Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
TUzo 1 laki 6
Tanzania amini msiamini huko nje Diamond anafanya fitina mbaya sana huyu jamaa, anazuiwa kwa connection zake na pesa uchwara zake anazuia ngoma za kiba zisipigwe huko mtv na soundcity na suala si geni, tuzo nazo ndio usiseme eti Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka ujinga ujinga tu
Eheheheheeeeee pwilo peterchoka njoeni mumsikie jamaa yenu hukuuuu!!!maaaanineeeerrrrr alivyoshinda tuzo sita peke yake alihonga ili wenzie wasipate?!
Nilikuwa sielewi kama huyu jamaa boya hivi, ila mashabiki ndio zaidi..
Kimtego chake alitaka kuzungumziwa, na pale bifu lilipoonekana limefifia kutokana na mambo ya uchaguzi basi afufue kiki iongezeke na kwa hilo ashafanikiwa ila tatizo tu uwezo hana, anaishia kuwapa matatizo ya moyo mashabiki zake..!
Ndio maana hakuna wasanii wanaompa support katika kazi zake, zaidi ya familia yake, na ma ex wa diamond..!
Mtu mwenyewe kwa show tu hapa tanzania anapojiona ni mkali hana uthamani hata chembe wa kusema afananishwe na diamond, hata show zake nne (4) bado hafikii malipo ya show moja ya diamond bado ooooh ninasauti nzuri, basi khadija kopa angekuwa msanii bora Afrika akashindane na wakina beyonce huko maana hata rihanna hamuwezi kopa
Babe kiba kwani nyie hamna laki 6? Nakopesha wa Riba nafuu, nione PM tafadhali.
Hahahahahaha bao la mkono hahahahahaha chibu dangote katika ubora wake, kabla hata hatujamaliza kumpongeza amechaguliwa tena kuwa balozi wa organization ya Future Africa inayodeal na maendeleo ya vijana Africa..
Hail to the King Of Afropop Chibu Dangote..!
Teh wanagharamiaaaa..tuzo za daimond