Bdo nakuwa na wasi wasi na akili yako.
Mimi na wewe Tahira la Mirembe nani nafuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bdo nakuwa na wasi wasi na akili yako.
Kwani kuna ajabu gani? Mimi mwenyewe nilizaliwa siku ya Ijumaa na natamani nife siku ya Ijumaa. ...kwa waislam wanajua namaanisha nini.
Mkuu naomba walau dondoo tu.
Daah aisee basi mkuu ni kweli. Ulivyotaja jina lake nikama namuona tena aisee.
Pole sana rafiki,yote ni mipango ya Mungu so tuendelee kumuombea tu ili mwanga wa milele umuangazie
Wewe mwenyewe ni Tahira la Mirembe. Kwahiyo hata unachouliza ni Utahira tu.
Sasa hivi upepo upo siasani mwaya, subiri uchaguzi ukishaisha ndio tutatafutana kwenye yale 'mambo' yetu na nitakuelewesha vizuri hilo swali lako.
Jamani nimecheka. Majina mengine sijui watu wanayatungaje?
Duu poleni 24/7 tarehe yangu ya kuzaliwa kuna Uzi mmoja nlikua namtafuta pacha wangu kumbe kashatangulia mbele ya haki
Jiandae ijumaa ijayi zamu yaki
Swali langu ni kwamba hii inaweza kuwa na maana yoyote?
Wakuu habari zenu,
Kuna swala limenishangaza kidogo! Kuna mdogo wangu amefariki juzi Ijumaa ya tar 24/7/2015 kwa ugonjwa wa kansa ya utumbo mpana. Siku mbili nyuma kabla hajafa alikuwa anaongea vitu vya ajabu ajabu na akili inakuwa sawa, ila siku ile ambayo alikuwa anakata roho alikuwa anaongea kiarabu si kiarabu yaani alikuwa anaongea lugha isiyoeleweka na kabla ya kukata roho aliniambia nipige magoti na akanishika kichwani huku akitaja jina langu. Na pia alifanya hivyo kwa watu wote tuliokuwa tunamuhudumia kwa ukaribu sana.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha kufa tarehe aliyozaliwa na zote zikiwa ni siku ya ijumaa! Alizaliwa 24/7/92 na amekufa 24/7/2015 zote zikiwa ni ijumaa.
Swali langu ni kwamba hii inaweza kuwa na maana yoyote?