Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #101
π€£π€£π€£π€£ sawa mkuu siku nikifika huko nitakucheki nione unavyo Chukua nauli kwenye bajaji.Ukifika ntegu nicheck nitakuwepo hapo
Mwaka gani mkuu?Hauna baya tajiri. Magomeni Mtwara niliishi kidogo
Yaah wenyewe wanalijua hilo, nasema uongo Moderators?Hahah kwamba wewe ni mkubwa kuliko JA? πππ
Nimeweka mkuu.Badae si uhakika tajiri?
Asante tajiri, nimeitikia ngoja niisome sasa
mimi nipo upande wa mwali,sisi ni marasta hujawahi kuona namuita Rasta wa kilatina πππ,πππras mshenga
Sawa kaka....vp kwa yule mtoto mgeni tukupromote πππmimi nipo upande wa mwali,sisi ni marasta hujawahi kuona namuita Rasta wa kilatina πππ
Wamesha mbetia tajiri kuwa na hapa hata kula tunda ππNimefatilia sana ila nimegundua tajiri una chembechembe za u inter Milan makali mwanzon ila fainali mhhππππ
Nilisema sikusema?π€£π€£π€£π€£π€£ wewe na mbususu ni kusi na kusi hamuwezi kuvutanaNimeweka mkuu.
Tukampe promo tajiriπ
Sawa kaka....vp kwa yule mtoto mgeni tukupromote πππ
Mwenyew ameshasema Kuna mawili apelekwe kwa sir God au arudishwe sodomaWamesha mbetia tajiri kuwa na hapa hata kula tunda ππ
Halafu tajir anatak promo kwel umeona ametuita kwenye Uzi wa mgeniπππTukampe promo tajiri
Tajiri ana kila kitu kakosa mtoto mzuri wa kuwa pembeni yake π πHalafu tajir anatak promo kwel umeona ametuita kwenye Uzi wa mgeniπππ
Asante, huna baya,π€£π€£π€£ nishaweka
Mwaka gani mkuu?