Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Nime Google sijaona kitu kama icho wengetoa link ingesaidia Sana wanacho fanya team Queen Kiba ni kujitekenya na kucheka wenyehiyo yenye African acts
naomba link nijionee mwenyewe, rusha tu hata kama wamebadili mshindi kama wanavyodai watu.
Tena Dai na akampongeza Black Coffee kwa ushindi ndo maana kila siku anazidi kubarikiwa na kuongezewa.Kama vigezo ni kura tu diamond platnumz angekuwa tayari kashachukuliwa BET na tuzo MTV mama mwaka huu, wenzetu Kuna kitu extra wanakitazama, mtv mama wana panel (mmoja ya watu wanaounda panel bdozen, na ndio maana kila award zikifanyika lazima asafiri), Ukija MTV EMA mtu kama wizkid mwaka huu wake, one dance imefanya vizuri kuanzia marekani mpaka ulaya, mama cita tinnie tempah ft wizkid unakimbiza inchi za ulaya, shabba imeingia A list radio one extra ya uingereza, alikuwa na tour ya ulaya aliyofanya na cris brown (MTV EMA ni kwa ajili ya nchi za ulaya) sasa mnashangaa nn wizkid kushinda, kama kigezo kura nina uhakika black coffee asingechukua BET mwaka huu na tuzo ingekuwa ya platnumz, mimi kama ningekuwa kiba Namshauri aipotezee hii ishu inaweza ikamwaribia upande wa promotion wa nyimbo zake ktk kituo cha mtv, aachane nayo, kama mwenzake platnumz .
Mkuu yaani wewe unaamin kabisa alikiba alistahili mbele ya Wizkid?Huyu ni mwanamuziki mazuri sema figisufigisu tuanafanyiwa,sema wadanamu ni wagumu sana kuelewa mambo
Kabisa mkuu. Halafu alivyo wa ajabu anasema menejimenti yake inafuatilia kujua ni vigezo gani wanatumia. Kwani alipoingia kwenye ushindani hakujua vigezo? kama angeshinda angeuliza vigezo? atulie apige kazi.huyu naye sasa apewe na tuzo ya kulalamika!!!,uwezo wake ni wa mchangani anataka kujilinganisha na wa kimataifa
Wewe form four ni lazima umetoka na division zero.Nimetoka kapa ebu rudia tena maelezo yako
Nashukuru mkuu kwa mawazo yakoWewe form four ni lazima umetoka na division zero.
View attachment 430727
View attachment 430726
View attachment 430728
Akiwa anadai tuzo ni yake, Jokate anajisifia kwa kubuni vazi alilovaa fiesta 2016 DSM
Ambalo halijawahi buniwa hata kufikia nusu. Hata hizo picha zingine za Pharell W za mwaka jana walimkopi Kiba.
Kabisa mkuu. Halafu alivyo wa ajabu anasema menejimenti yake inafuatilia kujua ni vigezo gani wanatumia. Kwani alipoingia kwenye ushindani hakujua vigezo? kama angeshinda angeuliza vigezo? atulie apige kazi.