AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

kwa sekunde naingiza elfu 6
nina nyumba 125 mjini
ndege imenunuliwa iko bandarini,na rolls royce
nina 10bln bànk

hakika sadala ana balaa mjini hapa.
forbes wenyewe wanamgwaya.

Aendelee tu kutuamiminisha sisi huku kwamba yeye ni Bilionea afrika nzima,hatuna shida.
 
Baada ya forbes kutoa listi burna boy aibuka
Your browser is not able to display this video.
 
Dimondi na kuwanyonya wasanii wake wote si atakuwa na hela au ?🤣
 
Tatizo la akili ndogo,Na Mawazo finyu,Kiba hatakiwi kumshambulia Mond,Harmonize hatakiwi kuwa na bif na vanboy,kama wangekuwa na akili kubwa,hawa wasanii adui zao ni wasanii wa SA,Nigeria,Kenya,wapambane na hao wa nje,sio kupambana ndani,Kiba akimshusha Mond,nchi ndio inapata hasara,Mond ana tv,radio,Kiba nae aanzishe watengeneze ajira nyingi,nchi hii ina uwezo wa kuwa na kina Kiba mia,Mond mia,na wote wakawa na mkwanja,tuige wakubwa wetu wa US,Kuna wasanii kibao,wao washindane kwa kutoa Kazi nzuri,Mond katoa ajira kibao kwenye tv,radio,Kiba ameajiri wangapi?kiki za kijinga hazina tija
 
PESA INAONGEA.
ajifunze Kwa MKE wa Bill gates.
Aliolewa na BILIONEA miaka 27 lakini hajawahi kuwa BILIONEA.mpaka alipoachika ndo kapewa chake kawa BILIONEA.

Hivi nyie mnafanya masikhara na ubilionea?
Na ww umeamini kabisa bill gate kaachwa[emoji23][emoji23]. Lile ni changa la macho. Bill gate baada ya tuhuma za chanjo ameamua aiweke kando familia yake na risk. So its a best move for him. Lakini kwa raia huku mnaona kama wameachana
 
Kwa hyo wanaigiza?
Na ww umeamini kabisa bill gate kaachwa[emoji23][emoji23]. Lile ni changa la macho. Bill gate baada ya tuhuma za chanjo ameamua aiweke kando familia yake na risk. So its a best move for him. Lakini kwa raia huku mnaona kama wameachana
 
Kwa hyo wanaigiza?
Tajiri kama yule unafikiri unaweza kupata habari zake za personal akiamua. Yeye mwenyewe bill gate ndo kataka na karruhusu zitoke kimakusudi ili awachanganye watu. Na watu wanavopenda udaku wanaamini kila kitu
 
Diamond ni maji , ashawafungulia cha kuongea so kila dog ruksa kushadadia, amawabalansia Tu sa hv kondegang kazima kabisa , asubiri tena Mzee mond ampe ngazi 🤣🤣
Acha hasira matajiri wametulia tuli yeye anajiita tajiri.
Ukiwa tajiri sio unajita unaitwa .
Ukiwa nakitu watu ndio wataona unatoa m1. Unaenda madale kutoa siku ya iddi ish atule kimya penye ukweli nasema
 
kwa sekunde naingiza elfu 6
nina nyumba 125 mjini
ndege imenunuliwa iko bandarini,na rolls royce
nina 10bln bànk

hakika sadala ana balaa mjini hapa.
forbes wenyewe wanamgwaya.
Ndege iko bandarini 😅
JF usipocheka huna bandama, ukipime!

Everyday is Saturday................................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…