ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Bidhaa aina uhusiano na utajiri, muhimu upate walaji,Kwahiyo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bidhaa aina uhusiano na utajiri, muhimu upate walaji,Kwahiyo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sawaahBidhaa aina uhusiano na utajiri, muhimu upate walaji,
Kwani wana beef?kiba huwa hataki kbs bifu liishe anajua ndio utakuwa mwisho wake
kwa sekunde naingiza elfu 6
nina nyumba 125 mjini
ndege imenunuliwa iko bandarini,na rolls royce
nina 10bln bànk
hakika sadala ana balaa mjini hapa.
forbes wenyewe wanamgwaya.
Nasisi tunafurahi tu wala hatuna tatizo naye[emoji23][emoji23]Aendelee tu kutuamiminisha sisi huku kwamba yeye ni Bilionea afrika nzima,hatuna shida.
TISS sio? [emoji23][emoji23]Hii account sio ya Kiba,ni mtu katengeneza tu,sie wenye macho ya Ki "TISS",tumegundua.
Total rubish
Kwani karanga sio biasharaUnauza Karanga halafu unataka Forbes wakutambue kuwa wewe ni tajiri[emoji2]
Tatizo la akili ndogo,Na Mawazo finyu,Kiba hatakiwi kumshambulia Mond,Harmonize hatakiwi kuwa na bif na vanboy,kama wangekuwa na akili kubwa,hawa wasanii adui zao ni wasanii wa SA,Nigeria,Kenya,wapambane na hao wa nje,sio kupambana ndani,Kiba akimshusha Mond,nchi ndio inapata hasara,Mond ana tv,radio,Kiba nae aanzishe watengeneze ajira nyingi,nchi hii ina uwezo wa kuwa na kina Kiba mia,Mond mia,na wote wakawa na mkwanja,tuige wakubwa wetu wa US,Kuna wasanii kibao,wao washindane kwa kutoa Kazi nzuri,Mond katoa ajira kibao kwenye tv,radio,Kiba ameajiri wangapi?kiki za kijinga hazina tijaHabari Wana Jf
Kweli nimeamini mziki unekuwa mgumu Sana yaani kwa kitendo hivhi cha kitoto ambacho Amekifanya Alikiba imejidhihirisha wazi kua Diamond platinumz ndio a true definition of mature musician.
Na hii inadhihirisha kwa Sasa hakuna msanii ambae bila kupitia Kiki ya Diamond platinumz anatoboa [emoji23][emoji23][emoji23],Kama Alikiba kaingia kwenye mipasho Kama ya Khadija kopa Sasa amesubiria Nini kusataafu.[emoji24][emoji24][emoji24]
Harmonize na Alikiba wanasafari ndefu ya kujifunza kutoka kwa DIAMOND PLATINUMZ na RAYVANNY jinsi wanavyo behave kwenye jamii.
Alikiba ameona upepo umekata wote ameamua apitie mlango wa diamond platinumz kuongelewa na ili atoe Album Yake ya utopolo.[emoji383][emoji383][emoji383]
WARNER MUSIC GROUP nasikia inampa kiwewe sana na amechanganyikiwa sana.
N.B: DIAMOND PLATINUMZ NAOMBA ASIMJIBU NA KUMPA BOOST YA ALBUM YAKE YA UTOPOLO.
Diamond platinumz anahela[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
Na ww umeamini kabisa bill gate kaachwa[emoji23][emoji23]. Lile ni changa la macho. Bill gate baada ya tuhuma za chanjo ameamua aiweke kando familia yake na risk. So its a best move for him. Lakini kwa raia huku mnaona kama wameachanaPESA INAONGEA.
ajifunze Kwa MKE wa Bill gates.
Aliolewa na BILIONEA miaka 27 lakini hajawahi kuwa BILIONEA.mpaka alipoachika ndo kapewa chake kawa BILIONEA.
Hivi nyie mnafanya masikhara na ubilionea?
Na ww umeamini kabisa bill gate kaachwa[emoji23][emoji23]. Lile ni changa la macho. Bill gate baada ya tuhuma za chanjo ameamua aiweke kando familia yake na risk. So its a best move for him. Lakini kwa raia huku mnaona kama wameachana
Tajiri kama yule unafikiri unaweza kupata habari zake za personal akiamua. Yeye mwenyewe bill gate ndo kataka na karruhusu zitoke kimakusudi ili awachanganye watu. Na watu wanavopenda udaku wanaamini kila kituKwa hyo wanaigiza?
Tajiri kama yule unafikiri unaweza kupata habari zake za personal akiamua. Yeye mwenyewe bill gate ndo kataka na karruhusu zitoke kimakusudi ili awachanganye watu. Na watu wanavopenda udaku wanaamini kila kitu
Acha hasira matajiri wametulia tuli yeye anajiita tajiri.Diamond ni maji , ashawafungulia cha kuongea so kila dog ruksa kushadadia, amawabalansia Tu sa hv kondegang kazima kabisa , asubiri tena Mzee mond ampe ngazi 🤣🤣
Ndege iko bandarini 😅kwa sekunde naingiza elfu 6
nina nyumba 125 mjini
ndege imenunuliwa iko bandarini,na rolls royce
nina 10bln bànk
hakika sadala ana balaa mjini hapa.
forbes wenyewe wanamgwaya.