Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Nyuzi nyingi za namna uwa zinakuja kimkakati sana ila unapaswa kuwa makini mno

Kuna nyuzi za kuharibiana,kusigiana kunguni,kuandaa propaganda na kupeana promo

Ila uzi kama huu ukiusoma kwa kukalili uwenda ukajua ni cooked propaganda ila kiukweli huyu bwana britanicca ni mmoja wa watu wanaofanya kazi TISS au Magogoni-Chamwino ila anatoa siri fulani kwa umma……..Hii ni human’s nature kuwa Mwanadamu mwenye siri nzito hutafuta pa kupumulia……..hii hutokea ata kwa MOSSAD,CIA au KGB

Ngoja tuone mambo yatakuwaje Ila kwenye ulimwengu wa intelligency siri uwa hazidumu sana ndio maana vipenyo wengi uwa wanauawa haraka sana pale siri za wakubwa zinapovuja haraka kwa raia
Umenikumbusha aliyekuwa mkuu wa twishi wakati wa Magu cp D1 At hivi huyu mtu yuko wapi
 
Guys, I'm really getting perplexed. Yaani watu wawe na njama mbaya kiasi hicho dhidi ya mtu mkubwa halafu baadhi yao waishie tu kunyang'anywa vyeo na ndiyo inakuwa basi?! Kwani pale panapokuwa na taarifa za uhakika uhaini uanzia wapi?
Akna bashiru mpango waliokua nao baada ya magu kuvuta ulikua ni uhaini, walifanywa nini, hii ni Tanzania mzee tupo kivyetu
 
Hivi hao vijana wa 70's kwanini wasing'olewe hata kucha maana kutumbuliwa sio issue kwao.
Hana huo uwezo, ataishia kuwanyang'anya sahani ya chakula tu.

We huoni hata boss wa hao vijana kamuandikia barua yenye maneno matamu, kwanini asimtoe baru.?

"Nimepokea maamuzi yake moyo wangu ukiwa mzito sana" moja kati ya phrase kwenye hiyo barua iliyoandikwa na SASHA ikithibitisha kupokea ombi la huyo boss wa vijana kung'atuka.

Hana huo ujanja, aliyejaribu kuwa kichwa ngumu ni yule tu aliyetangalia.
 
Guys, I'm really getting perplexed. Yaani watu wawe na njama mbaya kiasi hicho dhidi ya mtu mkubwa halafu baadhi yao waishie tu kunyang'anywa vyeo na ndiyo inakuwa basi?! Kwani pale panapokuwa na taarifa za uhakika uhaini uanzia wapi?
Unaamini ukishakuwa Top basi kila kitu kinakuwa chini yako, hata loyalty ya watumishi wote uliowakuta kwenye mzunguko wa serikali katika idara nyeti mbalimbali.?

Mamlaka ni yako kisheria ila inapofikia wakati wa kufanya maamuzi magumu dhidi ya watu fulani wahaini, wanaibuka watu wenye support na ushawishi mkubwa kwako na kwa watu wanaokuzunguka kama watumishi na wanakuomba uwasamehe kwa kuwapa adhabu ndogo ndogo tu.

Wewe ungekuwa ndio Top, ungekaidi na kuwaua ama kuwafedhehesha.? Na baada yapo utaweze kukabiliana vipi na hatari za kuupoteza hup uTop wako kwa kutengwa na ring yote ya karibu yenye nguvu?

Ni ngumu sana.
 
Nyuzi nyingi za namna uwa zinakuja kimkakati sana ila unapaswa kuwa makini mno

Kuna nyuzi za kuharibiana,kusigiana kunguni,kuandaa propaganda na kupeana promo

Ila uzi kama huu ukiusoma kwa kukalili uwenda ukajua ni cooked propaganda ila kiukweli huyu bwana britanicca ni mmoja wa watu wanaofanya kazi TISS au Magogoni-Chamwino ila anatoa siri fulani kwa umma……..Hii ni human’s nature kuwa Mwanadamu mwenye siri nzito hutafuta pa kupumulia……..hii hutokea ata kwa MOSSAD,CIA au KGB

Ngoja tuone mambo yatakuwaje Ila kwenye ulimwengu wa intelligency siri uwa hazidumu sana ndio maana vipenyo wengi uwa wanauawa haraka sana pale siri za wakubwa zinapovuja haraka kwa raia
Sio human nature vitengo vyote nyeti duniani vinavyohusika na kukusanya taarifa kuna namna wanafanya kuvujisha taarifa ambazo ni za siri lakini madhara yake yanapoa zinavujishwa

Hii ni mpango mkakati wala sio bahati mbaya na huyu mwamba bila shaka yuko kazini kulitetea Taifa lake
 
Back
Top Bottom