Alikiba: Tunafuatilia kujua vigezo gani vilitumika kupata mshindi wa Mtv EMA

Alikiba: Tunafuatilia kujua vigezo gani vilitumika kupata mshindi wa Mtv EMA

Huyu ni mwanamuziki mazuri sema figisufigisu tuanafanyiwa,sema wadanamu ni wagumu sana kuelewa mambo
 
d16547763fa9edd8271a6123c7dbbc54.jpg


jokate_national-1478573626265.jpg


063_463031624.jpg


Akiwa anadai tuzo ni yake, Jokate anajisifia kwa kubuni vazi alilovaa fiesta 2016 DSM

Ambalo halijawahi buniwa hata kufikia nusu. Hata hizo picha zingine za Pharell W za mwaka jana walimkopi Kiba.
 
Kama vigezo ni kura tu diamond platnumz angekuwa tayari kashachukuliwa BET na tuzo MTV mama mwaka huu, wenzetu Kuna kitu extra wanakitazama, mtv mama wana panel (mmoja ya watu wanaounda panel bdozen, na ndio maana kila award zikifanyika lazima asafiri), Ukija MTV EMA mtu kama wizkid mwaka huu wake, one dance imefanya vizuri kuanzia marekani mpaka ulaya, mama cita tinnie tempah ft wizkid unakimbiza inchi za ulaya, shabba imeingia A list radio one extra ya uingereza, alikuwa na tour ya ulaya aliyofanya na cris brown (MTV EMA ni kwa ajili ya nchi za ulaya) sasa mnashangaa nn wizkid kushinda, kama kigezo kura nina uhakika black coffee asingechukua BET mwaka huu na tuzo ingekuwa ya platnumz, mimi kama ningekuwa kiba Namshauri aipotezee hii ishu inaweza ikamwaribia upande wa promotion wa nyimbo zake ktk kituo cha mtv, aachane nayo, kama mwenzake platnumz .
Tena Dai na akampongeza Black Coffee kwa ushindi ndo maana kila siku anazidi kubarikiwa na kuongezewa.
 
salamu hajakuwepo kweli kwenye hao sponsor isije ikawa ye ndo alitoa wazo mchizi akatwe? hihihihi (kidding)
 
Huyu ni mwanamuziki mazuri sema figisufigisu tuanafanyiwa,sema wadanamu ni wagumu sana kuelewa mambo
Mkuu yaani wewe unaamin kabisa alikiba alistahili mbele ya Wizkid?
Step aliekuwepo wizkid hakuna msanii wa africa amefikia, huo ni ukweli
 
Mjomba Ali K we fanya mziki kutuliza njaa na upate ma binti lakini mambo ya tuzo achana nayo.
 
huyu naye sasa apewe na tuzo ya kulalamika!!!,uwezo wake ni wa mchangani anataka kujilinganisha na wa kimataifa
Kabisa mkuu. Halafu alivyo wa ajabu anasema menejimenti yake inafuatilia kujua ni vigezo gani wanatumia. Kwani alipoingia kwenye ushindani hakujua vigezo? kama angeshinda angeuliza vigezo? atulie apige kazi.
 
huwezi amini... Yanga 5 Barcelona 2..

donald ngoma 2
chirwa 1
msuva 1
tambwe 1

magoli ya kufutia machozi Barcelona yamefungwa na Ractic na Luis Suarez.
 
Huyu sasa aitwe Alikiba kulia lia
 
Aliingiaje kwenye kinyang'anyiro kama alikuwa hajui vigezo husika?
 
Kabisa mkuu. Halafu alivyo wa ajabu anasema menejimenti yake inafuatilia kujua ni vigezo gani wanatumia. Kwani alipoingia kwenye ushindani hakujua vigezo? kama angeshinda angeuliza vigezo? atulie apige kazi.


Bwe.ge sana huyu mtoto,kwanza alisema yeye ni mkubwa kuliko tuzo hivyo hata asipopata sawa tu,sasa hivi anajifanya ngashtuka,anazitamani,sijui anataka tumueleweje
 
Back
Top Bottom