mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
[emoji16][emoji16][emoji16]Ndege iko bandarini [emoji28]
JF usipocheka huna bandama, ukipime!
Everyday is Saturday................................😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ndege iko bandarini [emoji28]
JF usipocheka huna bandama, ukipime!
Everyday is Saturday................................😎
Sadala nyangeHili jina linachekesha sana. Et Sadala. [emoji16][emoji23][emoji1787]
Kila nikisikia Sadala naukumbuka mto kikafu[emoji28]Aisee yaani hili jina kila nikiliskia eti ndo la Diamond Platnumz, huwa naishia kucheka kimoyomoyo. Kule kwetu Kilimajaro kuna eneo moja linaitwa 'Kwa Sadala' karibu na bomangombe. Sasa kitendo cha Ali Kiba kumbatiza mwenzake Sadala, halafu nikikumbuka hayo maeneo ya 'Kwa Sadala' yalivo yalivo mbavu zinanipasuka kwa kicheko. Yaani Sadala inakuwa kama mtu mshamba mshamba maana eneo lenyewe kuna kama udongo mwekundu balaa
Aisee Ali Kiba we sio mtu mzuri aisee... nakuambia hivi... Mbingu utaisikia.. eti 'SADALA' [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mgegedaji MlambususuSamahani uliyepost wewe ni
Me au Ke!!?
Ila sijapita hiyo mitaa long sana.. kwa sadala kupoje sasahivi?Kila nikisikia Sadala naukumbuka mto kikafu[emoji28]
Ali kiba kumbe mkorofi na yeyeSadala alifume[emoji91] kinoma kutowekwa kwenye list ya wasanii matajiri afrika. TEAM-KIBA eti wakamuambia we nenda kauze karanga huko!!! Hatujawahi kumsikia Davido au Wizkid akiuza karanga!!!
Bado pamechakaa tu, ukame nkIla sijapita hiyo mitaa long sana.. kwa sadala kupoje sasahivi?
Linachekesha mnoo aiseeHili jina linachekesha sana. Et Sadala. 😁😂🤣
Daah watu wa pale sijui wamefungwa.. sijawahi kuielewa ile sehemuBado pamechakaa tu, ukame nk
Kwa Sadala, Bomang'ombe hadi kia panatisha sanaDaah watu wa pale sijui wamefungwa.. sijawahi kuielewa ile sehemu
Ukimgusa kiba uwe tayari kumsikia RobidinyoAisee yaani hili jina kila nikiliskia eti ndo la Diamond Platnumz, huwa naishia kucheka kimoyomoyo. Kule kwetu Kilimajaro kuna eneo moja linaitwa 'Kwa Sadala' karibu na bomangombe. Sasa kitendo cha Ali Kiba kumbatiza mwenzake Sadala, halafu nikikumbuka hayo maeneo ya 'Kwa Sadala' yalivo yalivo mbavu zinanipasuka kwa kicheko. Yaani Sadala inakuwa kama mtu mshamba mshamba maana eneo lenyewe kuna kama udongo mwekundu balaa
Aisee Ali Kiba we sio mtu mzuri aisee... nakuambia hivi... Mbingu utaisikia.. eti 'SADALA' 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee yaani hili jina kila nikiliskia eti ndo la Diamond Platnumz, huwa naishia kucheka kimoyomoyo. Kule kwetu Kilimajaro kuna eneo moja linaitwa 'Kwa Sadala' karibu na bomangombe. Sasa kitendo cha Ali Kiba kumbatiza mwenzake Sadala, halafu nikikumbuka hayo maeneo ya 'Kwa Sadala' yalivo yalivo mbavu zinanipasuka kwa kicheko. Yaani Sadala inakuwa kama mtu mshamba mshamba maana eneo lenyewe kuna kama udongo mwekundu balaa
Aisee Ali Kiba we sio mtu mzuri aisee... nakuambia hivi... Mbingu utaisikia.. eti 'SADALA' [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]