AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

Haki nimecheka hapo pa kujifunza jinsi dai na ray wanavyobehave kwenye jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] i was like, "seriously"!!!!!!!
Was serious my dear kwani unawaonaje
 
Haki nimecheka hapo pa kujifunza jinsi dai na ray wanavyobehave kwenye jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] i was like, "seriously"!!!!!!!
Kuwagonga wanafunzi na bongo movies😂😂😂🏃
 
PESA INAONGEA.
ajifunze Kwa MKE wa Bill gates.
Aliolewa na BILIONEA miaka 27 lakini hajawahi kuwa BILIONEA.mpaka alipoachika ndo kapewa chake kawa BILIONEA.

Hivi nyie mnafanya masikhara na ubilionea?
Sichezi nao ila kwa DIAMOND PLATINUMZ Ni kitu kidogo sana
 
Back
Top Bottom