Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume ambao si ndugu..!!! Is just a mater of time tu
 
Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.

Mimi hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Kwa mwanamke yeyote aliyefanya kama huyu Lovelovie, akifika 30 years of age hajaolewa, asije akatusumbua..!!! Na wala asiende kwa wachungaji kuombewa ili aolewe..!!!
 
Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.

Mimi hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Umekosea, umetumia ID hiyo hiyo uliyoanzishia uzi Lovelovie
 
Mleta mada ametuletea matokeo, hajatuambia the while process hadi kufikia walipofika.

Urafiki wenu ulikuwa wa aina gani, was it pure, ulikuwa balanced au vinginevyo? Manake isije kuwa ulikuwa unaomba misaada in the name of friendship, au unataka mahitaji yako yatumizwe na jamaa. Huwezi kuwa na urafiki wa kawaida then ukawa kila siku unaomba hela ya kusuka, kujipendezesha, kodi na utilities zingine....

Nini kilipelekea wewe kumualika rafiki yako wa kawaida tu home kwako, wadada mjifunze kitu, mwanaume haruhusiwi kuingia ghetto kwako for no obvious reasons, sio sawa kuruhusu kufanya ngono nyumbani kwako.

Tatizo huwa hamjifunzi.
 
Nchi gani unapenda kwenda holiday wewe peke yako au na huyo ulienae unaesema kanizidi mkwanja.Si unajua sisi mapedeshee wa misimu a.k.a wazee wa mbinu hii mpya ya "Dubai""hatunaga wivu.πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Mbinu yako ishayumba, haijanishtua kabisa, muhimu mjifunze kutongoza mkachukue mbinu za kibabe kwa baba na babu zenu
 
hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke usiyo na ngono ndani yake. Ukiona urafiki huo upo ujue mwanaume anasubiri tu ufa upatikane na akikosa kwa muda mrefu lazima urafiki huo ufe. Kama unataka urafiki jenga urafiki na wanawake wenzako, bahati mbaya siku hizi hata urafiki wa wanawake watupu ni balaa tu, wanaishia kusagana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…