gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,406
- 3,888
Afu mjinga mmoja anataka kuoa mwanamke kama wewe?? Unafungua codes ngumu hivi, zipu je??Haya tayari nimeshasoma
Here we go
TWISHII - Tiss
Glopu- ule ukirudi tunasema huooo
Kijana aliyekuwa glopu- mwanzo wa mwaka
Kijana wa 70’ aliyekuwa kwenye visikilizia na kujua mitaa- Bumunda Nepi ya huye
Boss wao wa vijana- kinono mzee wa vitaru vya mbugani
Mzee wa firigisi- born town wa kibaha kwa mbele former rice cooker
Magnet genge- hawa ni wale ndugu zetu wenye kabila linaongoza kwa ushamba Tz baghosha
Yanayoruka ruka jikoni- Maharage kande
Mengine ntarudi kesho kukufafanulia nimekuja mara moja nione ilivyoendelea.!! Tchao
Kwako mwalimu kashasha raraa reree
Oyaaa 😹😹😹Afu mjinga mmoja anataka kuoa mwanamke kama wewe?? Unafungua codes ngumu hivi, zipu je??
Na kawazoa wengi kweli kweli kwenye kokoro lake. Tena kiulaini.Ujingaujinga mwingi
Huyu wa hukohuko kapewa kazi ya kuwapelemba
Upuuzi mtupu, CCM haitokaa itolewe kwa maana mambulula hii nchi ni zaidi ya asilimia 80
Good night baby, ulale unono na njozi njemaOyaaa [emoji81][emoji81][emoji81]
Ujingaujinga mwingi
Huyu wa hukohuko kapewa kazi ya kuwapelemba
Upuuzi mtupu, CCM haitokaa itolewe kwa maana mambulula hii nchi ni zaidi ya asilimia 80
Nyuzi nyingi za namna uwa zinakuja kimkakati sana ila unapaswa kuwa makini mnoUjingaujinga mwingi
Huyu wa hukohuko kapewa kazi ya kuwapelemba
Upuuzi mtupu, CCM haitokaa itolewe kwa maana mambulula hii nchi ni zaidi ya asilimia 80
Watu na suti zenu nyeusiBrii huu ubuyu ndio umeisha au mpk mida ya wanga?? Tushaanza kusinzia hapa.!!
Uko vizuri kwa kweliHaya tayari nimeshasoma
Here we go
TWISHII - Tithii
CTRA- TITHIARAEI
Glopu- ule ukirudi tunasema huooo
Kijana aliyekuwa glopu- mwanzo wa mwaka
Kijana wa 70’ aliyekuwa kwenye visikilizia na kujua mitaa- Bumunda Nepi ya huye
Boss wao wa vijana- kinono mzee wa vitaru vya mbugani
Mzee wa firigisi- born town wa kibaha kwa mbele former rice cooker
Magnet genge- hawa ni wale ndugu zetu wenye kabila linaongoza kwa ushamba Tz baghosha
Yanayoruka ruka jikoni- Maharage kande
Mengine ntarudi kesho kukufafanulia nimekuja mara moja nione ilivyoendelea.!! Tchao
Kwako mwalimu kashasha raraa reree
Naona umetoka patupu mkuu...pole😂😂😂Kuna aja ya kureset nikaongeze D zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]