Che gwevara
New Member
- Aug 7, 2026
- 2
- 0
Bira mbiwe malyenge ya macho lakini ana akili kuliko wewe una malyenge ya mbupu mbaka unataka kuwa shoga na masikini waIla huyu malyenge kazidi,khaa!
tatizo humu watu wanajiona wana akili sana kumbe mazwazwa tu.Siasa sio uadui mnowe ndiyo kiongozi bora sana.Wakati wake maa mn damano aliongoza yeye na familia yake.Hakusema kuchoma nchi .Sio vichaa wa sasa hMnaopenda gutter politics lazma mtaumiza mioyo yenu tu bure. Mh.Mbowe anajua maana halisi ya uongozi,upinzani na siasa kuliko wengi asa upande wa upinzani. Kinacho kosekana kwa sasa ndani ya CHADEMA hamna mtu mwenye hulka ya hivyo. Pamoja na yote Mh.Mbowe akuwai kuwataka wananchi na wafuasi wa CHADEMA waichome nchi...UKWELI NI KUA LISSU atoshi kwenye siasa zenye ustaarabu na utaifa..Kinachowagharim ndiyo hicho
Ni la kebehi. Ni unafik ule ule uliotumika kumsingizia kuwa alilamba asali. Ule ule uliotumika kudai kuwa kuna hela za Abduli alipelekewa Lissu."From Ukonga to ikulu"
Hiyo kauli kwa namna moja inaweza kuonekana kama kashfa, lakini pia kwa namna nyingine ni reality.
Ni kashfa maana hayakuwa na haja kuyatamka. Mbowe hayuko kizimbani.So, sishangai kama wewe umeamua kuichukulia kwa upande wa kashfa, na maneno mengine uliyoongezea.
Hakuna anaepinga kuwa Mbowe alienda Ikulu. Kinachopingwa ni kukataa ukweli kuwa mazungumzo ya maridhiano yaliyotokana na yeye kwenda Ikulu ndio yalitoa nafasi kwa wakina Lissu kurudi nchini, Chadema ( na vyama vingine) kuweza kufanya mikutano ya hadhara bila kificho. Kesi za maghumashi zilizokuwa zikiwakabili wanachama na wafuasi wengi wa Chadema kufutwa.Lakini naamini pia hutamshangaa yule atakayeichukulia hiyo kauli pale juu kama reality, kwasababu ule ndio ukweli uliojitokeza baada ya Mbowe kuachiwa toka gerezani.
Nimekueleza kwa kirefu mambo mengi aliyofanya. Hata wakina Lissu wanakiri kuwa No Reforms No Elections ilitokana na uongozi wake.Hebu sasa wote tutoke nje ya box tujiulize swali, je; Mbowe baada ya kutoka ikulu, aliendelea kuwa Mbowe yule kamanda mwenye misimamo au alikuja kupoa?
Hapana. Watanzania mnataka dezo na hamkuwa tayari kusimama nae. Nafasi ilipojitokeza ya kumtosa, mkamtosa.Kwa upande wangu Mbowe alikuja kupoa sana, akawa wa baridi, mtu asiyeeleweka misimamo yake, na ndicho kitu kilichopelekea akapoteza ushawishi wake aliokuwa nao kwa wengi kwa muda mrefu.
Aibu sana
Basi CCM wakiona hivi wanafurahi wenyewe
Kuna mtu aliwahi sema Mbowe yupo kwenye payroll za ccm kwa miaka Sasa naanza kumuelewa hivi ...
NB:Tiss na political espionage mmenifunza jambo🫵🫵😎
Una uhakika alikua kweli analala sero ama ilikua kiini macho
Ndugu ,you have nailed it... Mbowe ni mwanasiasa halisi sio mwanaharakati kwa aslimia ata 20% .Waliochukua chama kwasasa wao ni harakati,payuka,tukana,beza nk.. CHADEMA kwasasa aiwezi kufanya operation yenye maana kama enzi za Mbowe-OPERATION SANGARA
Machoko tulieni dawa ya Lissu iwaingie mlizoea udalaliChadomo mtaumia sana na Bado
Anyway, umeandika mengi sana yenye uthibitisho wa mitazamo yako zaidi, but ni haki yako kwa hilo.Ni la kebehi. Ni unafik ule ule uliotumika kumsingizia kuwa alilamba asali. Ule ule uliotumika kudai kuwa kuna hela za Abduli alipelekewa Lissu.
Mbowe alienda kweli Ikulu baada ya kutoka Ukonga. Akatoa tamko pamoja na Rais ambapo akazungumzia umuhimu wa Haki. Akatoa taarifa kwa chama chake. Chama chake kikachagua watu wa kuanza mazungumzo kuhusu maridhiano. Makamu Mwenyekiti wa sasa alikuwa Mjumbe. Chama chake kilipoona hamna kinacho endelea wakajitoa.
Aliitisha maandamano ya kupinga yanayoendelea nchini, na hao mashujaa wenu pamoja na wanachama na wananchi wengine hawakujitokeza kumuunga mkono.
Makamu Mwenyekiti wake aliposhambuliwa Mbeya alikimbia mara moja kuwa nae. Akakamatwa na kurudishwa Dar.
Makamu Mwenyekiti wake alimuunga wazi wazi Mwanachama mmoja muandamizi aliyekuwa anamtupia shutuma kibao za ovyo ovyo bila ushahidi wowote.
Makamu Mwenyekiti wake alikataa hadharani kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu ambacho Mwenyekiti alikiita. Alipoulizwa alisema ana mambo ya maana zaidi.
Makamu Mwenyekiti alikataa kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao chama chake kilisema kitahudhuria.
Yote haya, bado mnashangaa kwa nini Mbowe ameuachia uongozi wa sasa uendeshe chama kwa namna wanayotaka. Hajapinga lolote walilofanya hadharani au kuwashutumu kwa lolote lile kama ambavyo walimfanyia wakati wa uongozi wake.
Ni kashfa maana hayakuwa na haja kuyatamka. Mbowe hayuko kizimbani.
Hakuna anaepinga kuwa Mbowe alienda Ikulu. Kinachopingwa ni kukataa ukweli kuwa mazungumzo ya maridhiano yaliyotokana na yeye kwenda Ikulu ndio yalitoa nafasi kwa wakina Lissu kurudi nchini, Chadema ( na vyama vingine) kuweza kufanya mikutano ya hadhara bila kificho. Kesi za maghumashi zilizokuwa zikiwakabili wanachama na wafuasi wengi wa Chadema kufutwa.
Leo kiongozi aliyewezesha yote hayo mnamuita msaliti, pandikizi la CCM n.k.
Lissu aliposema maneno yale alijua anachofanya. Mnyika na Heche walipoyarudia, walikuwa wanajua wanachofanya. Nia yao haikuwa njema kwa Mbowe.
Nimekueleza kwa kirefu mambo mengi aliyofanya. Hata wakina Lissu wanakiri kuwa No Reforms No Elections ilitokana na uongozi wake.
Tukiwa bado nje ya hilo box, niambie kitu gani ambacho Chadema ya sasa imefanya zaidi ya Chadema ya wakati ule? Mbowe na wenzake walichangiwa milioni 300 ndani ya siku mbili. Huu uongozi wa wapambanaji mpaka sasa wanahangaika kupata milioni 300 na ushee kwa ajili ya Mkutano Mkuu wao. Wakati wa Mbowe tulikuwa tunasikia kila siku jinsi Chadema walivyokuwa wakipambana. Hao wapambanaji wote wameenda wapi?
Hapana. Watanzania mnataka dezo na hamkuwa tayari kusimama nae. Nafasi ilipojitokeza ya kumtosa, mkamtosa.
Nilisikitika sana kumsikia Lissu akiuliza kwa nini watu hawakuwa wengi Mahakamani. Kumbe ushujaa wa kumuunga mkono ni humu mtandaoni. Na kumbe sio Mbowe peke yake asiyeenda Mahakamani.
Amandla...
Hata ningelikuwa mimi nisingelienda kumuona kichaa kama Lissu anyefikiri yeye kila kitu anajua kuliko wengine.
Siku mbowe akiamua kuongea naamini minyumbu itakimbiana, maana kwa Sasa ameamua kuwakaushia kimyaaaaKuna mtu aliwahi sema Mbowe yupo kwenye payroll za ccm kwa miaka Sasa naanza kumuelewa hivi ...
NB:Tiss na political espionage mmenifunza jambo🫵🫵😎
Ni wapi hawo waliopo waliosema nendani mkaichome nchi au kuuwa.Mnaopenda gutter politics lazma mtaumiza mioyo yenu tu bure. Mh.Mbowe anajua maana halisi ya uongozi,upinzani na siasa kuliko wengi asa upande wa upinzani. Kinacho kosekana kwa sasa ndani ya CHADEMA hamna mtu mwenye hulka ya hivyo. Pamoja na yote Mh.Mbowe akuwai kuwataka wananchi na wafuasi wa CHADEMA waichome nchi...UKWELI NI KUA LISSU atoshi kwenye siasa zenye ustaarabu na utaifa..Kinachowagharim ndiyo hicho
Mkuu,Kosa kubwa la Lisu ni ku expose fake democracy Tanzania 🇹🇿.Chadema ilipomchagua Lisu na Heche kuwa Viongozi ile siku ilikuwa ndio mwisho wa mfumo fake wa vyama vingi vya kutengenezwa ambayo ni loyal kwa Chama tawala,hivi vyama vimekuwepo kuonyesha kuwa kuna vyama vingi na ushindani kwenye uchaguzi wakati wakiacha CCM iwe na total control.Chaguzi ambazo ziko staged kuhakikisha CCM haishindwi,faking kila kitu ili kupata legitimacy ndani na Nnje ya Tanzania,Ukifuatilia kesi ya Lisu unaona anavyoexpose pia Judicial system na Bunge la Tanzania lilivyokuwa captured badala ya kucheck Power ya Executives wao wanafanya kazi kwa kupokea order,Mfumo mzima,Uchaguzi,Vyama vya Upinzani,Media,Mahakama na baadhi ya taasisi zisizo za Kiselikali ulikuwa umetengenezwa kimagumishi ili tu Kuonyesha International Community kuwa kuna kitu kinaitwa democracy.Democratic facade inaleta faida Kama Misaada,diplomatic recognition na legitimacy.Kuna mtu aliwahi sema Mbowe yupo kwenye payroll za ccm kwa miaka Sasa naanza kumuelewa hivi ...
NB:Tiss na political espionage mmenifunza jambo🫵🫵😎
Kinachofanya ccm kuwakamata viongozi wa chadema kuwateka na kuwaua na wengine kuwafunga ni nini ? Ccm kihoja haina uwezo wa kushindana na chadema bila ya hizo figisu za kutumia vyombo vya dola na mahakama. Ndio maana nia yao ni kuiua chadema na sio kwamba waliopo hawana uwezo wakuongoza chama. Hata Mbowe hakuwa pekeyake kwenye uongozi alipokamatwa huyo huyo Lissu alitumia kila njia Mbowe aachiwe bila masharti kwani kesi ilikuwa ni ya kisiasa na alikuwa anaongea hadharani. Ni wapi Mbowe amefanya hayo?Ndugu ,you have nailed it... Mbowe ni mwanasiasa halisi sio mwanaharakati kwa aslimia ata 20% .Waliochukua chama kwasasa wao ni harakati,payuka,tukana,beza nk.. CHADEMA kwasasa aiwezi kufanya operation yenye maana kama enzi za Mbowe-OPERATION SANGARA
Mimi nilipoteza imani kwa Dj baada ya kubadili gia angani kwa kumpokea Lowassa na kumpa tiketi ya kugombea uraisi, kila nikijiuliza sipati jibu, pia nilipoteza imani kwa mheshimiwa sana Dj baada ya msaidizi wake ben kupotea na akauchuna kama aliyepotea si msaidizi wake wa karibu na mwisho kwa Mzee Kibao na sasa kaonyesha wazi tabia yake, kuna wakati kwa mtu kama yeye alitakiwa atumie busara na hekima ya kukaa mbali na hao waliokuwa watesi wake, kama hao waliomfunga miezi 8 anaweza kufurahi na kusikitika nao iweje leo isiwe hivyo kwa wenzake ambao amekuwa nao miaka kibao na ambao walikuwa wanashinda mahakamani na kupaza sauti ya kuachiliwa kwake yeye anashindwa kurudisha mkono?"From Ukonga to ikulu"
Hiyo kauli kwa namna moja inaweza kuonekana kama kashfa, lakini pia kwa namna nyingine ni reality.
So, sishangai kama wewe umeamua kuichukulia kwa upande wa kashfa, na maneno mengine uliyoongezea.
Lakini naamini pia hutamshangaa yule atakayeichukulia hiyo kauli pale juu kama reality, kwasababu ule ndio ukweli uliojitokeza baada ya Mbowe kuachiwa toka gerezani.
Hebu sasa wote tutoke nje ya box tujiulize swali, je; Mbowe baada ya kutoka ikulu, aliendelea kuwa Mbowe yule kamanda mwenye misimamo au alikuja kupoa?
Kwa upande wangu Mbowe alikuja kupoa sana, akawa wa baridi, mtu asiyeeleweka misimamo yake, na ndicho kitu kilichopelekea akapoteza ushawishi wake aliokuwa nao kwa wengi kwa muda mrefu.