Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Mimi uelewa wangu naona kama anatoa taarifa ya yaliyotokea miaka ya nyuma kinyumenyume
 
Nikikumbuka siku Ile kule Arusha wakati Makonda alipopewa Microphone aongee mbele ya Mh Rais akatamka kwamba watu wanaomtukana Rais anawajua na wengine ni mawazir ila pale pale Samia alionekana akimtuliza Makonda kwa ishara kwamba aachane nayo hiyo issue kwa wakati huo, ukiunganisha na haya yanayoendelea sasa hivi naanza kupata picha.

Binafsi simkubali Makonda kabisa ila kumuua sio jambo jema .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…