Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Aiseeh mtandao mkubwa sana, yule wa Ngamia anayeenda sana kusini itakuwa alijulikana muda mrefu hata ktk mipango ya kpnd kile Cha machozi na yule ambaye baadae alitolewa na chipukizi baada ya kutoa tahadhari ya kupigwa chenchi kitalu chetu Cha urithi Kwa bondi zilizokithiri, huyu wa kuthini akaongezewa msaidizi
 
Haya huyu mkusini lazma ana kafaili kake, haiwezekani ghalfa tu apandishwe cheo awe bi mkubwa 🤔
 
1. Nisha.. huyu atakuwa anaishi Arusha refer prodyuza marehemu Nisha
2. Nchi jirani ya wafugaji.. hii ni code tu kupoteza maboya ila ni humuhumu akimaanisha Msukuma.
3. Amesoma Urusi na urusi kuna sifa ya baridi kwa Tanzania huenda ikawa Kilimanjaro sasa kmanjaro kuna chuo gani maarufu?
 
Aiseee britanicca kwenye majina nimeambulia namba 9, 5, mengine nimetoka chalii
 
Hivi kwenye huu uzi kuna jina lilitajwa "Mapingili Shingoni" halafu mwandishi akamalizia kwa kusema "huyu alihisiwa"

Nilikuwa napitia "notisi" za SASHA zinazosambazwa muda huu ghafla nikakumbuka huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…