafunguliwa mlango,
INAENDELEA hapa Mwendelezo: Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu (2)
WA PILI
NISHA akaingia kwenye ofisi alipokuwa SASHA, akiwaza kueleza sababu za kumpeleka pale na sababu haikuwa ya msingi ilikuwa kuzuga kuzungumzia Mambo ya Ukataji wa miti kule mzee wa Toronto aliposema patakuwa Kama toronto, ili SASHA anapogeuka tu Unga anao.
Kabla sababu ya kwanini yuko pale SASHA akapokea simu toka kwa KIBAIGWA man, kwamba kuna mtu anataka appointment naye, Ila SASHA akaidharau Hiyo simu, alikuwa ni mvulana mdogo tu anayefanya kazi ya maua kwa Jina maarufu MUHA, akaambiwa kwamba asubirie SASHA mwanaume huyu ana watu wana mazungumzo ofisin, na na vielelezo kabisa,
Kumbe huyu MUHA Ana watu ndani ya CTAR Ambao wanajua kila mipango ovu dhidi ya Boss ila hawako na Jamaa wa miaka ya 70 wala Yule Bos anayewalinda hawa vijana wa miaka Hiyo ambao wanakataa kwamba mtu Haiwezekani atoke Madagascar awe meya South Afrika.
Akasisitiza Ana jambo la Muhimu sana kumweleza SASHA pale getini na kwa katibu wake wakasema, hii ishu ni kwa utaratibu wa appointment si kukurupuka, maana maeneo yale unaweza pewa kesi kubwa hata ukibishana na dereva tu
MUHA ikabidi amvute pembeni mzee wa kibaigwa, akamwambia ikabidi afunguke Kwamba huyo dada aloingia ndani ana Lexus na nguo za pink Suruali na t shirt atasababisha ama Nusu mlingoti au kwa mujibu wa anavyozinyaka Kama si nusu mlingoti basi ni siku 90 za kuwa hoi,
Hapo hapo wakaampuuza na kuendelea na shughuli zake Kwanza yeye akawekwa chini ya ulinzi kwamba mtu wa maua tena toka Migebuka Lini ukawa na Habari nyeti?
Mmoja wa walinzi ambaye nampa jina la MASUDI akasema tusidharau wakaingia kwenye camera za scanning
Walianza kuangalia wakagundua kuna mambo wameyachukulia simple na ni Hatari, maana kuna liquid ambazo hawakukagua ni nini wakidhani ni perfume au maji,
Msaidizi wa MASUDI akanyanyua simu akapiga kwa katibu,
Katibu akamwambia kwamba Kuongea na SASHA ni ngumu au security service! sasa ikabidi masudi aache kazi pale Kwakuwa simu imedharauliwa ili akimbie kabisa Kwenda kumwambia ana kwa Ana
Akaenda alipofika, Ikabidi katibu kwa ku sweat haraka ananyanyua simu Kwenda kwa SASHA
ITAENDELEA … Je NISHA ALIKAMATWA???
NAMBA TATU NI HAPA
Baada ya MASUDI kufika kwa katibu na simu ikapigwa kwa SASHA, kwamba wana jambo Muhimu la kumueleza Huku sauti ikisikika Kama kuna jambo haliko Sawa, ikabidi amuambie BEGA wa kushoto kwamba mwambie NISHA anisubirie nje kidogo, alitahamaki badala ya kumweleza yeye kwakuwa wamekaa wote Ila alimweleza BEGA WA KUSHOTO amwambie NISHA,
Baada ya NISHA kutoka nje zikaanza serious screening kwa kila aliye pale na wakakuta NISHA Ana Vimiminika kadhaa Kama ambavyo MUHA alikuwa kasema, ikabidi aitwe MUHA, na watu wa Ulinzi akawekwa mtu kati, jambo ambalo halikutegemewa SASHA akafichwa kutokana na protocol husika, na uwajibishwaji wa aina ile si wa mchezo,
Watu wa TWISHI wakamchukua wakamuweka mtu kati NISHA na MUHA,
MUHA anahojiwa amepata wapi taarifa zile? Lakin pili wakemia wakalazimika kutumika kujua nini NISHA alibeba, ikathibitika pasina Shaka kwamba ni sumu kutokana na ingredients zake,
TWISHI kupitia KITUO CHONGEO wakambana sana NISHA kaanza kufunguka japo ilichukua muda sana kusema ukweli,
Ikagundulika Tarehe ** 024 Mbele ya Tawi la Benk ya NNAMDI ilipaki gari landcruiser prado yenye namba T* D*** ikiwa na MABENDERA ni mzee wa makamo ambaye pia alikuwa ni msaidizi wa SASHA kwenye ukanda wa South Afrika wala si Madagaska na Huyu amehusika zaidi aliitwa mabendera kisa meli zote zilizokuwa zinasafirisha nyusi za Sungura Kimagendo Kwenda ngambo alikuwa anaweka bendera za south Afrika yake, wakati nchi haijui, na ni Kama mshauri wa vijana wa 70,
Basi Waliletewa bahasha kubwa maana hawapokei kupitia benki, na huo mzigo ilikuwa kwa ajili ya kutekeleza Suala hili,
Wakagundua kwamba si wavulana wa miaka ya 70 tu wanaotaka wanayotaka bali nyuma kuna mkono wa Mkuu wa wale wa TWISHI, na Baadhi ya wafanyakazi wa ofis ya SASHA,
Ikaandikwa report uchunguzi ukaendelea huku NISHA akiendelea kushikiliwa kwa mahojiano zaidi, nini hasa lengo la kufanya hivyo,
MUHA alihojiwa na maelezo yote alosema ni Kama ambavyo walipata kwa NISHA kwa kumtega asilimia 60 yalioana,
Ikabidi sasa mzee yule afuatiliwe kwa kina kabisa kabla hawa hawajapeleka faili kwa SASHA, katika kufuatilia zaidi Hiyo ya sumu ilikuwa cha mtoto
Kuna mbinu ambayo ilikuwa imepangwa kabla ya Moon mtufuku wa Mazaran mtu awe kaondoka kabisa, si kubaki hai bali akawahi matendo ya watesalonike,
Ikabainika huyo mzee MABENDERA mtandao mkubwa sana sana ambao upo hata pale pale kwa ofis ya SASHA , ikabidi wananwe zaidi wakatajwa watu wengi katribani miezi 3 sasa NISHA Kataja orodha ya watu 12 wanaojua na kuhusika na mpango ule na orodha itawekwa,
Baada ya kubanwa zaidi ikabidi NISHA awapeleke kwenye vikao wanapogifanyia na huko ndo orodha itatajwa,
Akawekwa kwenye gari wakaelekea kwenye Ukanda Magaribi ushoroba, wakawa wanaelekea Kwenye kwenye gari Simu ya NISHA ambayo wameishika ikaita Kama Mara Tatu na namba inayopiga si namba Kama tunazotumia Sisi wakamsogezea NISHA aongee,
Simu kupokelewa ikakwekwa Loud speaker
Maongezi kuanza kumbe sauti ni ya ………..
ITAENDELEA NA ITAKUWA FINAL EPISODE IKIWA NA MAJINA MA KILA KITU ,
MWISHO : UZI HUO MWENDELEO HADI MWISHO
======
Simu ilipoita akapokea Sauti ni Yule Mzee MABENDERA akaongea kwa kuuliza kwanza Hali yako mwanangu, NISHA akasema safi sana,
MABENDERA Akauliza Usalama upo?
NISHA Akajibu clear yaan hakuna shida.
Huku TWISHI wakirekodi ujumbe ambao ulisema hivi kutoka kwa MABENDERA bila kujua Jamaa yuko BYENJANGU.
“Shughuli inatakiwa kukamilika mapema kabla ya vikao vya vile (aliongea kwa fumbo) ambavyo ndo vita kuwa na tathmin ya mwenendo wake Kama Ana uwezo wa kuendelea ama lah na inabidi kuhesabu miezi sita kabla ya mkusanyiko Kwakuwa hapo akishaonekana hawezi akashindwa kutimiza majukumu inakuwa ndo kwisha habari jitahidi ufanikiwe suala hili” alimalizia Huku bila kujua amesikilizwa na wengine na NISHA akijibu kwa shinikizo, Huku Safari ikiendelea,
Baada ya kufika huko wakamuhoji sana kuhusu mpango husika na kwanini hasa alitaja sababu zilezile zilizooneshwa awali, sasa TWISHI wakaamua wambackmail yeye kwamba hizi taarifa BOSS hana Ila wanataka yeye awasaidie kupata taarifa za wanaomtuma kwa kumuahidi ulinzi na pia kumpa support ya mazingira anayotaka awe comfortable kufanya kazi, ndani ya week Walikuwa wana mmnonitor sana kila movement yake na wakapata taarifa za kila mtu na tarehe ilopangwa na kikao gani na kwanini wanatumia ZOLA chat inayofuta baada ya nusu saa mlichojadiliana na si ya CTRA hawawezi ijua, wakagundua.
Kijana mmoja wa miaka ya 70
Amekusanya Pesa kubwa sana kutokana na GLOPU yaan Pesa ya kutosha sana kwa mikataba kadhaa ya kuboresha GLOPU kumbe ni ya Ulaghai, alipoamishiwa kwingine alikusanya Wamanga wote wawakilishi wa kila kiota na waliohama kwa mama zao wakienda kujitaftia chakula kwa viota vingine wakachangua ujira mwiha, wakati wakichangia yeye anaongea kwamba sioni Boss akitoboa nusu ya CHUMUNI, mmoja akarekodi akatuma, na huyo aliyerekodi NISHA na audio, ikawa imepelekea kujua kwamba kuna hili na kile, likaletwa faili kwamba kwenye kutunza UJIRA MWIHA anayeshika mikoba alikuwa MD wa BENK moja ya ushirikiano ambapo ilishababishaga mwanasheria mmoja atolewe nje akiwa amebebwa akipinga BENK Hiyo kuuzwa kipindi cha LOFALODI
Kijana mwingine wa Miaka ya 70 yeye kwanza angezaliwa DRC Kama si Fally pupa basi ni Fere Gola kwa rhumba, huyu alikuwa kitengo cha visikilizia masikio na alitumia na kuwafundisha wana afrika kusini mitaa yao ikoje, hilo somo tu limetumia zaidi Pesa za kughushi, Huku akikusanya za NUSU CHUMUNI boss asitoboe, taarifa zote zikanyakwa! Mpaka kuna bajet ya ambao wana afrika kusini ilibidi awaelekeze kutokea juu kabisa kwa hewa waelewe vizuri mitaa yao! Akaenda kwenye visikilizia masikio, badala zitumike njiti 5 za masikio yeye akawa anawaambia waandike zimetumika 15 ili masikio yasikie vema !
Akaanza vikao vimefanyika vikao zaidi ya 30 kwa Mzee wa FIRIGISI kule kwa waongea kizuru na yeye ndo alipata elimu tu miaka Hiyo na alipoambiwa akawa anachanganya na zake
Basi baada ya kugundua uchafu wote huo ikabidi Taasisi iwasilishe Report ya kiuchunguzi na walichobaini,
Wakagundua watu hawa ni Hatari
1. Mwanaume wa 70+
2. Mwanaume wa 70+. 2
3. Jamaa mkubwa sana TWISHIII
4. Mzee wa BANDARI
5. NISHA
6. MZEE WA FIRIGISI
7. WA MAGNET GANG WATATU
8. MAPINGILI SHINGONI alihisiwa kwa kuwa alitajwa Mara moja kwenye ishu ya NAMDI
9. YALE YA MBEYA NAYO YALITAJWA MAANA YANARUKARUKA SANA WAKATI WA KUIVA
10. WAFADHILI WANNE WA HAPO KWENYE NGAMIA MMOJA ANAKWENDAGA SANA KUSINI
11. GENZ , huyu nimempa jina hili Kwakuwa ameshtumiwa kwa kuhisiwa tu ila hakutajwa popote, kilichofanya aangaliwe ni kijana kabisa wa mmoja wa niliotaja juu,
Baada ya hapo akawa anakuwa terminated mmoja mmoja na kuwafanya wawe surprised kwanini hatua hizi,
Mpaka sasa NISHA anaendelea kuongeza mambo na kutoa ushirikiano chini ya ulinzi ambao aliyekunywa ulanzi hawezi Jua Kama yuko chini ya Ulinzi,
Hii ya kumzuia MUHA asiingie inaonesha kwamba tuwe makin sana si kila unayemfukuza ni anakuwa mbaya,
Katika kumchunguza MUHA wakajua ni mtu aliyesomea mambo ya Intel naye Yupo pale kwenye kusafisha maua miezi zaidi ya nane Lakin Mwanzoni walikuwa wamemkatalia kwamba yeye Boss anataka watu wa Madagaskar Kwakuwa wa South afrika hawana maadili, baadae ikaja kuonekana ndo kaokoa jahazi maana bila yeye hali ingekuwa mbaya zaidi,
BOSS ANAOGOPA MNOOO MNOOO HATA MAJI HANYWI HATA WALE WALOKUWA WANANPA CHAKULA NA KUPIGA NAO SOGA ANAWAOGOPA MPAKA SASA NA WENGINE KAWABADILISHA WOTE MAJUKUMU PALE KWENYE OFIS YA MEYA
NUSU CHUMUNI PAGUMU UPUKUTISHAJI UNAENDELEA, MEYA ANAOGOPA HADI MJUSI
BRITANICCA
![]()
Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu
Britannica🙌🙌🙌 Finally nimemjua pia Tupe code mkuu ila ilegeze kidogo ni nani? Maana wadau wengi naona wanasema ni yule dada aliyetoka cbb je ni kweli?www.jamiiforums.com
Hivi kwenye huu uzi kuna jina lilitajwa "Mapingili Shingoni" halafu mwandishi akamalizia kwa kusema "huyu alihisiwa"Ni Jumapili Nyingine ambayo imejaa utulivu wa aina yake, ni miezi kadhaa imepita Mrembo ambaye nitampa jina la NISHA, Ambaye alitumwa kwa kazi maalumu kutafuta Nywila kwa Boss Ambaye nitamuita SASHA.