AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

Aisee yaani hili jina kila nikiliskia eti ndo la Diamond Platnumz, huwa naishia kucheka kimoyomoyo. Kule kwetu Kilimajaro kuna eneo moja linaitwa 'Kwa Sadala' karibu na bomangombe. Sasa kitendo cha Ali Kiba kumbatiza mwenzake Sadala, halafu nikikumbuka hayo maeneo ya 'Kwa Sadala' yalivo yalivo mbavu zinanipasuka kwa kicheko. Yaani Sadala inakuwa kama mtu mshamba mshamba maana eneo lenyewe kuna kama udongo mwekundu balaa

Aisee Ali Kiba we sio mtu mzuri aisee... nakuambia hivi... Mbingu utaisikia.. eti 'SADALA' 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aisee Ali Kiba we sio mtu mzuri aisee... nakuambia hivi... Mbingu utaisikia.. eti 'SADALA' [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila nikisikia Sadala naukumbuka mto kikafu[emoji28]
 
Ukimgusa kiba uwe tayari kumsikia Robidinyo
 
Aisee yaani hili jina kila nikiliskia eti ndo la Diamond Platnumz, huwa naishia kucheka kimoyomoyo. Kule kwetu Kilimajaro kuna eneo moja linaitwa 'Kwa Sadala' karibu na bomangombe. Sasa kitendo cha Ali Kiba kumbatiza mwenzake Sadala, halafu nikikumbuka hayo maeneo ya 'Kwa Sadala' yalivo yalivo mbavu zinanipasuka kwa kicheko. Yaani Sadala inakuwa kama mtu mshamba mshamba maana eneo lenyewe kuna kama udongo mwekundu balaa

Aisee Ali Kiba we sio mtu mzuri aisee... nakuambia hivi... Mbingu utaisikia.. eti 'SADALA' [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na kulikuwa kuna wezi balaa hapo Kwa Sadala
 
Back
Top Bottom