Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Alitakiwa kujua kilichomtoa mwenzake ni kipi...so alipaswa kujipanga sana...na akicheza hapa katikati...watamlalua Tena..adui zake anao tangu kukalia kiti .
 
Nahisi yes, alikamatwa!
 
Muha anaweza kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa saccos au nisimpunguzie mamlaka ni kwamba alikuwa supreme leader au anaweza kuwa yule tumbili wa escrow.

Na mtu kutoka Madagascar kuja kuongoza south Africa ni SASHA mwenyewe.

Na mtu anayewalinda vijana wa miaka ile nadhani ni yule ambaye kwa yoga anajulikana kama born town.
 
Na kibaigwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…