Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah umenichekesha sana mambo ya kwenye movie zile za kutafsiriwa unataka ziwe kweli hakuna urafiki wa Simba na Swala hata siku moja hata simba akiwa kashiba swala watakimbia tu ukiona swala anataka kutengeneza urafiki na Simba bila kuliwa Simba atakasirika mno...Hivi huwa wanafanya kusudi kupima msimamo wa mtu?
Lakini...kwanini atengeneze uadui pale anapokataliwa?
Sasa huyo mwingine ulikua unamwalika kwako wa nini?????Inaonekana wewe ndio ulitengeneza mazingira labda ulitaka kumpiga hela.Nachomshukuru Mungu bwana angu alikua akinihudumia vzuri.
Sasa huyo alionyeshewa na mvua ilikuaje dadangu??Muda wa kula pesa za watu sina.
Kwa nn nitoe mialiko nyumbani kwangu pamekua ukumbi wa sherehe.
Huyo ni rfk angu muda mrefu sana na tulikua tunaheshimiana sana zaid ya akili zako zinazokutuma pesa ndio nilikua nikifikiria.Sasa huyo mwingine ulikua unamwalika kwako wa nini?????Inaonekana wewe ndio ulitengeneza mazingira labda ulitaka kumpiga hela.
Ungetaka kujua toka mwanzo ungeuliza kwanza na sio kujiongelesha ongelesha.Sasa huyo alionyeshewa na mvua ilikuaje dadangu??
Ila uliomba hela dada akakunyima ndio ukamumaindi.Sisi wanaume hata kama hatuna familia majukumu yapo tu.Lakini kama wewe sio ndugu yangu,basi ujue ukila pesa yangu nawe jiandae kuliwa ili kuboresha urafiki wetuKwa hela ipi mko nazo nyie waume za watu, mna majukumu chungu nzima, mtulie na wake zenu ndo mliowachagua
Kweni nyie ni dada zetu? Upendo uliomaanishwa ni wa kufanya mapenzi na kusonga mbele kua mke na mume yamkini, sasa unaleta pozi kweni we ni dada yake? Dunia ina watu B8 na ukileta mbwembwe mtu anaondoka utabaki unalalamika, utajua mwenyeweWanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani.
Sasa ilikuaje siku hiyo?????Inaonyesha kuna mazingira ulimtengenezea dadangu.Huyo ni rfk angu muda mrefu sana na tulikua tunaheshimiana sana zaid ya akili zako zinazokutuma pesa ndio nilikua nikifikiria.
Sina tabia hiyo ya kuomba omba hela za watu, unakuta ni jirani ama mteja, kuna ule ukaribu sasa siku anaamua kujitoa ufahamu ndo hapo ni kuwafukuza tu, hapa ofisini nilishafukuza wengi tu sitaki shoboIla uliomba hela dada akakunyima ndio ukamumaindi.Sisi wanaume hata kama hatuna familia majukumu yapo tu.Lakini kama wewe sio ndugu yangu,basi ujue ukila pesa yangu nawe jiandae kuliwa ili kuboresha urafiki wetu
Mm sijiongeleshi dada nafurahia roho yako ngumu,yaani mtu umemualika mwenyewe afu unamfukuza mwenyewe.Why???Ungetaka kujua toka mwanzo ungeuliza kwanza na sio kujiongelesha ongelesha.
Sasa ulikosea kumwita nyumbani kwako,sisi wanaume ukinialika kwako najua una hisia na mimi ila umeshindwa kuongea.Sina tabia hiyo ya kuomba omba hela za watu, unakuta ni jirani ama mteja, kuna ule ukaribu sasa siku anaamua kujitoa ufahamu ndo hapo ni kuwafukuza tu, hapa ofisini nilishafukuza wengi tu sitaki shobo
Ulikuwa huna nye**Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mimi hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Ipake rangiMm sijiongeleshi dada nafurahia roho yako ngumu,yaani mtu umemualika mwenyewe afu unamfukuza mwenyewe.Why???
Ndio nilitembea uchi mbele yake.Sasa ilikuaje siku hiyo?????Inaonyesha kuna mazingira ulimtengenezea dadangu.
Kujirahisisha ndo ulitaka nifanye.Ulikuwa huna nye**
Hata kwangu nakutimua vizuri, ukianza kero km hizo, kwanza utanigongeaje kwangu we falaSasa ulikosea kumwita nyumbani kwako,sisi wanaume ukinialika kwako najua una hisia na mimi ila umeshindwa kuongea.
Tupe notes bossWanaume wote wangekuwa na mikato kama yangu wangegundua papuchi hazitafutwi bali huja zenyewe.
Sasa kama mtu wako unataka genye azipeleke wapi?Umeona ee!
Yaani wanatakaga kugeuza wenzao uwanja wa mazoezi...mechi wanacheza kwingine.[emoji1787][emoji1787]
Unamfurusha kama mwizi
Hii gia inaitwa""Mwana Ngendeka""ilianzishwa na wanaume mwaka 1995 baada ya mkutano wa wanawake pale Beijing🤣🤣😂😂Mtulie makwenu ndo machaguo yenu msituchoshe, ila wanaume ni wajinga sana especially waume za watu wanaotongoza kwa gia hiyo, ya mke hanipi na usoni anajivalisha sura ya huruma🤣 kama yatima
Wazinguaji sana hawaUrafiki nipige stori gani na wewe? Tuulizane aina ya vitenge au?
Tulia wewe sisi ndo wataalam