Ata mm nimemuuliza ni kigezo kipi walitumia kumpa kahawa nyeusi ushindi kama hata kura tu alikuwa na 1% ya kura zilizopigwa huku domo akiongoza kwa 53% ya kura zote......akijibu ilo swali la sifa zilipelekea black coffee kushinda ndo atapata jibu kwa nn Ali kaangukia pua.....team kiba weng hawana fact bali wanaongozwa na mihemuko na kutojiamini.....mbona domo huwa halalamikidomo alikua anaongoza kwa kura black cofee alikua wa tatu lakini alipewa jamaa akapongeza wasiwasi wako
Wapi mtvema walitangaza kuwa ali ndo mshindi na unaushahidi wa icho unachokisema.....na pia narejea kwenye mada yng ww c umesema kiba ndo katangazwa mshindi baadae wakabadilisha je umetumia kigezo kipi kusema Ali ndo alitakiwa kushinda ni kutokana na kura alizopata ama??....na kama ni kura ata black coffee hakustahili kushinda coz domo ndo ulikuwa anaongoza kwa kuwa na kura nying 53% za kura zilizopigwa lkn mshindi akawa mwingne
Winner should be awarded, Acha kupumbazwaSoma maelezoView attachment 430848
Hawa jamaa sku zote wanawaza kuhujumiwa..... Hizi tuzo za nje kura ni kitu kidogo sana.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwaiyo unaamini kabisa mtv ema wamemnyima alikiba ushindi kwa maksudi na kumpa ambae hakustahili wizkid?
Moja ya Jambo baya kabisa la watanzania kutokuendelea, ni kutokuwa na vyanzo vya uhakika vya habari thus why most of time we fail in decision makingUna ushahidi na maelezo yako au umefidiwa kutoka instagram usilete story za kwny gahawa ww
Huna fact unapuyanga tuSiwezi rudia rudia Maelezo,, nnakuuliza hiki we badala ya kujibu nawe unaniuliza vimaswali vya ajabu ajabu!!!ungezingatia nikichokuuliza na ukajibu hungeniquote tena,, ungeelewa mapema kuwa case ya diamond na black coffee vs case ya alikiba na wizzie ni tofauti,, nimetoa Maelezo ya kutosha tuu,,, nyie Kazi yenu ni kupinga tuu
tell themKura za Mtv Ema zinahesabiwa kama za Big Brother..infact Ali Kiba alikuw na Kura 2 ya Tanzania na Kenya wakti Wizkid alikuwa na Kura ya Kenya Uganda,Tanzania,Nigeria,Ghana na Cameroon.... So obviously mshindi ni Wizkid...
Moja ya Jambo baya kabisa la watanzania kutokuendelea, ni kutokuwa na vyanzo vya uhakika vya habari thus why most of time we fail in decision making
ingia hapa uone ninachosema
usilete vitu visivyo na fakiti.
MTV EMA 2016 | 6.11.2016 | Rotterdam | Vote - Best Africa Act uone ninachosema
MTV EMA 2016 | 6.11.2016 | Rotterdam | Vote - Best Africa Act uone tofauti tunayoisema
Njoo na Fact, Acheni Dharau.
Hata mbao fc na Simba zote zipo ligi kuu ya tanzania lakini ukweli ni kwamba mbao fc hawezi chukua ubingwa mbele ya simba au yangaalishirik vp kama hana vigezo?
Hahahahaaa jibu lako linaweza kufanya mtu asilejibu flani la mwendo kasi....lkn mbona Leicester city walichukua ubingwa mbele ya vigg kama man cityHata mbao fc na Simba zote zipo ligi kuu ya tanzania lakini ukweli ni kwamba mbao fc hawezi chukua ubingwa mbele ya simba au yanga
DomoSasa diamond alikuwa na vigezo gani ambavyo alikiba Hana mpaka wakampa wizkid
Mm simo ngoja waje wenye timu yaoAngelalamika Mtu tofauti na ALLY KIBA au tofauti na TEAM KIBA ningeshangaaa!! Kwa kua ni hao hata sishangai ni kawaida yao!!!! Lini MT VEMA walipost kuwa Kiba anaongoza kwa kuraa?
Hata watanzania wote million 45 tungepiga kura kwa kura za wanigeria tusingefikia!!! Tuache kukurupuka na Post za kutengenezwaaaaa!!! Labda mlete ushahidi ambao unaonesha walipost kiba anaongoza
Ujue Diamond atabaki kuwa wakimataifa kutokana hata anaVo jibehave! Niwakumbushe mashabiki wa ALI KIBA! Diamond aliwahi wekwa katika kipengele fulani cha kupigiwa kuraa,watanzania walimpigia kura Diamond hadi upigaji kura ulisitishwa kwa muda kutokana na wingi wa kura na wao wakasema wanashindwa kuhesabu lakini mambo yalivyo kaa sawa hicho kipengele Diamond HAKUSHINDA! Tuzo akachukua mwingine lakini Diamond hakulalamika hata Robo kikubwa aliwataka mashabiki watulie na wafurahie kuwa nominated tuu ni ushindi tosha Mungu si adhumani mwaka unao fuata aKachukua tuzo!!!
Mjifunze kukubalii Kiba ni nani? Who is kiba in Afrika? Wizkid kafanya Show ngapi na za ukubwa gani?, alikuwa anaperfom vipii watu wanamuitikio kiasi gani?
Acheni ujingaaa.....Nje ya Tanzania Kiba show ya pekee ake Kafanya ngapi? Watu walikuwaje na wapi??? Semeni au hata Tanzania semeni kiba Kafanya show Ngapi hapa Tz? Mnalalamika bila Facts msanii wenu kutwa yupo K/koo halafu mnataka mchukue tuzo za mtumbuizaji bora mnadhani hizo ni KILL AWARDS?
Wizkid kafanya show kazunguka Africa.....kumbukeni Diamond aliwahi kuchukua hiyo tuzo kwa wingi wa show alioufanya mbele ya wizkid hadi show zaa kwenye CCM zilikuwa zinaangaliwa,nigeria alifanya maara kibao!!
Kumbukeni mashabiki wa kiba kuwa nominated sio unajua sanaaa au unastahili sometime unawekwa ili kunogesha tuu tunzo hizo!!!!
Shame on You kiba Fans!
Wewe endelea kuamini alikiba yupo sawa na diamond.., wakati ukweli ni kwamba diamond kamuacha mbali kiba msiki wa diamond unajulikana africa nzima wataki alikiba ndo anaanza safariSasa diamond alikuwa na vigezo gani ambavyo alikiba Hana mpaka wakampa wizkid
Ni kweli mkuu ndo mana hata ukimfatilia wizkid toka aanze kuwa nominee kwenye tuzo mbalimbali huwa haweki any promo kwa bio/profl zake za social media..like instagram cz nahisi huwa alishajua kuwa vote za fans zinaplay little part of judges decisions.Sio mkuu kura sio kila kitu kwenye hizi tuzo za kimataifa ngoja nikupe mfano hai
Tuzo za mwaka huu za BET kwenye kura diamond aliongoza akiwa na 53% akifuatiwa na yemi alade akiwa na 29% black coffie alikuwa wa mwisho akiwa na 5%
Lakini BET walimtanga black coffie kuwa mshindi.
Kipengele cha kupiga kura wameweka tu ili kuleta msisimko lakini hazina mchango kuamua mshindi.
Mtv ema ni ya europe sasa ukiangalia impact ya wizkid kwa ulaya inajieleza vizuri.
Mziki anaofanya jamaa yenu hauna hadhi ya tuzo za kimataifa,ni kama manfongo tu.Hater ni hater tuu,hata mpinzani akiwa na cake mtaiita Mavi,am logging off! Waii